Ufisadi huu wa kupata ajira Mamlaka ya Bandari -Tanzania (TANZANIA PORTS AUTH) hadi lini?

mambomoto

JF-Expert Member
May 10, 2011
326
236
Jamani kama kuna mambo yanakera katika Mamlaka hii ni upendeleo katika kupata ajira. Yaani ili upate ajira lazima ujuane na wakubwa. Hakuna haki hata kidogo. Nitawaletea vielelezo vya jinsi watu walivyajiriwa kwa rushwa muone.
 
Back
Top Bottom