UEFA Champions League Quarter Final Draw RESULTS

I am dreaming the same as well, and for sure the Special One will surprise you once more.
 
Taratibu usipige kelele wakikusikia utapewa ban .... ..... khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee yupo moja anazurulazurula humu utafikiri yatima.

Wewe kwenye majukwaa ya MABINGWA unatafuta nini?!!
 
madrid analambwa na jogoo QF. semi jogoo anapiga na barca, barca anaaga mashindano rasmi . fainali ni jogoo na blues. jogoo to win the CL. hii haina mjadala kabisa yaani
Nimekugongea senksi, yaani mpaka hapa tulipofika bado watu hawaamini kuwa lazima tufike Wembley! Mdharau mwiba guu huota tende!, methali nyingine kwa msisitizo!
 
Taratibu usipige kelele wakikusikia utapewa ban .... ..... khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee yupo moja anazurulazurula humu utafikiri yatima.

Hawa darajani ni wepesi sana kwa devils, yani lazima tuwafundishe adabu..Namuona Pro-Chelski mmoja lazima atakuwa anakariri maneno yangu..Presha zimewapanda kuanzia hii draw result!!!!..

Wewe kwenye majukwaa ya MABINGWA unatafuta nini?!!

Peasant mbona mchokozi hivyo wewe,halafu jiandae na hiyo mechi kuanzia leo kiakili..ha ha
 
Wewe kwenye majukwaa ya MABINGWA unatafuta nini?!!
Hahaha hii comment imenifanya nicheke kwa sauti hapa....

Ebanae Barcelona siku zote wanasumbuliwaga na timu za Eastern Europe sasa I wouldn't really say kuwa watapita kiurahisi isitoshe siku zote wanakuwaga na difficulties kushinda kwenye ardhi ya England, Mourinho safari hii hana mabeki kama Cambiasso, Lucio maana those two would have gone through a brick wall for him so Spurs wakijipanga vizuri watawaenyesha.

Chelsea Man Utd, well I will try not to be biased lakini I see a 0 - 0 at Stamford Bridge and 1 - 0 at Old Trafford in favor of Man Utd.
 
Nimekugongea senksi, yaani mpaka hapa tulipofika bado watu hawaamini kuwa lazima tufike Wembley! Mdharau mwiba guu huota tende!, methali nyingine kwa msisitizo!
mkuu season hii we mean biznez. hakuna morinyo wala mjombaake morinyo. acha nikabook flight ya barnabeu kabisa
 
Waamuzi wakichezesha fair Barca itatolewa na Shaktar. Kwa sasa hivi Shaktar ndiyo timu yenye facilities nzuri zaidi za michezo kulinganisha na timu nyingine za Western Europe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom