Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uendeshe, Uendeshwe au Uendeshewe?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mzee Mwanakijiji, May 7, 2010.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  May 7, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 30,401
  Likes Received: 2,469
  Trophy Points: 280
  Hoja yangu ni kuwa iwe jegari lako mwenyewe halafu hujui kuendesha? kubali uendeshwe! Wengine wanasema kubali uendeshewe hadi utakapopata leseni kuendesha mwenyewe!


  Hapa ndipo Ciara anasema yeye anapenda kuendesha na abiria anafurahia kuendeshwa! I don't know!

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  May 7, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 65,177
  Likes Received: 16,154
  Trophy Points: 280
  huyu dada huyu.....
   
 3. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #3
  May 7, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,819
  Likes Received: 339
  Trophy Points: 180
  Jifunze kuendesha kabla ya yote ili uwe na uzoefu wa kuendesha ununuapo lako!

  Gari langu mwenyewe nitaendesha!
   
 4. Companero

  Companero Platinum Member

  #4
  May 7, 2010
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,392
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Mimi sioni kitu, napata ujumbe huu: This video contains content from Vevo, who has blocked it in your country on copyright ground
   
Loading...