Ufisadi EPA na Richmond ni mjukuu,babu yupo kwenye mawizara.

Tikerra

JF-Expert Member
Sep 3, 2008
1,702
146
Serikali imeanza kuvalia njuga matatizo ya ufisadi nchini,tunasema hii ndiyo kasi mpya.Lakini ombi letu ni kwamba hapo pawe mahali pa kuanzia tu.Bado kazi ni kubwa.Serikali ikimaliza EPA na Richmond uchunguzi uhamie kwenye mawizara mbalimbali.Huko ndiko babu aliko.Ya EPA na Richmond ni wajukuu.
 
..........Atabaki mtu kweli hapo serikalini?maana wote wanajuanaa....
 
Patamu,

What goes around comes around! I just don't know who will be spared. Shida ni kuwa hakutakuwa na mtu wa kumchunguza mwenzaki.

Hili ni kama Tatizo la kughushi vyeti vya shule. Niliwahi kusema huko nyuma kwamba kama si wewe uliyeibua soo la ku-forge basi ni mkeo, ndugu yako, nyumba ndogo au mshikaji. Mbali ya hayo kuna wale uliowasaidia kwa namna moja au nyingine kughushi. Sasa nani atamchunguza mwenzake? Hata hili la ufisadi nchini sina hakika litaishia wapi. Labda kama tuna mpango wa kutumia Scotland Yard na mwisho kuwapeleka watuhumiwa The Hague!!
 
Serikali imeanza kuvalia njuga matatizo ya ufisadi nchini,tunasema hii ndiyo kasi mpya.Lakini ombi letu ni kwamba hapo pawe mahali pa kuanzia tu.Bado kazi ni kubwa.Serikali ikimaliza EPA na Richmond uchunguzi uhamie kwenye mawizara mbalimbali.Huko ndiko babu aliko.Ya EPA na Richmond ni wajukuu.

Good point, kwa nyongeza kuna Mashirika ya Umma huwa "yanajidai" yana uhuru wao wa kujiamulia mambo bila mashinikizo ya serikali/wizara nayo yamulikwe. Huko ndiko majasho ya walipa kodi yanachomwa vibaya mno
 
Good point, ila kwa nyongeza kuna Mashirika ya Umma huwa "yanajidai" yana uhuru wao wa kujiamulia mambo bila mashinikizo ya serikali/wizara nayo yamulikwe. Huko ndiko majasho ya walipa kodi yanashomwa vibaya mno

MWalimuZawadi;

Tuanzie mawizara bana... huko ndio home nao wataweza ya wengine, usihamishe magoli kwa sasa
 
Back
Top Bottom