stineriga
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 2,172
- 886
ninafahamu sana vitu vingi vya tech lakin hapa nimegonga mwamba, anayejua naomba anipe ufafanuzi. Kuna Simu nataka nunua online inasema ina 3G kwa EVDO lakini haina HSDPA.
Je, TIGO/VODA/AIRTEL wanayo hiyo EVDO? nahis ZANTEL wanayo sababu niliwahi kuwa na modem yao ilikuwa inaandika EVDO.
je speed ya EVDO kwenye 3G na speed ya HSDPA kwenye 3G ipi ina speed zaidi?