Ufaulu wa watoto wa maskini sasa ni issue!

MAKULUGA

JF-Expert Member
Jan 21, 2011
7,165
9,376
leo niomeshtushwa na habari katika gazeti la mwananchi kuwa ,eti wanafunzi wengi waliongoza kidato cha sita wanatoka familia maskini!!!!!!!!!!!
Hapa ndipo CCM walipotufikisha kwamba eti mtoto wa maskini akifaulu ni habari kuu kwenye magazeti!
Jamani MUNGU atuokoe ! enzi za mwali=mu watoto wa wakulima kufaulu ilikuwa ni suala la kawaida na si habari hata kidogo!
Ole wao walianzisha mfumo wa kuwakandamiza maskini
 
Ufisadi wa kimawazo na kimtizamo, lakini ukweli utabakia pale pale umasikini ndiyo chimbuko la mafanikio. Matajiri watakufa kwa ugonjwa wa vitambi kwasababu ya excessive feeding.
 
Kuna haja ya kuvua gamba kwenye elimu vilevile.Iondolewe ubaguzi kwenye bodi ya mikopo.
 
watoto wa maskini waliofaulu ni wachache tena kwa kipaji binafsi lakini wengi wao wamefail nan anabishaaa?
 
Wengine wanaweza kuona hii ni habari nzuri inayofaa kufunuliwa ili watu maskini wapate moyo wa kusoma.
 
serikali yetu haina macho na inatengeneza tabaka ambalo baadaye litaweza kuleta maafa makubwa sana. Maana mda utafika hao masikini watachoka na kuamua kudai raslimali zao zilizoporwa tangu siku za mwizi Mkapa hadi komedian JK.
 
serikali yetu haina macho na inatengeneza tabaka ambalo baadaye litaweza kuleta maafa makubwa sana. Maana mda utafika hao masikini watachoka na kuamua kudai raslimali zao zilizoporwa tangu siku za mwizi Mkapa hadi komedian JK.
Jamani mlitegemea kuona watoto wa vigogo wakati wanasoma nje ya nchi? Mtakuja kutambua kwamba walikuwa wanasoma pale mtapowakuta BOT au wakiwa kwenye CC ya ccm na sehemu zingine nyeti! Hao wanaotangazwa kuongoza kitaifa watakuwa mbali na sehemu nyeti!
 
Back
Top Bottom