Ufisadi haukuanzia awamu ya nne!

I love this thread.

Nakumbuka mzalendo ilikuja kichwa cha habari CHAMA CHACHAMAA. Kama sikosehi ilihusika na mauzo ya meli au midege mibovu ya ATC.

Ufisadi ulikuwepo toka enzi hizo. Lakini wakati mtoto alikuwa anatambaa tu. Sasa mtoto ufisadi ni jimama au jibaba.
 
Guys why are we living in yesterday? That is gone we have no control over..but we do have a control of whats going on today. Enzi za Nyerere, and Mwinyi na first term ya Mkapa, mambo yalikuwa yanafanyika kwa siri sana, don't get me wrong bado kuna usiri mkubwa sana katika sehemu nyeti lakini mambo yamebadilika. Magazeti yana uhuru kidogo wa kukemea maovu na hata kuandika maovu ya serikali, na mtandao ndio kabisaa umetake mawasiliano to the next level. Hebu fikiria enzi za Mwinyi ama Mkapa first term..ungepata wapi hizi pdf za mikataba mibovu ya Richmond, IPTL, BOT na kadhalika?
Tusitetee ufisadi kwa kusema ulianza siku nyingi...Yes, but then those few who enriched themselves got a pass, should we continue to give them a pass today?..heck no! Ndio maana katika gari lolote lile, a rear view mirror ni ndogo kulinganisha na kioo cha mbele. Why? Kwa sababu the past doesn't matter. The future..where your going matters not where you are coming from. Kwa hiyo basi, tuangalie ni nini kimetokea kuhusu fedha za BoT (mwaka 2005 to current) and not what happened in the 80's. Tupige kelele tukemee hii tabia ya viongozi corrupt kujichulia resources za wananchi kwa manufaa yao wakati mamilioni wanaendelea kudoda kwenye umasikini wa kupindukia. Tu demand accountability na hata ikiwezekana tuwazomee na kuwapiga mawe. Tusi-justify tabia ya mtoto kuwa jambazi sugu ukubwani eti kwa sababu alipokuwa mtoto alikuwa anaiba sukari.

Capitol:

Data zipo na tukihamua kuzikusanya na tunaweza ku-execute.
 
NYERERE:

kuna ofisa wa ngazi ya juu wa polisi alikanyanga raia na gari lake. afisa huyo alitoroka eneo la tukio. uchunguzi ulifanyika na akapelekwa akashtakiwa. kesi yake ilizimwa kwa hali ya kutatanisha. baadaye Mwalimu akampa kazi ktk ubalozi wetu nchi za magharibi.

MWINYI:
..huyu naye alifuata yaleyale ya Mwalimu. Alimfutia adhabu rubani wa ndege aliyefungwa kwa kosa la kushiriki kutorosha madini na nyara za taifa.

MKAPA:

..yeye aliiga ya Mwinyi na Mwalimu kwa kumkumbatia Balozi Mahalu aliyeiba fedha za serikali kupitia tenda ya ujenzi wa nyumba ya ubalozi.

KIKWETE:

..huyu naye atamuachia muuaji Ditopile kwa kutumia precedence ya yule afisa wa polisi aliyezawadiwa nafasi ya kazi ubalozini baada ya kukanyaga raia kwa gari lake.
 
....

LOWASA...

Rais mtegemewa wa Tanzania (na ccm) naye ataendelea kufanya the same thing kwa kisingizio kuwa ufisadi haukuanza leo.

DR MWINYI..

Rais mtegemewa wa Tanzania (na ccm) baada ya Lowasa naye kwa visingizio kuwa ufisadi ulianzishwa na Nyerere ataendeleza ufisadi kama hana akili nzuri...

RIDHIWANI KIKWETE..

Rais mtegemewa wa Tanzania (na ccm) baada ya Mwinyi miaka mingi sana ijayo naye ataendeleza ufisadi kwa the same story kuwa lawama zote inabidi apewe Nyerere mwanzilishi wa ufisadi Tanzania
 
Capitol:

Data zipo na tukihamua kuzikusanya na tunaweza ku-execute.
Sikatai kwamba kulikuwa hakuna corruption enzi za nyuma, hapana. Nafikiria kulikuwa na watu wenye mioyo ya choyo na kujitajirisha harakaharaka lakini sio kwa scale ya sasa ya hii regime ya Mkapa na Kikwete. Yawezekana pia kuwa huko nyuma yaliwahi kufujwa ma-bilioni ya shilingi lakini kwa vile hatukuwa na dataz au kwa vile kulikuwa na hali ya kuiogopa serikali meaning kwamba ukisema chochote kile kinachoikosoa serikali hadharani unchukuliwa hatua kali za kisheria kwa kosa la uchochezi, lakini ukiangalia mambo ya sasa hali inatisha. Kwa mfano, nina rafiki yangu ambaye anafanya kazi TRA. Huyu jamaa alipopelekwa kufanya kazi post ya Namanga alipata hela ya ajabu sana overnight. Na pale hakukaa zaidi ya mwaka mmoja akahamishwa. Hapa karibuni akawa amesimamishwa kazi kutokana na upotevu wa fedha. Jamaa katika maongezi yetu akaniambia ameambiwa na mabosi wake apeleke chakula ili aweze kurudishwa kazini. Sasa hiyo ni ngazi ya chini, kuna rushwa ya wazi wazi, je huko juu Makao makuu, na wizarani? Iko wapi responsibility?
Ukiangalia mafisadi wa new era wote wana wealth ya nguvu na wanachofanya ni kuendelea ku accumulate more...hii ndio tafauti yao na wale wa enzi ya Nyerere na Mwinyi. Japokuwa hakuna wizi mdogo wala mkubwa..but hebu fikiria ni fedha "hewa" kiasi gani zimepotea katika the following:
1. Rada 2. Ndege ya Rais 3. BoT Twin Towers 4. BoT EPA Accounts
Then jiulize haya yote yametokea katika time frame ipi?

Ukiweka haya madhambi yote yale ya marehemu Kighoma Malima yanaonekana cha mtoto....thats why ninasema..tuangalie sasa and not yesterday.
 
Tofauti hipo kubwa sana na nakubaliana na wewe. Miaka ya nyuma mishahara na marupurupu yalikuwa kimeo. Sasa hivi matatizo yanatokea sehemu ambayo watu wanalipwa zaidi ya watu wengine. Unafanyakazi BOT au TRA kwanini uibe?
 
Wakati wa nyerere ungeyaonea wapi? hatukuwa hata na TV, redio ndio hiyo RTD, magazeti ya chama tuu. Ungeyaonea wapi na system ilikuwa bize kweli kweli kuhakikisha hatujuwi kinachoendelea duniani, au hayo huyajuwi? besides, hao wanao-ongoza sasa hawakuwepo wakati wa nyerere?

Sasa wewe kuwa na TV umeona jambo la maana sana katika maisha ya Watanzania! :confused:
Hebu niambie TV imesaidia vipi katika kuinua viwango vya maisha ya Watanzania walio wengi.
Sasa kama walikuwapo wakati wa Nyerere mbona miaka hiyo walijifanya ni watakatifu? Kulikoni wakaamua kuwa mafisadi na waroho wa utajiri wa haraka haraka bila kujali ufisadi wao unaweza kuingamiza nchi!?
Duh! Kuna watu wengine TV wanaona kitu cha maana sana! Wanaweza hata kuiangamiza nchi ili mradi tuwe wawe na TV! Bado tuna safari ndefu sana...:(
 
Kweli kabisa, Jee ufisadi uendelee mpaka lini? EL sidhani kama anatumia history ya kuanika ufisadi, labda anatumia history ya kuuendeleza ufisadi kama tuonavyo janayojiri hivi sasa.

Kabla ya Uhuru, kulikuwa na mwingereza katutawala kwa kukabidhiwa Tanganyika na UN, mpaka tutakapo jiweza, Jee baada ya Nyerere kukabidhiwa nchi, kafanya nini? si ndio katuwekea wanaoimaliza nchi kwa ufisadi sasa hivi?

Wakoloni sasa hivi wanatutawala ki-uchumi na ki-system, na hiyo ndiyo mbaya zaidi. Jee huijuwi system ni nini?

Yaani hujui Nyerere kaifanyia nini Tanzania! Ama kweli tenda wema nenda zako. Kama sio Nyerere wewe ungekuwa mbumbu mzungu wa reli wala usingejua darasa linafananaje. Kama hujui vitu uliza uambiwe siyo kukurupuka tu na kuandika upupu...au wewe ni mmoja wa mafisadi au umenufaika na ufisadi kwa namna moja au nyingine sasa unajaribu kubadilisha somo ili upandikize upupu wako.
 
Augustine Moshi,
Mwalimu failure to build strong ecomony as anticipated by many does not justify any of the claim made by Zomba _ UFISADI.
Issa Shivji in his essay - The Silent Class Struggle in Tanzania, observe that 'Ujamaa would suffer at the hands of state bureaucrats. Capitalising on the need to Africanize the economy, the bureaucrats would seek to use state power for self- enrichment.'
The fact is - It never found its way during Mwalimu era til...I can list the all cabinet where they used to live (government housing) and what assets they own... Prof. Shivji knows this for a fact.
But after Azimio la Zanzibar as Prof. Shevji observed, MAFISADI found their way in. Systematically bend the rules to suit and support their hunger for wealth, serving their exploitative interests while giving us lip services.....
Brother Augustine, huu ndio Ufisadi na sio Nyerere aliyekosa kitu cha kuuza kutokana na kutokuwa na uwezo.. Kidogo tulichopata tulikiona kikifanya kazi hata kama hazina ilifilisika.

Two request brother Moshi...
1. Would love to hear names of those involved...besides is that the only case you kinda pick on to judge the all system?
2. Finding treasury empty!...A well manufactured theory! mkuu abu nambie kama haya maneno kweli then how did they manage the budget when Mwinyi came to power!.. maanake NOTHING means hakuna kitu.
kama una uwezo wa kuzipata kanda au archives za mikutano miwili ya mwanzo mwanzo ya Mwinyi, pale diamond jubilee alipowaita wazee wa Dar. kuongea nao, naona ingekusaidia kufahamu kuwa awamu ya kwanza iliiacha BoT kavu kabisa, kama nakumbuka sawa moja ya mkutano huo maarufu hotuba ya "mikuki miwili" Mwinyi alilalama akisema kaachiwa hazina tupu na katika mikuki miwili achaguwe upi? kukubali masharti ya IMF na World Bank au watanzania tuendelee "kufunga mikanda" ya kukosa hata mafuta ya usafiri.

Kama kuna mtu anazo archives za hotuba hizo naomba azibandike hapa zitasaidia kututuwekea wazi ya kuwa ufisadi ulikuwepo hata wakati wa Nyerere.
 
Mkuu wewe utupatie hizo kanda ili tuzione maana sasa hoja yako lakini wataka wenzako wakuletee evidence? Nimetafuta sana hapa kuona aliyesema kuwa wakati wa Nyerere hakukuwa na ufisadi ila bado sijaona.

Labda wewe uonyeshe hili ili ijulikane unachotaka kuprove hapa ni nini haswaaa!
 
Japo historia ni muhimu katika kuelewa tumefikaje hapa tulipo,la uhimu zaidi ni nini kifanyike sasa ili kuboresha hali iliyopo na ijayo.Wakati mwingine kuangalia sana nyuma ni dalili ya uchovu wa akili ktk tafakuru ya matatizo yaliyopo,na hata uoga wa nini kijacho huko mbeleni.You know what,pindi tukifanikiwa kurekebisha matatizo yaliyopo basi ni dhahiri kwamba wahalifu wa nyuma (walio hai) watavuna walichopanda.

Tuwe makini,mafisadi wanaweza kutaka kutusahaulisha machungu yaliyopo kwa kutuletea masomo ya historia.Tukiangukia kwenye mkumbo huo tutaanza kazi ya kufukua makaburi ya akina Nyerere (it's fine japo sio priority kwa sasa) ilhali Muungwana&Co's account zinazidi kutuna huko Geneva.
 
Bado siamini kama Nyerere alikuwa FISADI kwa sababu huyu mzee pamoja na sera zake za kijamaa lakini ukweli ni kwamba aliishi maisha ya kawaida tu. siwajui watoto wake vizuri zaidi ya Mbunge wangu wa zamani wa Arusha (Makongoro) lakini naamini baba wa taifa hakuacha trust fund ya maana kwa mtoto wake yeyote..sio kama viongozi wengine waliojilimbikizia kama EL, Mkapa na Mramba et al., Ndio maana naamini kama kuna madhambi yaliyotokea enzi za mwalimu yalikuwa very minor. Labda mnaweza kusema ana assets kama nyumba..ile moja ya kule kijijini ilikuwa zawadi na hiyo ya hapo Msasani sijafika so siwezi ku comment ina value gani au ubora gani lakini sidhani kama ni property ambayo utaiweka kwenye class moja na property wanazofyatua watuhumiwa wa ufisadi. My be I am wrong, naombeni mchango wenu.
 
Yaani hujui Nyerere kaifanyia nini Tanzania! Ama kweli tenda wema nenda zako. Kama sio Nyerere wewe ungekuwa mbumbu mzungu wa reli wala usingejua darasa linafananaje. Kama hujui vitu uliza uambiwe siyo kukurupuka tu na kuandika upupu...au wewe ni mmoja wa mafisadi au umenufaika na ufisadi kwa namna moja au nyingine sasa unajaribu kubadilisha somo ili upandikize upupu wako.

Kwa sababu Nyerere alifungua shule za msingi kila kijiji basi tumpe shukrani ama sivyo tungekuwa mbumbumbu.

Ukweli wenyewe Nyerere kasomeshwa na wakoloni na bila shule za wakoloni, Nyerere angekuwa mchunga mbuzi kama vile wazanaki wengine waliokosa nafasi za shule. Na kama shukrani Nyerere alibidi awaache wakoloni watawale kwa sababu walimtoa umbumbumbu.

Elimu yenye critical analysis lazima aliyesoma kutumia ubongo wake. Mtu anayekupa elimu na baadaye kukupa masharti ya kutumia elimu yako ni sawa angekunyima elimu kabisa.

Elimu ya Tanzania kuanzia shule za msingi mpaka university imejengwa kwa nidhamu ya woga. Na woga wenyewe unatokana na viongozi wa mwanzo wa Afrika huru akiwemo Nyerere kufanya mawazo yao ndio sera na sheria ya nchi.

Kwa ufisadi tulio nao sasa itakuwa gharama kurudi zaidi ya miaka kumi. Tuwafanyie kazi kuanzia 2000 mpaka 2007.
 
kama una uwezo wa kuzipata kanda au archives za mikutano miwili ya mwanzo mwanzo ya Mwinyi, pale diamond jubilee alipowaita wazee wa Dar. kuongea nao, naona ingekusaidia kufahamu kuwa awamu ya kwanza iliiacha BoT kavu kabisa, kama nakumbuka sawa moja ya mkutano huo maarufu hotuba ya "mikuki miwili" Mwinyi alilalama akisema kaachiwa hazina tupu na katika mikuki miwili achaguwe upi? kukubali masharti ya IMF na World Bank au watanzania tuendelee "kufunga mikanda" ya kukosa hata mafuta ya usafiri.

Kama kuna mtu anazo archives za hotuba hizo naomba azibandike hapa zitasaidia kututuwekea wazi ya kuwa ufisadi ulikuwepo hata wakati wa Nyerere.

Ukweli ni lazima tusema. Nyerere aliacha hazina tupu. Na hazina iliachwa tupu sio kwa ufisadi bali kwa siasa za ujamaa. Hata nchi zilizoendelea viongozi wanaacha hazina tupu. Lakini kama kuna mitaji watu wanajaza tena hazina. Lakini sio watu kudonyoa pesa wakati mpo katika kipindi cha kujazia hazina.

Tanzania ilikuwa inategemea kilimo. Tanganyika ilikuwa inaongoza kwa kuzalisha mkonge na Zanzibar karafuu. Kutokana na mambo ya kisiasa, kushuka kwa bei za mazao na mambo mengine, hatukuweza kufika mbali.

Pamoja na kujua kuwa kilimo ndio mti wa mgongo. Jitihada za kuendeza kilimo zilikuwa ndogo na serikali ilitumia pesa nyingi kufungua viwanda visivyo na manufaa ya kiuchumi.

Na kama unataka hotuba za Mwinyi. Katika hizo hotuba alisema kuwa tulifanya makosa kusema kilimo ni uti wa mgongo wa uchumi wetu. Kwa maoni yake uti wa mgongo ni sekta zinazoingizia taifa mapato makubwa. Na jitihada zikaanza kufanyika kuongeza utalii na uchimbaji wa madini ambayo yanasaidia wachache kwa kipindi cha sasa.

Mwinyi hakutoa hotuba zile kulaumu ufisadi bali kulikuwa na ulazima wa kubadilisha gear kwa sababu siasa za kilimo na ujamaa zilikuwa zimefika ukingoni.

Kutokana na utaalamu wetu, tunachopata katika utalii na madini ni hafifu sana ukilinganisha na nchi zingine kwa kiwango kilekile. Lakini ni lazima tuwe na mwanzo.

Na udhaifu unatufanya tupoteze rasimali zetu mara mbili. Kwanza kwa wawekezaji na pili kwa ndugu zetu kitu ambacho tusivumiliane.

Kwa kifupi tu Nyerere angetia mikataba ya 3% asingeacha hazina tupu. Na hilo ndio moja ya makosa yake makubwa. Lakini kwa upande mwingine katuachia urithi ambao kwa sasa tunauchezea.
 
Kwa sababu Nyerere alifungua shule za msingi kila kijiji basi tumpe shukrani ama sivyo tungekuwa mbumbumbu.

Ukweli wenyewe Nyerere kasomeshwa na wakoloni na bila shule za wakoloni, Nyerere angekuwa mchunga mbuzi kama vile wazanaki wengine waliokosa nafasi za shule. Na kama shukrani Nyerere alibidi awaache wakoloni watawale kwa sababu walimtoa umbumbumbu.

Elimu yenye critical analysis lazima aliyesoma kutumia ubongo wake. Mtu anayekupa elimu na baadaye kukupa masharti ya kutumia elimu yako ni sawa angekunyima elimu kabisa.

Elimu ya Tanzania kuanzia shule za msingi mpaka university imejengwa kwa nidhamu ya woga. Na woga wenyewe unatokana na viongozi wa mwanzo wa Afrika huru akiwemo Nyerere kufanya mawazo yao ndio sera na sheria ya nchi.

Kwa ufisadi tulio nao sasa itakuwa gharama kurudi zaidi ya miaka kumi. Tuwafanyie kazi kuanzia 2000 mpaka 2007.

Bado hainingii akilini kumlinganisha Nyerere na Fisadi Mkapa aliyekupua KCM katika mazingira ya kutatanisha, aliyefaidika na rushwa ya ununuzi wa rada, ndege ya Rais, magari na helicopter za jeshi, mikataba ya siri ya uchimbaji wa madini, aliwaleta Net Group solotions ili waiue TANESCO, aliyeamua kuuza nyumba za serikali kwa bei ndogo sana ili azichangamkie nyumba alizokuwa anazimezea mate. Hebu tueleze Nyerere alifanya ufisadi gani wa kuwaibia mali au rasilimali za Watanzania au kuwalinda mafisadi waliokupua mabilioni ya pesa za Watanzania kama wanavyolindwa na Kikwete.
 
Now we are going too far, Mwalimu aachwe kwenye mijadala kama hii ya mafisadi maana he has nothing to do with it, sikubaliani na siasa nyingi za Mwalimu, lakini ufisadi sio moja ya mapungufu yake,

Mafisadi tulionao leo tumewachagua wenyewe, sasa tusisingizie Mwalimu, muacheni Mwalimu apumzike kwa amani, yaani Mama Meghji kaidhinisha barua ya mlo tumlaumu Mwalimu?
 
Well Said Mkuu
 
Bado hainingii akilini kumlinganisha Nyerere na Fisadi Mkapa aliyekupua KCM katika mazingira ya kutatanisha, aliyefaidika na rushwa ya ununuzi wa rada, ndege ya Rais, magari na helicopter za jeshi, mikataba ya siri ya uchimbaji wa madini, aliwaleta Net Group solotions ili waiue TANESCO, aliyeamua kuuza nyumba za serikali kwa bei ndogo sana ili azichangamkie nyumba alizokuwa anazimezea mate. Hebu tueleze Nyerere alifanya ufisadi gani wa kuwaibia mali au rasilimali za Watanzania au kuwalinda mafisadi waliokupua mabilioni ya pesa za Watanzania kama wanavyolindwa na Kikwete.

Nadhani katika posti yangu iliyofuatia niliandika kuwa Makosa ya Nyerere yalikuwa kwenye siasa za uchumi. Na kama aliacha hazina tupu ni kwa sababu kapu lake la ujanja liliishiwa materials na sio ufisadi.

Nilichopinga ni kigezo cha Nyerere kusomesha watu na hasipigiwe kelele. Elimu inakutaka useme ukweli au mawazo yako japokuwa kwa wakati mwingine utapingana na mwalimu wako au aliyekupa shule.

Mafisadi wako katika awamu hizi ya tatu na nne. Na sioni kwanini tuite awamu ya nne kwa sababu hakuna tofauti yoyote.
 
Pamoja na kuwa Nyerere aliacha Hazina tupu bado huwezi kumlinganisha na hao walioijaza hazina mapesa lukuki kisha wakayaiba na kuhamishia kwenye bank account zao nje ya ncho na kujenga majumba ya kifahari kama ya wacheza sinema wa Hollwood.

Je, hao walioijaza mapesa hazina waliinua vipi viwango vya maisha ya Watanzania ukilinganisha na Nyerere aliyeacha hazina ikiwa haina kitu!? Ninavyojua mimi walijitajirisha wenyewe na familia zao na wakiwaacha Watanzania walio wengi wakiwa maskini wakutupa kuliko hata walivyokuwa wakati wa Mwalimu.
 
Pamoja na kuwa Nyere aliacha Hazina tupu bado huwezi kumlinganisha na hao walioijaza hazina mapesa lukuki kisha wakayaiba na kuhamishia kwenye bank account zao nje ya ncho na kujenga majumba ya kifahari kama ya wacheza sinema wa Hollwood.

Je, hao walioijaza mapesa hazina waliinua vipi viwango vya maisha ya Watanzania ukilinganisha na Nyerere aliyeacha hazina ikiwa haina kitu!? Ninavyojua mimi walijitajirisha wenyewe na familia zao na wakiwaacha Watanzania walio wengi wakiwa maskini wakutupa kuliko hata walivyokuwa wakati wa Mwalimu.

Wewe unasema wameiba alafu mnawaita mafisadi. Anayeiba anaitwa MWIZI (period).

Sipendi ujamaa lakini Nyerere sio Mwizi.
 
Back
Top Bottom