Ufisadi kwenye uteuzi wa Nehemia Mchechu?

Wakati mwingine head hunting hufanyika pia... for a good reason na siyo lazima ufisadi...

I have participated in recruitment processes... wakati mwingine kazi inatangazwa.. wanaoomba unakuta ni watu wa viwango vya chini mno... hata ukiwashindanisha wenyewe kwa wenyewe utaishia kupata mtu asiye stahili.In such circumstance u may be forced to resort to head hunting.

Nehemia as I know him is a material for the position.... tunaweza kulaumu na kusema mengi lakini anabakia THE CEO FOR NHC for the time being..tukubali na tumpe nafasi jamani. It could have been you or me..ila haikuwa.

Afadhali umesema ukweli, maana sasa imekuwa fasheni kwamba kila aliyeteuliwa na JK hafai. Walianza wa dini fulani na sasa imekuwa wote.

Jamani kujibu masuali ya interview vizuri siyo sawa na utendaji mzuri. Kwani utendaji wake umekuwa siyo wa kuridhisha, au tena ni kupikiana majungu tu kila kukicha?
 
Mi najuaga CEO wa mashirika yote ya serikali hua ni presential appointment sasa haya mambo ya usahili sijui nini yanatokea wapi? Performance ya Nehemiah pia jamani tuweni wakweli, jamaa kaibadiri sana NHC.

Hii nafasi ilitangazwa watu wakaomba Kama kumbukumbu zangu ni nzuri.
 
Some years ago this happened and here we are still struggling to understand this man's quality and its congruence to his output. As said. Leave alone Mchechu, take the poor quality of statehouse employees: Luhanjo!!!!

"....Mchechu also reminds those who query his salary about the amount of money he is enabling the government to collect. Elsewhere, in his exclusive interview with TanzaniaInvest.Com, he notes that now, being five years since his appointment, NHC "boasts of a balance sheet of around USD 2 billion." It is quite possible that he is under attack because of his potential of becoming one of the leaders that would aid Magufuli in his quest to fill public coffers. Nonetheless his case of traversing the private and public sectorscan help us understand what is at stake in instilling fiscal discipline....."

quote from Fiscal Discipline and the Integrity of our Leaders by Chambi Chachage
 
Kwa dhati kabisa tuache kumshambulia Msechu ....ameibadili sana NHC ....ni miongoni mwa vijana wanaotusaidia kuwafanya wazee wetu watuamini na kutukabidhi majukumu mazito ya kitaifa ...
 
Kwa dhati kabisa tuache kumshambulia Msechu ....ameibadili sana NHC ....ni miongoni mwa vijana wanaotusaidia kuwafanya wazee wetu watuamini na kutukabidhi majukumu mazito ya kitaifa ...
Eti eeeh...... Kwahyo magufuli kamuonea???
 
Afadhali umesema ukweli, maana sasa imekuwa fasheni kwamba kila aliyeteuliwa na JK hafai. Walianza wa dini fulani na sasa imekuwa wote.

Jamani kujibu masuali ya interview vizuri siyo sawa na utendaji mzuri. Kwani utendaji wake umekuwa siyo wa kuridhisha, au tena ni kupikiana majungu tu kila kukicha?
Kweli wanamuonea kikwete kusema kumteua fisadi mchechu ni uteuzi mbovu!!!!

Muwe mnaweka akiba ya maneno maana hii nchi imeoza
 
Hata mfukuaje tatizo tu wasahaulifu sana iko wapi kesi ya Masamaki,Dickson Maimu aliyekuwa Nida,huyu jamaa ni muongo mno endeleeni kumwamini
 
Kama Nehemia ana uwezo na amefanikiwa huko ni big up kwake

Kama uteuzi walicheza hizo rafu kwa kutumia mwanya wa uzoefu wake huko alikopita kwa ajili ya malengo la kulihujumu taifa,napinga kwa nguvu zote huo uteuzi

Huu mwaka inabidi tuwe makini sana,kimsingi hatukustahili hata kuibembeleza hii serikali iliyoingia madarakani kwa njia ya KAGODA.

Ben, Mtoto wa Udsm Uko wapi?
 
Back
Top Bottom