Uwezo Tunao
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 6,942
- 1,190
- Thread starter
- #61
Rais Kikwete, uamuzi wako wa kukata DARAJA LA MAZUNGUMZO NA CHADEMA kwa kusaini 'Muswada wa Makinda' siku moja tu mgongoni mwao toka watoke kwako Ikulu, hapo kweli kuna kulaumiana tena au ndio kusema huna time na CHADEMA juu ya swala hili sio??????