Udsm.

MNYISANZU

JF-Expert Member
Oct 21, 2011
7,048
1,102
Hapa chuoni kwa takriban wiki mbili sasa wanachuo wengi wanasumbuliwa na macho, ukienda kituo cha afya hapa udsm kila mwanachuo anasumbuliwa na macho!lakini Niimani yangu Hapa Jamii forum ndo kila kitu ni darasa huru kwa wanajmii tusaidien ni jinsi gani ya kujikinga na tiba yake.
 
Upo sahihi kaka lakini sidhani kama haina mantiki wala ubaya wowote kwa jamii
 
Dah! Inaonekana pale kantin wengi huacha mboga za majani, na hula nyama 2 na vi2 vingine.
 
Sa mtu unakula wali maharage kila cku,utaacha kuumwa macho kweli?
 
Back
Top Bottom