Ufi ipo au haipo

Questt

JF-Expert Member
Oct 8, 2009
3,010
422
Habari zenu Wadau.....

kama kuna yeyote mwenye data juu ya kiwanda cha uzalishaji wa Zana za Kilimo cha Ufi kilichopo Ubungo naomba anijulishe....Kuna kipindi kilikua kimesimama uzalishaji. so nanchoomba niyeyote mwenye deatils juu ya kiwanda hiki...Kinazalisha??? na kama yes kinazalisha vifaa gani vya kilimo???

Natanguliza Shukurani.

Mdau
 
Pamoja na kwamba sijaingia kwenye kiwanda hicho ni kwamba kimeacha uzalishaji wa zana za kilimo na kinazalisha steel Pipes. Hata jina limebadilishwa. Mwanzoni kulikuwa na majina mawili kwenye ukuta wa kuingilia yaani UFI NA TSP. SASA UFI limeondolewa limebaki TSP.
 
Back
Top Bottom