Uenyekiti wa UWT: Ni Vita Kati ya Ukweli na Ubatili!

Tunaomba CV yake? But I doubt wanyeviti wote wa UWT waliotangulia huwa ni wake/hawara wa vigogo wa CCM. Je na MayRose ni hawara/mke wa kigogo wa CCM?

Naomba tukumbushane Wenyeviti wa UWT waliotangulia
1 Marehemu Sophia Kawawa
2. Anna Abdallah Msekwa
3. Sophia Simba
4.............
5................

Mkubwa Big-up kwa hili!MAHAWARA!!!!!
 
Wanabodi,
Kipenga cha kugombea nafasi ya Uenyekiti wa UWT kimepulizwa na wa kwanza kukimbilia fomu ni Mwenyekiti wa sasa Mhe. Sofia Simba akijiaminisha atapata kwa mteremko wa kupita bila kupingwa maana CCM inatawaliwa na nidhamu ya woga kwa jina la "utii", lakini hali haikuwa hivyo kwani Mhe. Mama Anne Kilango Malecela ametia timu kumpinga Mama Simba ambae "she is good for nothing"!. Mama Kilango ni just an opportunist mpiga kelele kila anapoongea as if ana uchungu wa kweli na anachopigia kelele!.

Ila kumlinganisha na mama Simba, Kilango ni mpiganaji wa kweli kwani baada ya kubebwa pale mwanzoni, sasa amejibeba na kubebeka zaudi wakati Simba yeye ni kubebwa tuu mwanzo mwisho!.

Leo kuna binti kijana, msomi wa haja ambaye yuko very bright upstairs kwa jina la Bi. Mayrose Kavura Majinge, naye atatupa karata yake!. Huyu ni "very promising" kuibadili UWT toka hapo ilipo na kuipaisha to next level!.

Sasa subirini tushuhudie sarakasi za kama CCM inaendelea kuchagua "good for nothing" na kuisindikiza rasmi kaburini, au wana CCM wata opt for "oportunistic" ili kuendeleza ulaji na kupeana au this time watachagua "promising leadership" kujaribu kuiokoa CCM ambayo imeshaonyesha dalili zote za mkao wa kifo?!.

Kwa vile sio siri, its open secret kuwa members wengi wa jf ni washabiki wa CDM, wakiwa na matumaini kuwa 2015 its their time, wajue kuwa wapiga kura wengi zaidi Tanzania ni wanawake, I doubt kama BAWACHA does realy exist!, hivyo majaaliwa ya Chadema kushinda uchaguzi wa 2015, itategemea kura za wanawake hivyo ni nani anashinda uchaguzi wa UWT!. Akirudi Mama Simba au Mama Kilango, ushindi wa Chadema ni dhahiri, ila akishinda Mayrose Kavura!, amini msiamini, ikulu mtaishia kuisikia tuu!.
Mark my words!.

Pasco!.

NB. Kwa vile mimi namshabikia EL ateuliwe CCM, na kwa CDM nausupport move ya ZZK, bado nasisitiza sina chama!. Ila wale mnao amini mimi ni gamba, endeleeni kuamini hivyo kwa sababu kuwa mwana CCM sio dhambi wala kuishabikia CCM sio kosa!.

Huyo dada unayemsema ni Mhaya hafai kama asivyofaa Simba na Kilango.
 
Mkuu Pasco data za kwamba wanawake ndo wengi zaidi kati ya wapiga kura umezitoa wapi?Kwasababu huo ndo msingi wa hoja yako,then ni vyema ungetuwekea uthibitisho wa data(statistical) if possible.
Mkuu J Mushi, kwanza asante for reading me in between the lines.
Hoja yangu ya uwingi wa wanawake ni stastical ratio ya wanawake vis a vis wanaume kwa mujibu wa sensa ya mwisho ya watu na makazi!.
 
Mkuu Pasco, UWT ni sehemu ya CCM, na kwa kuwa hakuna anayeweza kuibadilisha ccm kwa umauti iliyofikia, hata huyo Majinge hawezi kuibadilisha wala kuipaisha hiyo uwt.
 
Hakuna FHA promising tuwe we wazi maana ni Kweli tu ndio itakayotuweka wazi, hivi ni nani Kati ya hawa anaweza kuwafanyia Wanawake chochote? Catherine Huyu ni Yule concubine we mh waziri aw utalii? Aliyetumwq na EL kwenda kulipia mkutano wa uvccm Dodoma last year? Hapa ni Yale Yale ya Wanawake wa CCM uchupi kwa kwenda Mbele, hakuna Kati ya Hiyo cream Yao mwenye value ya uongozi, ni ngono tu hata Kama kwa sasa umewekwa ndani another makundi crisis
 
Mama Kilango ni just an opportunist mpiga kelele kila anapoongea as if ana uchungu wa kweli na anachopigia kelele!.

Ila kumlinganisha na mama Simba, Kilango ni mpiganaji wa kweli kwani baada ya kubebwa pale mwanzoni, sasa amejibeba na kubebeka zaudi wakati Simba yeye ni kubebwa tuu mwanzo mwisho!.

Hapo mkuu ni kama unajikanyaga, mara uumpe credit Mama Kilango mara umponde..huu ni ushambenga...

Leo kuna binti kijana, msomi wa haja ambaye yuko very bright upstairs kwa jina la Bi. Mayrose Kavura Majinge, naye atatupa karata yake!. Huyu ni "very promising" kuibadili UWT toka hapo ilipo na kuipaisha to next level!.

Huyu dada hanalolote, amekuwa mwandishi pale StarTV akifanya kazi ya magamba, na hii ni kuonyesha namna ambavyo waandishi wengi wa Tanzania ni magamba na wanasubiria huruma za raisi kugaiwa ukuu wa wilaya na vyeo vingine..hana kitu huyu....

Kwa vile sio siri, its open secret kuwa members wengi wa jf ni washabiki wa CDM, wakiwa na matumaini kuwa 2015 its their time, wajue kuwa wapiga kura wengi zaidi Tanzania ni wanawake, I doubt kama BAWACHA does realy exist!, hivyo majaaliwa ya Chadema kushinda uchaguzi wa 2015, itategemea kura za wanawake hivyo ni nani anashinda uchaguzi wa UWT!. Akirudi Mama Simba au Mama Kilango, ushindi wa Chadema ni dhahiri, ila akishinda Mayrose Kavura!, amini msiamini, ikulu mtaishia kuisikia tuu!.
Mark my words!.

Aliyekwambia kuwa member wengi wa humu JF ni CDM nani? No research no right to say...kama una data tupe hapa usije na hoja kama mkulima awa toka matombo huko....Unaposema kuwa BAVICHA haipo CHADEMA nakuona kama mgonjwa wa akili vile, Hivi unafahamu kazi inayofanywa na John Heche pamoja na timu yake? Au hao kwako ni wazee? nakuwa na shaka na uwezo wako wa kufikiri. Yani kwa mawazo yako madogo unamaanisha huyo Rose ndio atawazuia vuguvugu la mabadiliko Tanzania? Mawazo haya ata ng'ombe hawezi kuyaamini wala kuyasikiliza...ni mawazo ya kijinga na yenye upeo mdogo wa kufikiri. Hivi wewe unataka kutuambia kuwa wanawake wa Ki-tanzania ni wazembe kiasi kwamba huyo Rose atawageuza akili zao....

Conclusion:

Mwenye akili timamu atagundua kuwa wewe umetumwa kuja hapa kumpigia debe huyo Rose sijui...nadhani ni vyema na haki ukampelekea taarifa kuwa hakuna kitu kama hicho...Tanzania ya leo sio ya miaka ya 1947.
 
Hapo mkuu ni kama unajikanyaga, mara uumpe credit Mama Kilango mara umponde..huu ni ushambenga....

Huwa nasifu penye kustahili sifa na kuponda zehemu za vipondo. Hivi mtu akiwa ni mbaya, ni lazima awe mbaya tuu?.
Kwa kukusaidia, mimi Pasco wa jf, nimemsifu JK ni "mtu wa watu", "down to earth" na "has a good sense of humour" kongoli hapa Cached.
Pia ni mimi ndie niliyeorodhesha madhaifu ya JK na kueleza kuwa ni "ghaifu" hata kabla JJ.Mnyika hajapasua jipu bungeni. Kongoli hapa Cached

Huyu dada hanalolote, amekuwa mwandishi pale StarTV akifanya kazi ya magamba, na hii ni kuonyesha namna ambavyo waandishi wengi wa Tanzania ni magamba na wanasubiria huruma za raisi kugaiwa ukuu wa wilaya na vyeo vingine..hana kitu huyu....

Kumbe huyu ni mwandishi wa habari!, kumbe alikuwa akifanya kazi pale Star TV ila hana lolote!, kumbe ni kweli waandishi wengi wa Tanzania ni magamba!, mimi nilidhani ni wale wa Uhuru/Mzalendo na Deli Nyuzi tuu, kumbe hata wa Mwanahalisi, Raia Mwema, Tanzania Daima, Mwananchi, Alnuur, Alhuda, etc, etc. Asante kwa taarifa.
Aliyekwambia kuwa member wengi wa humu JF ni CDM nani? No research no right to say...kama una data tupe hapa usije na hoja kama mkulima awa toka matombo huko....
Kumbe unasubiri kuambiwa urari wa members humu na mapenzi yao yalipo?!, endelea kusubiria, utaambiwa tuu!. Ila kiukweli mimi ni mkulima awa toka matombo huko!.
Unaposema kuwa BAVICHA haipo CHADEMA nakuona kama mgonjwa wa akili vile, Hivi unafahamu kazi inayofanywa na John Heche pamoja na timu yake? Au hao kwako ni wazee?
Ni kweli, mimi ni mgonjwa wa akili, ila sijafikia tuu stage ya kichaa, ila mtu aliyesoma neno BAWACHA, macho yake yakaona imeandikwa BAVICHA!, huyo atakuwa sio mgonjwa wa akili, bali ni kichaa kabisa!, ila shukuru Mungu, hujaanza kuokota makopo!.
On a serious note: Kama wafuasi wenyewe wa CDM, wengi ndio wa type hii, ndugu zangu kazi mnayo na safari bado ni ndefu!.
nakuwa na shaka na uwezo wako wa kufikiri.
usiwe na shaka, this is for sure, sio kuwa uwezo wangu wa kufikiri ni mdogo, bali sina kabisa uwezo, hivyo huwa sifikirii chochote na my head ni empty, hakuna fikra kabisa!

Conclusion:
Mwenye akili timamu atagundua kuwa wewe umetumwa .
Kiukweli wewe ndio mwenye akili timamu na utimamu wako nimeuthibitisha jinsi ulivyoweza kugundua kuwa nimetumwa!.
 
Mkuu Wa Ukenyenge, sina CV yake rasmi ila ni msomi mwenye masters. Sifa yake kuu ni kitabu fulani alichoandika kuhusu vita dhidi ya umasikini!.

Huyu Mayrose she is real good ambaye anaweza kuleta mabadiliko ya kweli ndani ya CCM kwa ku invoke changes from within!.

Kwa vile huyu ni mdada wa ukweli, bado anaamini a dying CCM can be revived kupitia UWC!. Kumbe bado hajajua, uwongo, fitna na majungu ni mtaji mkubwa wa ushindi kwenye uchaguzi wowote wa ndani ya CCM.

Huyu Mayrose ana tatizo moja kibwa, she is too genuine hivyo kuwa too good kwa CCM, I hope baada ya uchaguzi huu wa UWT, she'll realize she is in a wrong party, anapoteza bure time, money na her very promising potentials to try reviveing a dying CCM!.

I wish her all the best!.
She might be good, hard working and ambitious lakini ukweli kwamba yuko ccm mimi najua wote waliok huko ni wachumia tumbo tu na siku CDM tukishinda utaona watakavyo anza kuja mbio wakiwa sababu mbalimbali. kama anajiamini aje CHADEMA aungane na wapigania haki wenzake akina sisi.
 
Wanabodi,
Kipenga cha kugombea nafasi ya Uenyekiti wa UWT kimepulizwa na wa kwanza kukimbilia fomu ni Mwenyekiti wa sasa Mhe. Sofia Simba akijiaminisha atapata kwa mteremko wa kupita bila kupingwa maana CCM inatawaliwa na nidhamu ya woga kwa jina la "utii", lakini hali haikuwa hivyo kwani Mhe. Mama Anne Kilango Malecela ametia timu kumpinga Mama Simba ambae "she is good for nothing"!. Mama Kilango ni just an opportunist mpiga kelele kila anapoongea as if ana uchungu wa kweli na anachopigia kelele!.

Ila kumlinganisha na mama Simba, Kilango ni mpiganaji wa kweli kwani baada ya kubebwa pale mwanzoni, sasa amejibeba na kubebeka zaudi wakati Simba yeye ni kubebwa tuu mwanzo mwisho!.

Leo kuna binti kijana, msomi wa haja ambaye yuko very bright upstairs kwa jina la Bi. Mayrose Kavura Majinge, naye atatupa karata yake!. Huyu ni "very promising" kuibadili UWT toka hapo ilipo na kuipaisha to next level!.

Sasa subirini tushuhudie sarakasi za kama CCM inaendelea kuchagua "good for nothing" na kuisindikiza rasmi kaburini, au wana CCM wata opt for "oportunistic" ili kuendeleza ulaji na kupeana au this time watachagua "promising leadership" kujaribu kuiokoa CCM ambayo imeshaonyesha dalili zote za mkao wa kifo?!.

Kwa vile sio siri, its open secret kuwa members wengi wa jf ni washabiki wa CDM, wakiwa na matumaini kuwa 2015 its their time, wajue kuwa wapiga kura wengi zaidi Tanzania ni wanawake, I doubt kama BAWACHA does realy exist!, hivyo majaaliwa ya Chadema kushinda uchaguzi wa 2015, itategemea kura za wanawake hivyo ni nani anashinda uchaguzi wa UWT!. Akirudi Mama Simba au Mama Kilango, ushindi wa Chadema ni dhahiri, ila akishinda Mayrose Kavura!, amini msiamini, ikulu mtaishia kuisikia tuu!.
Mark my words!.

Pasco!.

NB. Kwa vile mimi namshabikia EL ateuliwe CCM, na kwa CDM nausupport move ya ZZK, bado nasisitiza sina chama!. Ila wale mnao amini mimi ni gamba, endeleeni kuamini hivyo kwa sababu kuwa mwana CCM sio dhambi wala kuishabikia CCM sio kosa!.
Uchaguzi umemalizikaa, ubatili umeshinda!. Tuendelee na yatokanayo!.
 
Mkuu Wa Ukenyenge, sina CV yake rasmi ila ni msomi mwenye masters. Sifa yake kuu ni kitabu fulani alichoandika kuhusu vita dhidi ya umasikini!.

Huyu Mayrose she is real good ambaye anaweza kuleta mabadiliko ya kweli ndani ya CCM kwa ku invoke changes from within!.

Kwa vile huyu ni mdada wa ukweli, bado anaamini a dying CCM can be revived kupitia UWT!. Kumbe bado hajajua, uwongo, fitna na majungu ni mtaji mkubwa wa ushindi kwenye uchaguzi wowote wa ndani ya CCM.

Huyu Mayrose ana tatizo moja kibwa, she is too genuine hivyo kuwa too good kwa CCM, I hope baada ya uchaguzi huu wa UWT, she'll realize she is in a wrong party, anapoteza bure time, money na her very promising potentials to try reviveing a dying CCM!.

I wish her all the best!.
Haya niliyasema tarehe 3 Agust, 2012, leo nimeiona hii picha

Sunday, July 14, 2013

slaa.jpg

Aliyekuwa mgombea UWT Taifa, Maryrose Magige akionyesha kadi ya Chadema aliyokabidhiwa na Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk Wilbrod Slaa wakati wa mkutano wa hadhara ulifanyika Viwanja vya Shule ya Msingi Ukombozi Manzese Dar es Salaam jana. Picha na Salim Sha
o

Kiukweli Chadema imevuna Jembe!. Hata BAWACHA itafufuka na itasimama na kuipuku UWT!.
Hongera Mayrose kwa kuukubali ukweli. Nakukumbusha mane yangu haya
Huyu Mayrose she is real good ambaye anaweza kuleta mabadiliko ya kweli kwa ku invoke changes from within!.
CCM.

Huyu Mayrose ana tatizo moja kibwa, she is too genuine hivyo kuwa too good kwa CCM, I hope baada ya uchaguzi huu wa UWT, she'll realize she is in a wrong party, anapoteza bure time, money na her very promising potentials to try reviveing a dying CCM!.

I wish her all the best!.

She might be good, hard working and ambitious lakini ukweli kwamba yuko ccm mimi najua wote waliok huko ni wachumia tumbo tu na siku CDM tukishinda utaona watakavyo anza kuja mbio wakiwa sababu mbalimbali. kama anajiamini aje CHADEMA aungane na wapigania haki wenzake akina sisi.
Mkuu Jerusalem,
Amekusikia, huyu hapa sasa
Mkuu Wa Ukenyenge, sina CV yake rasmi ila ni msomi mwenye masters. Sifa yake kuu ni kitabu fulani alichoandika kuhusu vita dhidi ya umasikini!.

Huyu Mayrose she is real good ambaye anaweza kuleta mabadiliko ya kweli ndani ya CCM kwa ku invoke changes from within!.

Kwa vile huyu ni mdada wa ukweli, bado anaamini a dying CCM can be revived kupitia UWT!. Kumbe bado hajajua, uwongo, fitna na majungu ni mtaji mkubwa wa ushindi kwenye uchaguzi wowote wa ndani ya CCM.

Huyu Mayrose ana tatizo moja kibwa, she is too genuine hivyo kuwa too good kwa CCM, I hope baada ya uchaguzi huu wa UWT, she'll realize she is in a wrong party, anapoteza bure time, money na her very promising potentials to try reviveing a dying CCM!.

I wish her all the best!.
 
Wanabodi,
Kipenga cha kugombea nafasi ya Uenyekiti wa UWT kimepulizwa na wa kwanza kukimbilia fomu ni Mwenyekiti wa sasa Mhe. Sofia Simba ambae "she is good for nothing"!.

Ila kumlinganisha na mama Simba yeye ni kubebwa tuu mwanzo mwisho!.

Sasa subirini tushuhudie sarakasi za kama CCM inaendelea kuchagua "good for nothing" na kuisindikiza rasmi kaburini,
Mark my words!.

Paskali

NB. Kwa vile mimi namshabikia EL ateuliwe bado nasisitiza sina chama!. Ila wale mnao amini mimi ni gamba, endeleeni kuamini hivyo kwa sababu kuwa mwana CCM sio dhambi wala kuishabikia CCM sio kosa!.
najikumbusha niliwahi kusema nini kuhusu Sofia Simba.

Paskali
 
Back
Top Bottom