Udsm yaporomoka kiwango kutokana na siasa

elimukwanza

Senior Member
Dec 27, 2010
168
23
Wana jf kuna habari kuwa hadhi ya chuo kikuu cha dar es salaam inazidi kuporomoka kutokana na vyuo vya ardhi na mhimbili kujitenga.sasa imebaki engineering tu inachokibeba chuo.aidha inadaiwa kuwa tofauti na prof luhanga makamu mkuu wa sasa anaendekeza siasa badala ya taluma na utafiti.sua sasa wanashika nafasi ya 28 kwa ubora africa wakati mwaka jana walikuwa wa 78.
 
Inawezekana hiyo ila nafikiri university of Dar es Salaam inaheshimika kwa sheria kuliko course nyingine yoyote. Kama nako wameporomoka hiyo itakuwa hatari.

Nimeweza kuthibitisha kuwa SUA imepanda na sasa imeipita Makerere University. Dar bado ipo juu kidogo. Bravo SUA keep it up
http://www.4icu.org/topAfrica/
 
Inawezekana hiyo ila nafikiri university of Dar es Salaam inaheshimika kwa sheria kuliko course nyingine yoyote. Kama nako wameporomoka hiyo itakuwa hatari.

Nimeweza kuthibitisha kuwa SUA imepanda na sasa imeipita Makerere University. Dar bado ipo juu kidogo. Bravo SUA keep it up
2010 World University Ranking | Top 100 Universities in Africa

wewe kweli ni dreamer tena kwa mchana wote huu unatisha!
Link umeweka mwenyewe afu umeshindwa kuona kua SUA ni ya 28 na UDSM ni ya 22?
Uko udom nini wewe?
 
wewe kweli ni dreamer tena kwa mchana wote huu unatisha!
Link umeweka mwenyewe afu umeshindwa kuona kua SUA ni ya 28 na UDSM ni ya 22?
Uko udom nini wewe?

Mh. Speaker, Mbona mkuu wangu nimesema Dar bado ipo juu! Au kwa vile nimesema Dar badala ya UDSM?Hahaha mimi ni MSUASO bwana! Hicho chuo cha Kata naangalia ustaarabu asije akasoma mtoto wangu kama hakitabadilika
 
Na bado! subiri ujio wa wanafunzi kutoka shule za kata.

Una muaibisha mwenye jina hilo,maana ni mtaalamu wa kufuatilia mambo na sio kukurupuka by reasoning based on jealousy,...kama ulikuwa kilaza ukashindwa kuja udsm hilo ni tatizo lako
 
Mbona mkuu wangu nimesema Dar bado ipo juu! Hahaha mimi ni MSUASO bwana!

Unajua rankings tunazo angalia mara nyingi zina base katika "web rakings" ambapo wanaangalia ni jinsi gani chuo kinatoa material kwa wanafunzi kupitita mtandao na jinsi ulivo user friendly,....kwa kigezo hicho kama kikitumika ipasavyo udsm haipaswi kua hata ya 100 coz website yao ni mbaya balaa!

Kama ni siasa sijui,lakini hali ya chuo kwa ujumla ni mbaya na haitamaniki hasa katika lecture rooms na accomodation ni sifuri,.....ninacho kataa mimi ni kigezo cha siasa,....kama ingekuwa kweli basi Ghana university ingekuwa ya kwanza
angalia ni ya ngapi hapa 2010 World University Ranking | Top 100 Universities in Africa
 
Mh. Speaker, Mbona mkuu wangu nimesema Dar bado ipo juu! Au kwa vile nimesema Dar badala ya UDSM?Hahaha mimi ni MSUASO bwana! Hicho chuo cha Kata naangalia ustaarabu asije akasoma mtoto wangu kama hakitabadilika

hahahahaha,naikubali SUA sana,hata elimu yao iko juu balaa tena kiukweli ilibidi iwe hata juu ya UDSM!
mimi nilicho mpinga elimukwanza ni kwamba siasa ndizo zinashusha chuo,sidhani kama kuna ukweli ndani yake maana kama ingekuwa ni kweli basi ghana university ingekuwa ya kwanza Africa!

Hata wakitoa elimu bure mtoto wangu hasomi udom,never
 
Chuo kinaisha vijana kila siku maandamano kwenda TIRDO namaanisha bodi ya mikopo HESLB

Uongozi wa Chuo umekuwa kiranja wa Keundekeza siasa za kifisadi na kuandaa SLOGAN ZA KUOMBEA KURA NA MISAADA MTALII kila kukicha badala ya kuumiza kichwa ili vijana watoke na elimu nzuri.
 
Unajua rankings tunazo angalia mara nyingi zina base katika "web rakings" ambapo wanaangalia ni jinsi gani chuo kinatoa material kwa wanafunzi kupitita mtandao na jinsi ulivo user friendly,....kwa kigezo hicho kama kikitumika ipasavyo udsm haipaswi kua hata ya 100 coz website yao ni mbaya balaa!

Kama ni siasa sijui,lakini hali ya chuo kwa ujumla ni mbaya na haitamaniki hasa katika lecture rooms na accomodation ni sifuri,.....ninacho kataa mimi ni kigezo cha siasa,....kama ingekuwa kweli basi Ghana university ingekuwa ya kwanza
angalia ni ya ngapi hapa 2010 World University Ranking | Top 100 Universities in Africa

Nimejaribu kuangalia criteria wanazotumia sikupata maana wanasema formula ni copyright na pia wanahofu wakitoa watu wanaweza kumanipulate ili universities zao zipande ranking. Ila nafikiri, pamoja na vigezo ulivyotaja pia publications zinaweza kumatter! Kwa ujumla vyuo vyetu vina matatizo na kuna haja ya kuacha siasa na kuchapa kazi.
 
Prof. Mkandala ana role gani katika hili la kuporomosha hadhi ya chuo? je, huyu jamaa anatofautiana vipi na the former VC Prof. Luhanga?
 
Chuo kinaisha vijana kila siku maandamano kwenda TIRDO namaanisha bodi ya mikopo HESLB

Uongozi wa Chuo umekuwa kiranja wa Keundekeza siasa za kifisadi na kuandaa SLOGAN ZA KUOMBEA KURA NA MISAADA MTALII kila kukicha badala ya kuumiza kichwa ili vijana watoke na elimu nzuri.

Mara ya mwisho umesikia maandamano ya wana-udsm kwenda bodi lini mkuu?
Au kila ukisikia maandamano we unajua waandamanaji ni udsm tu?

Afu hicho sio kigezo,wanafunzi UK majuzi tu wameandamana (ni haki na haitatokea a stage umalize matatizo yote kiasi kwamba watu wasiandamane)
 
Prof. Mkandala ana role gani katika hili la kuporomosha hadhi ya chuo? je, huyu jamaa anatofautiana vipi na the former VC Prof. Luhanga?

Sidhani kama kuna kazi anafanya zaidi ya kula mshahara tu,....hawana mtazamo wa kuendeleza chuo....in fact sijaona alichofanya toka amekuwa vc
 
wewe kweli ni dreamer tena kwa mchana wote huu unatisha!
Link umeweka mwenyewe afu umeshindwa kuona kua SUA ni ya 28 na UDSM ni ya 22?
Uko udom nini wewe?
Sisi wana statistician tunasema (put them in a basket of only 2 unis) utaona UDSM kimeporomoka ki ubora ukilinganisha na SUA, mtu anatoka kuwa wa 78 hadi 28 wakati wewe miaka yote uko pale pale utakuwa unafanya nini, wangekuwa watoto wangu ningempongeza SUA zaidi ya UDSM kwa vile anaonekana anajituma zaidi ya mwenzake.
 
Udsm tunayoijua siyo ya sasa wewe angalia hata mijadala yao sikuhizi pumba tupu.raking wanaangalia vitu vingi ikiwemo hata uwezo wa wakufunzi lakini academically kwa uwezo wa kitaaluma kwa undergraduate UDSM imeshuka sana.Chuo akiwezi kuendelea kwa tafiti za quetionnaire kama Redet n.k.chuo lazima kiwe na tafti za kisayansi zinazotoa output
 
Back
Top Bottom