Ufisadi: CCM Dar yamvaa Idd Azzan; Wamfungia miezi 18

habari mpya zinadai kuwa idd azzan ameshindwa kuthibitisha tuhuma zake na badala yake ameomba msamaha jana kwenye halmashauri kuu ya mkoa wa dar na amefuta kauli yake..

huyu jamaa na viongozi wa mkoa haieleweki wametibuana kwa ajili gani lakini habari nyepesi nyepesi zinadai kwamba azzan hajamaliza kukata mkwanja kwa viongozi wa mkoa kwa ajili wao ndio walimsaidia kupata huo ubunge...

juzi nimesoma gazeti la tz daima na kuona katibu wa mkoa wa dar kilumbe ngenda akisema kuwa idd azzan anauza madawa ya kulevya...

kazi ipo...
 
SEKRETARIETI YA CCM MKOA WA DAR ES SALAAM IPIGE CHINI............................Mh IDD AZZAN ZUNGU uko sahihi ni kweli kuna madudu mengi yalifanyika katika uchaguzi mkoa wa Dar es salaam , KILMBE NG'ENDA NA WENZIE WALIFANYA KAMPENI ZISIZOKUWA NA MASHIKO HATA KIDOGO KWA UHAI WA CHAMA NDIO SABABU KUPOTEZA MAJIMBO MAWILI YA UBUNGO NA KAWE NA KATA (17)

-UBONGO MAMA HAWA NG'UMBHI hawakuwa chaguo la wengi wanaCCM lakini kutokana na fitna za MWENYEKITI WA WILAYA MZEE MWAIKAMBO KUHONGWA NA HUYO MAMA SHILINGI MILIONI SABA akapotea njia na kumpitisha huyo mama, mama yule aliuza nyumba yake MBEZI BEACH PALE SAMAKI ili aweze pita kura za maoni alipita ndio, kilichotokea JOHN JOHN MNYIKA NDIO MPANGO MZIMA MBUNGE
WA UBUNGO. MZEE HUYU MWAIKAMBO hutarajii na umri wake wote ule bado anapenda totoz kwani hawara yake KWA MUDA WA MIAKA (3) ANCHELA CHARLSE KIZIGHA aliyempitisha kuwa mgombea jimbo la KAWE CCM, bila kujua chaguo la wananchi lilikuwa KIPPI WARIOBA japo naye KIPPI WARIOBA alikisaliti chama na kumsaidia HALIMA MDEE FEDHA NA USAFIRI ESKUDO 3 ALIZITOA ZIMSAIDIE HALIMA MDEE na matokeo yake kuibuka mshindi wa jimbo la KAWE

KILUMBE NG'ENDA asijishauwe na kipare chake kile kumbe hakuna busara/hekima hata moja kazi kupenda totoz tu yeye na mzee Mwaikambo wanachangia Hawara mmoja ANGELA KIZIGHA aliyekuwa mgombea ubunge jimbo la KAWE NA MWENYEKITI WA WAZAZI
WILAYA YA KINONDONI nashangaa hawa wanaingiza mapenzi katika mambo ya msingi wa chama na Taifa, uhawara wao wangefanya huko barabarani anakopita sio katika chama washenzi wakubwa hao, sasa wamemt*******a lakini mwisho wa siku binti wa watu hata ubunge akuambulia kachukua yule dume jike HALIME MDEE demu wa LONDA diwani wa zamani wa KAWE na MEYA WA MANISPAA YA Kinondoni.

-Iddi Hazan alichokuwa anakiongea ni ukweli mtu wapige chini hao wote walitokota uchaguzi kwa kuwabeba mademu zao na mwisho wa siku CCM kupoteza ushindi, NAPE/CHILIGATI kuleni na hao sahani moja msisite kuchukua maamuzi magumu inapobidi na imeshabidi katika mkoa wa Darisalama, wa..wase**** sana pa***********fu zao.
 
Napa waeleze watu wa sumbawanga kwa nini Azama Kapata adhabu kali sana, ili wasiji wakakufuata kicwakichwa, washauri waingie CDM
 
Wewe uliyeweka thread hii badilisha kichwa cha thread na thread yenyewe. Kuna wabunge wawili tofauti Mussa Zungu (Ilala) na Iddi Azzan ( Kinondoni ) , yaonekana wewe wamuongelea Iddi Azzan
 
Back
Top Bottom