Ufisadi: Kigogo wa BOT apandishwa kizimbani

Patriote

JF-Expert Member
Jul 13, 2011
1,718
1,047
NAIBU Mkurugenzi wa Mifumo na Huduma katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Simon Jengo, amepandishwa kizimbani akikabiliwa na mashtaka ya matumizi mabaya ya ofisi katika ununuzi wa mashine 26 za kuharibu noti.

Kigogo huyo alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam jana na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru).

Jengo anyeakabiliwa pia na kesi nyingine katika Mahakama ya Wilaya Ilala, anatuhumiwa kughushi nyaraka kwa kampuni inayotengeneza noti za benki hiyo kwa lengo la kumdanganya mwajiri wake na kumsababishia hasara ya zaidi ya Sh 104 bilioni.Mwendesha Mashtaka wa Takukuru Ben Lincon, alidai mbele ya Hakimu Mkazi Rita Tarimo kuwa mshtakiwa alitenda makosa hayo kati ya Januari mwaa 2005 na Desemba mwaka 2008 katika makao makuu ya BoT.

Alidai kuwa mshtakiwa alimshauri vibaya Gavana wa BoT katika ununuzi wa mashine 26 za kuharibu noti pasipo kujali mahitaji halisi ya benki. Hata hivyo mshtakiwa alikana mashtaka na upande wa mashtaka ulidai kuwa upelelezi bado haujakamilika na kwamba hawana pingamizi na dhamana.

Hakimu Tarimo alitoa masharti ya dhamana ambapo mshtakiwa alitakiwa kuwa na wadhamini wawili wa kuaminika watakaosaini dhamana ya maneno ya Sh 10 milioni kila mmoja.

Jengo alitimiza masharti hayo na kuachiwa kwa dhamana hadi kesi Februari 29 mwaka huu, kesi hiyo itakapotajwa tena.

Katika kesi iliyoko Mahakama ya Ilala, Jengo anashtakiwa na maofisa wengine watatu wa BoT akidaiwa kughushi nyaraka kwa kampuni inayotengeneza noti za benki hiyo kwa lengo la kumdanganya mwajiri wao. Washtakiwa wengine ni Kisima Mkango, Bosco Kimela na Ally Farjallah Bakari ambao kwa pamoja wanadaiwa kutenda makosa hayo jijini Dar es Salaam. 

Wanadaiwa kuwasilisha nyaraka kwa kampuni hiyo ili kuchapisha kiasi kikubwa cha noti tofauti na kilichoidhinishwa na mwajiri wao.

Katika mashtaka mengine wanadaiwa kuingia mkataba wa kuchapa noti kwa bei ya juu kinyume na makubaliano halali hivyo kuisababishia Serikali hasara ya Sh 104,158,536,146. 

Wanadaiwa pia kuupeleka mkataba huo kwa mamlaka zinazotengeneza noti ukionyesha bei ya uongo

Maoni yangu

Hapa hafungwi mtu uwendawazimu mtupu. Kumbukumbu zinaonyesha ukiiba pesa nyingi hapa Tanzania hufungwi, Ila ukidokoa ndo unafungwa miaka mingi kwa kuwa ni mpumbavu. Kosa limetendwa kati ya 2005 hadi 2008, Gavana muda huo alikuwa Balali, upelelezi hadi leo haujakamilika. Hapa hamna kitu. watu wazima tumeshaelewa. Hawa wamefikishwa mahakamani ili serikali ijipatie sifa kuwa ilishawahi kufikisha mafisadi papa mahakamani ila hakuna kufungwa mtu wala nini.

Source Mwananchi 31/01/2012
 
At least wakati huu wa Kikwete tunaona wanafikishwa mahakamani. Tulikuwa hatuyajui haya kabla ya Kikwete.
 
Wapi kesi ya BASIL PESAMBILI MRAMBA, NA DANIEL YONAAA, uko sahihi mkuu ukihomola mapesa mengi nchi hii ufungwi. Aliefungwa ni KASUSURA tena naye labda kwa kuwa hakuiibia serikali.
 
At least wakati huu wa Kikwete tunaona wanafikishwa mahakamani. Tulikuwa hatuyajui haya kabla ya Kikwete.

Wanafikishwa mahakamani halafu kinafuatia nini. Mbona waliokwapua mabilioni ya EPA, RADA, Meremeta, Import Support hwajaguswa mpaka leo kwa madai kuwa wakiguswa nchi itatikisika.
 
unamfikisha mtu mahakamani wakati huna sheria ya kumfunga...akikudai fidia je
hakika hii serikali ndio bure kabisaaa
Mwenye picha ya huyo mjanja hebu atuwekee hapo
 
NAIBU Mkurugenzi wa Mifumo na Huduma katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Simon Jengo, amepandishwa kizimbani akikabiliwa na mashtaka ya matumizi mabaya ya ofisi katika ununuzi wa mashine 26 za kuharibu noti.

Kigogo huyo alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam jana na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru).

Jengo anyeakabiliwa pia na kesi nyingine katika Mahakama ya Wilaya Ilala, anatuhumiwa kughushi nyaraka kwa kampuni inayotengeneza noti za benki hiyo kwa lengo la kumdanganya mwajiri wake na kumsababishia hasara ya zaidi ya Sh 104 bilioni.Mwendesha Mashtaka wa Takukuru Ben Lincon, alidai mbele ya Hakimu Mkazi Rita Tarimo kuwa mshtakiwa alitenda makosa hayo kati ya Januari mwaa 2005 na Desemba mwaka 2008 katika makao makuu ya BoT.

Alidai kuwa mshtakiwa alimshauri vibaya Gavana wa BoT katika ununuzi wa mashine 26 za kuharibu noti pasipo kujali mahitaji halisi ya benki. Hata hivyo mshtakiwa alikana mashtaka na upande wa mashtaka ulidai kuwa upelelezi bado haujakamilika na kwamba hawana pingamizi na dhamana.

Hakimu Tarimo alitoa masharti ya dhamana ambapo mshtakiwa alitakiwa kuwa na wadhamini wawili wa kuaminika watakaosaini dhamana ya maneno ya Sh 10 milioni kila mmoja.

Jengo alitimiza masharti hayo na kuachiwa kwa dhamana hadi kesi Februari 29 mwaka huu, kesi hiyo itakapotajwa tena.

Katika kesi iliyoko Mahakama ya Ilala, Jengo anashtakiwa na maofisa wengine watatu wa BoT akidaiwa kughushi nyaraka kwa kampuni inayotengeneza noti za benki hiyo kwa lengo la kumdanganya mwajiri wao. Washtakiwa wengine ni Kisima Mkango, Bosco Kimela na Ally Farjallah Bakari ambao kwa pamoja wanadaiwa kutenda makosa hayo jijini Dar es Salaam. 

Wanadaiwa kuwasilisha nyaraka kwa kampuni hiyo ili kuchapisha kiasi kikubwa cha noti tofauti na kilichoidhinishwa na mwajiri wao.

Katika mashtaka mengine wanadaiwa kuingia mkataba wa kuchapa noti kwa bei ya juu kinyume na makubaliano halali hivyo kuisababishia Serikali hasara ya Sh 104,158,536,146. 

Wanadaiwa pia kuupeleka mkataba huo kwa mamlaka zinazotengeneza noti ukionyesha bei ya uongo

Maoni yangu

Hapa hafungwi mtu uwendawazimu mtupu. Kumbukumbu zinaonyesha ukiiba pesa nyingi hapa Tanzania hufungwi, Ila ukidokoa ndo unafungwa miaka mingi kwa kuwa ni mpumbavu. Kosa limetendwa kati ya 2005 hadi 2008, Gavana muda huo alikuwa Balali, upelelezi hadi leo haujakamilika. Hapa hamna kitu. watu wazima tumeshaelewa. Hawa wamefikishwa mahakamani ili serikali ijipatie sifa kuwa ilishawahi kufikisha mafisadi papa mahakamani ila hakuna kufungwa mtu wala nini.

Source Mwananchi 31/01/2012

Utaratibu wa manunuzi ya BOT ndiyo ulivyohivyo? kuwa mkurugunzi wa mifumo ya kibenki ndiyo kauli yake ni ya mwisho bila kushikikisha Bodi na wataalamu wengine? nafikiri hizi kesi za TAKUKURU na tuhuma wanazowapandikizia watu ni aina nyingine ya uhujumu uchumi maana mwisho wa siku wakishindwa kuthibitisha ni kuwalipa watuhumiwa hao hela za watanzania bila sababu za msingi. Sipati picha kuwa kosa lililotendeka mwaka 2005 hadi 2008 mpaka sasa ushahidi wake haujakamilika!!!! kwa watu wenye hekima na akili nilazima kujiuliza maswali mengi sana kwa mfano ni vipi Bodi nzima ya Bank Kuu pamoja na Gavana ambaye inadaiwa alishauriwa vibaya ni vipi akae kimya aridhike asichukuwe hatua kwa maofisa hawa mpaka TAKUKURU ione miaka minne baaaye? hao nao wanamsamaha gani wa kisheria??? Hizi kesi za hapa TZ hazina tofauti na zile za maigizo ya vituko vya mahakama VINAVYORUSHWA na KBC. Hizi ni Kesi kama za AKINA JERRY MURO mwisho wa siku ni aibu kwa TAKUKURU!!!
 
At least wakati huu wa Kikwete tunaona wanafikishwa mahakamani. Tulikuwa hatuyajui haya kabla ya Kikwete.
Wakati wa Kikwete upi unaosema, mbona hao wezi wa EPA wandunda mitaani???? Wanunua rada pamoja na kelele za mataifa mbali mbali na Uingereza kurudisha fedha naona wapo tena bungeni kabisa!!!!! Dada yangu hujambo natumaini mzima?????????
 
At least wakati huu wa Kikwete tunaona wanafikishwa mahakamani. Tulikuwa hatuyajui haya kabla ya Kikwete.
hakuna cha maana kinachofanyika,huku ni kupoteza hela tu,
kama mtu anafikishwa mahakamani then anakuja kuachiwa,its nonsense
 
NAIBU Mkurugenzi wa Mifumo na Huduma katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Simon Jengo, amepandishwa kizimbani akikabiliwa na mashtaka ya matumizi mabaya ya ofisi katika ununuzi wa mashine 26 za kuharibu noti.

Kigogo huyo alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam jana na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru).

Jengo anyeakabiliwa pia na kesi nyingine katika Mahakama ya Wilaya Ilala, anatuhumiwa kughushi nyaraka kwa kampuni inayotengeneza noti za benki hiyo kwa lengo la kumdanganya mwajiri wake na kumsababishia hasara ya zaidi ya Sh 104 bilioni.Mwendesha Mashtaka wa Takukuru Ben Lincon, alidai mbele ya Hakimu Mkazi Rita Tarimo kuwa mshtakiwa alitenda makosa hayo kati ya Januari mwaa 2005 na Desemba mwaka 2008 katika makao makuu ya BoT.

Alidai kuwa mshtakiwa alimshauri vibaya Gavana wa BoT katika ununuzi wa mashine 26 za kuharibu noti pasipo kujali mahitaji halisi ya benki. Hata hivyo mshtakiwa alikana mashtaka na upande wa mashtaka ulidai kuwa upelelezi bado haujakamilika na kwamba hawana pingamizi na dhamana.

Hakimu Tarimo alitoa masharti ya dhamana ambapo mshtakiwa alitakiwa kuwa na wadhamini wawili wa kuaminika watakaosaini dhamana ya maneno ya Sh 10 milioni kila mmoja.

Jengo alitimiza masharti hayo na kuachiwa kwa dhamana hadi kesi Februari 29 mwaka huu, kesi hiyo itakapotajwa tena.

Katika kesi iliyoko Mahakama ya Ilala, Jengo anashtakiwa na maofisa wengine watatu wa BoT akidaiwa kughushi nyaraka kwa kampuni inayotengeneza noti za benki hiyo kwa lengo la kumdanganya mwajiri wao. Washtakiwa wengine ni Kisima Mkango, Bosco Kimela na Ally Farjallah Bakari ambao kwa pamoja wanadaiwa kutenda makosa hayo jijini Dar es Salaam. 

Wanadaiwa kuwasilisha nyaraka kwa kampuni hiyo ili kuchapisha kiasi kikubwa cha noti tofauti na kilichoidhinishwa na mwajiri wao.

Katika mashtaka mengine wanadaiwa kuingia mkataba wa kuchapa noti kwa bei ya juu kinyume na makubaliano halali hivyo kuisababishia Serikali hasara ya Sh 104,158,536,146. 

Wanadaiwa pia kuupeleka mkataba huo kwa mamlaka zinazotengeneza noti ukionyesha bei ya uongo

Maoni yangu

Hapa hafungwi mtu uwendawazimu mtupu. Kumbukumbu zinaonyesha ukiiba pesa nyingi hapa Tanzania hufungwi, Ila ukidokoa ndo unafungwa miaka mingi kwa kuwa ni mpumbavu. Kosa limetendwa kati ya 2005 hadi 2008, Gavana muda huo alikuwa Balali, upelelezi hadi leo haujakamilika. Hapa hamna kitu. watu wazima tumeshaelewa. Hawa wamefikishwa mahakamani ili serikali ijipatie sifa kuwa ilishawahi kufikisha mafisadi papa mahakamani ila hakuna kufungwa mtu wala nini.

Source Mwananchi 31/01/2012

Ndiyo maana noti ni mbovu na wala hazifai kwa ajili ya matumizi ya binaadamu.
 
At least wakati huu wa Kikwete tunaona wanafikishwa mahakamani. Tulikuwa hatuyajui haya kabla ya Kikwete.

Ni kweli wamefikishwa ingawaje wameachiwa na na wengine wako mbioni kusafishwa na kulipwa fidia kama Zombe na wengine. Liyumba ilikua ni ugomvi binafsi otherwise nae angeachiwa ama angelipwa fidia. So yote unayoyaona ni changa la macho!
 
kaka the guy sio mwizi na hajawahi kumuibia mwajiri wake hata kidogo,hakukuwa kesi kwake ila ni beef binafsi na mkulu tu.hela yake yeye ilitokana na kuuza 'sembe' ambayo kaipiga toka kitambo sana!before ****** hajaupata 'ukiranja' asingeweza kumgusa hata kidogo,alikua na nguvu kubwa mno!!
 
Back
Top Bottom