Uenyekiti CCM: Jakaya Kikwete imetosha!

Status
Not open for further replies.
badilisheni katiba yenu, kama ilivyo ANC, kuwa raisi hatakuwa na cheo chochote katika chama, OVA
 
badilisheni katiba yenu, kama ilivyo ANC, kuwa raisi hatakuwa na cheo chochote katika chama, OVA

nishasema sana humu ndani kua Rais wa nchi asiwe na ruhusa kua mwenyekiti wa chama coz of conflict of interest ni sawa sawa na mbunge asiwe waziri, mkuu wa mkoa asiwe mbunge n.k
 
huyu mleta mada ni kibaraka mkubwa sana wa gamba EL hana jipya akafie mbele huko
 
Mwenyekiti wako hawezi kung'atuka kwa hiari, anapenda sana madaraka. Labda mumng'oe kwa nguvu. Na safari hii mtampigia kura kwa kunyoosha mikono. Sasa niambie CCM mlivyo wanafiki nani atathubutu kunyoosha mkono kumpa kura ya hapana mwenyekiti!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom