Uenyekiti CCM: Jakaya Kikwete imetosha!

Status
Not open for further replies.
Kikwete ni perfect. In fact,he is too good to be true. Idea kwamba atabakia katika uongozi baada ya Urais wake kwisha ni unacceptable kwangu. Whatever good he was planning to do for the people he has already done it. Tanzania lazima isaidiwe na Watanzania, You just need to put the right team in action. Mwalimu Nyerere aliachia uongozi wa Chama kwa vile ilikuwa inaonekana kwamba Chama hakina ''ulaji'',watu wote walikuwa wanataka kufanya kazi Serkalini. But that is no longer the case. Watafunaji wakubwa wa nchi wako katika Chama siku hizi. Kwa hiyo hakuna sababu ya Kikwete kuendelea kuwa CCM Chairman.
 
Bwana Burito, ebu jaribu kufunguka! Weka wazi mambo. usimung'unye bwana. Sena neno moja, "Kikwete jiuzulu"...

Absolutely,wewe labda ni telepathic,mimi nataka Kikwete ajiuzulu SASA. Lakini that is besides the point. Mawazo yangu sasa yapo katika huu Uchaguzi wa Novemba 10.
 
Inafaa Ndugu Kikwete apumzike sasa. Amelitumika Taifa kiasi cha kutosha. Kazi aliyofanya ni nzuri, lakini there is nothing to be gained kwa yeye kuendelea kuwa CCM Chairman. Kikwete ni spent force.

Nawasilisha hoja.
Huyu jamaa hivi sasa ni janga la kitaifa, na naamini hata wana CCM wasiokuwa wanafiki wanalijua hilo! Ndiyo maana Kamuhanda amehusika kabisa na kifo cha Mwangosi, kutokana na ripoti ya Jaji Manento, badala ya kuwajibika ndiyo kwanza anaonyesha jeuri ya kusema awajibike kwa lipi?!Wakati anatamka maneno hayo, Rais ambaye amemteua anashindwa kumfukuza kazi. Hivi sasa DCI Manumba anatutangazia nchi hii haiendeshwi tena na utawala wa sheria, badala yake, tunaendeshwa na utaratibu wa jungle law, kuwa Jeshi la polisi lazima litalipiza kisasi cha mauaji ya mwenzao RPC Barlow, na kwa kuwa polisi wanamiliki silaha za moto, hapo unapata tafsiri kuwa jeshi hilo nalo lina mpango wa kuwaua watuhumiwa wa Barlow! Kauli hiyo hatari kabisa inatamkwa na mtu mwenye madaraka makubwa kama hayo ya u-DCI, bado mkuu wa nchi hataki kumwajibisha! Ni kweli chini ya uongozi wa Rais huyu dhaifu, nchi inaweza kupata msukosuko mkubwa,ambao haujawahi kutokea, katika historia ya nchi yetu!!
 
Inafaa Ndugu Kikwete apumzike sasa. Amelitumika Taifa kiasi cha kutosha. Kazi aliyofanya ni nzuri, lakini there is nothing to be gained kwa yeye kuendelea kuwa CCM Chairman. Kikwete ni spent force.

Nawasilisha hoja.

Mkuu endelea kufafanua! Kwani mwenyekiti wetu si ndio anaetutafutia misaada mbalimbali nchi za nje? maana sasa yuko hukoo Oman. Na ukumbuke ni wiki moja tu iliyopita alikuwa USA na CANADA. si ajabu akaja na vitu vizuri tu! Hebu endelea kudadavua apumzike kwa lipi?
 
Nafasi ile inagombewa,na mimi nataka kwenda kugombea,nikipata nafasi,au nataka kumuona mtu mwingine anatoa challenge kwa JK.

Kwani katiba ya CCM inasemaje? Nilidhani rais ndiye anakuwa mwenyekiti wa CCM (hangover ya mfumo wa chama kimoja). Na ili mwenyekiti wa sasa awe na challenger(s) ni lazima katiba ya ccm iliyopo sasa ibadilishwe. Wanasemaje wenye chama?
 
Inafaa Ndugu Kikwete apumzike sasa. Amelitumika Taifa kiasi cha kutosha. Kazi aliyofanya ni nzuri, lakini there is nothing to be gained kwa yeye kuendelea kuwa CCM Chairman. Kikwete ni spent force.

Nawasilisha hoja.
Mkuu Andrew, kwanza nakupa pole, japo hoja yako ndio maoni yako, coming from "you", no one will take you serious kwa sababu hakuna uhakika kama kwa sasa uko ok!. Itaonekana umeamka na anguko la young brother wako!, Mmebahatika mna a "very big name", "Nyerere" kwenye politics za nchi yetu, but very unfortunatelly, sasa mmebakiza jina tuu la "Nyerere", nothing more!, nothing less!.

Kwenye ukoo wenu bado mnayo nafasi ya kuchagua kusimama na ukweli dhidi ya ubatili!. Hata Baba yenu angekuwa hai, angeshaitosa CCM!.

P.
'
 
Mbona nasikia Mwenyekiti wa CCM ni symbol tu ya chama nakwamba kuna Political titan wa chama ambaondio wanao ongoza chama hasa kwa fedha na fikra zao binafsi so why Kikwete
 
Inafaa Ndugu Kikwete apumzike sasa. Amelitumika Taifa kiasi cha kutosha. Kazi aliyofanya ni nzuri, lakini there is nothing to be gained kwa yeye kuendelea kuwa CCM Chairman. Kikwete ni spent force.

Nawasilisha hoja.

Ndugu yangu Andrew Nyerere kama kumbukumbu zangu bado ziko vizuri mzee wako baba wa taifa Mwalimu Nyerere ndiye aliasisi huu utaratibu wa kiongozi wa serikali (Raisi) vile vile kuwa mwenyekiti wa chama chenu, na hoja yake ilikuwa ni kuwa na kiongozi mmoja mwenye mamlaka ya kuendesha serikali na chama.

Na alifanya hivyo akiweka angalizo kwamba kukiwa na wakuu wawili katika nchi, mmoja akiongoza serikali na mwingijne akiongoza chama, itakapotokea watu hao wameshindwa kuelewana basi kuna uwezekano mkubwa kutokea vurugu katika nchi.

Sasa leo unapokuja na hoja hii, je umetazama kwa undani faida na hasara za Kikwete ku step down? na unadhani ccm mtaweka utaratibu gani ambao utahakikisha kwamba raisi na mwenyekiti wa ccm hawakosani, kwamba isije ikatokea mwenyekiti wa chama anaamua kumfutia uanachama raisi kama wameshindwa kuelewana?
 
Last edited by a moderator:
Ndugu yangu utaratibu wa Uchaguzi wa Mwenyekiti mwezi ujao unaufahamu, kwa nini hukugombea?
Kama Nyerere 1964 aliviua vyama vyote vya Siasa na akawa amagombea yeye peke yake kwa kuweka picha yake na kivuli au mwaka 1975 alipoweka Nyumba na Jembe mbona hakuambiwa ajiuzulu?
Nakushauri gombea sio kumuambia ajiuzulu wakati anatumia Demokrasia yake na Wapiga kura wa Mkutano Mkuu wapo wanasubiri kumpa kura hiyto Novemba 12 Mjini Dodoma
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom