Ufahamu juu ya Saa ya dhambi.

prakatatumba

JF-Expert Member
Oct 17, 2011
1,328
190
Mchungaji alikufa,akiwa mbinguni akakuta
kuna saa nyingi za mshale.
Akauliza zote hizo za nini?
Malaika akamwambia
ni za kuhesabu dhambi,mshale
ukizunguka mara moja mhusika wa saa anakuwa ametenda dhambi.
Kulikuwa
na moja haizunguki hata kidogo akaambiwa kuwa hiyo ni ya Nabii Musa.
Mchungaji akauliza
zi wapi saa za Lowasa,
Rostam, Jakaya, Chenge?
Malaika akajibu kuwa zipo chumbani mungu anazitumia kama feni!
 
Nimeipenda. Ila bible imeandikwa ”usihukumu maana yupo mmoja anaye hukumu naye ni Mungu”
 
hahahahaa
ya kikwete itakua kama yale ya kugema maji yale, ye na rizi wake
 
Mchungaji alikufa,akiwa mbinguni akakuta
kuna saa nyingi za mshale.
Akauliza zote hizo za nini?
Malaika akamwambia
ni za kuhesabu dhambi,mshale
ukizunguka mara moja mhusika wa saa anakuwa ametenda dhambi.
Kulikuwa
na moja haizunguki hata kidogo akaambiwa kuwa hiyo ni ya Nabii Musa.
Mchungaji akauliza
zi wapi saa za Lowasa,
Rostam, Jakaya, Chenge?
Malaika akajibu kuwa zipo chumbani mungu anazitumia kama feni!

Ishakuwepo hapa siku nyingi japo umeibadili kidogo kwakuwataja hao jamaa imenifurahisha sana
 
HE HE HE HE HE hii kaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom