KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,711
- 12,067
Baada ya wazazi, wanaharakati na wanasiasa kuhoji kuporomoka kwa ufaulu wa wanafunzi wa shule za kata katika matokeo yaliopita, kunamkakati wa kuotoa matokeo ya kuwaridhisha wananchi ili kuepusha lawama dhidi ya mipango ya serikali katika kuongeza idadi ya shule na waliofaulu kila mwaka.
Mkakati huo unatarajiwa kuanza katika matokeo yanayofuata na kuendelea.
Hii itasaidia hata kampeni zijazo ziwe na mafanikio hasa kwa chama tawala.
Mkakati huo unatarajiwa kuanza katika matokeo yanayofuata na kuendelea.
Hii itasaidia hata kampeni zijazo ziwe na mafanikio hasa kwa chama tawala.