Uenyekiti UWT: Anna Kilango -vs- Mariam Mamuya

Wapi le mutus! Ni wakati wako wa kumsaidia mama kwani alikubeba sana wakati wa ubunge wa afrika mashariki lakini ulikuwa gunia la misumari!
 
Wote tuna njaa lakini tunastahamili, wewe huoni kazi uliyotumwa kwamba haitelezeki? kwanza humu unapoteza muda wako bure wapiga kura wenyewe watakaopiga kura wengi wao hawajui hata Internet ni kitu gani, na sifa kuu ya mgombea ni yule atakayetoa rushwa zaidi. so don't waste ur time here na kujidhalilisha pasi na sababu.

Matolaaaa! Mtumeeeeeeeeeeee! Wewe si mnazi wa MAGWANDA???? Sasa hizi itikadi za bakishishi tangu lini unazikubali na kuzikiri hadharani????:israel: Jiangali matola chama kikitumi itikadi hizihizi 2015 usilaumu, si wajua tena mtoto umleavyo ndo akuwavyo!
 
Asante sana kwa ufafanuzi mkuu!!!! Sasa naona Kama wanajitesa vile kwasababu 2015 UWT hakita tambulika tena kitaifa kwani ccm itakuwa Chama pinzani dhaifu

Haaaaaaa Haaaaaaaaaaaa! NOT THAT EASLY AND QUICK! 1 Day cant take 50 years of our hold maybe! and maybe! 20,015, kwanza si umesikia CDM yenyewe washaanza kumalizana wenyewe kwa wenyewe!!!?:israel: SIMPLY DIVIDE AND RULE TACTIC IS AT WORK!

CDM dnt give up, mlianza 2000, then 2005 then 2010 these are all facts not speculations, not wishes not dreams. Kama CUF na milki ya PEMBA nzima walishindwa kuingoa CCM itakuwa CDM na majimbo ya kuhesabu??????? mkitushinda tunawafungisha umoja kama na CUF. labda mfanye libyanisation!
 
Mkuu ccm ya miaka hiyo uliyotaja siyo ya sasa hivi mbona hata KANU walisema hivyo hivyo sasa hivi wako wapi?
 
​Mods, hivi haya matangazo ya kampeni yenyewe hayapaswi kulipiwa? Mi nilidhani matangazo yote yanapaswa kulipiwa ati!
 
Acheni siasa za kuchafuana fanyeni siasa safi sasa hivi kuna upinzani hamjifunzi tu kwa mambo ya past mitandao yenu ilivyochafua watu 2005 mpaka sasa hivi hamna candidate msafi wa urais

Hizi siasa uchwara ndiyo inatuulia chama ulianza kumsema sijui mamuya na kilango now bado unawapa wakati mgumu kutetea majimbo yao next election wewe unadhani unamsaidia huyo sophia but think ahead
 
Huyo sophia chui sorry simba ana mdomo mchafu sana.Nilishawahi msikia akihamashisha wanawake kuwapiga waume zao, badala ya kushauri wanandoa wasuluhishane kwa majadiliano yeye anashauri ugomvi.Hiyo sijui UWT imebaki ya mafisafi tu haina ladha kama zamani,kwa hiyo wanaofaidi ni "wakubwa" tu watega ndege imekula kwao.
 
Back
Top Bottom