UDSM website down for a week..... Kulikoni?

IronBroom

JF-Expert Member
Jun 12, 2008
521
36
Wakulu,

Ni takribani juma zima sasa nimekuwa nikihitajikupata taarifa fulani fulani kutoka tovuti ya chuo chetu kikuu cha Dar es Salaam bila mafanikio yoyote.

Baada ya kujaribu na kujaribu,tena na tena nikaamua niwatafute jamaa zangu wanaofanya kazi kwenye taasisi hii muhimu.Lol,nilishtushwa na taarifa kuwa hata huduma ya barua pepe kwa wafanyakazi nayo hamna. Kisa?Malipo ya huduma hii yamezua mzozo.Kwamba chuo kimeshindwa kumlipa mtoa huduma naye bila kusita akaamua kusitisha huduma.

Well,sina details zaidi juu ya suala hili.Ningependa kufahamu kwa undani kulikoni?Isijeikawa ni ufisadi mwigine tena jamani.

Kabla ya kujadili hili naomba waandishi mlio humu(na yeyote in that capacity) please,dig into this na mtuhabarishe.La ikiwa ni uzushi basi I AM SORRY.
 
Kuna thread niliweka zile PDF zote za udsm.co.tz kama ni hizo unahitaji zinaweza zikawepo bado. Website ilikuwa na virus labda ndo sababu wameidelete, unajua ukiwa unahost mavirus hata provider wako hafurahii. Kama ni malipo itakuwa ajabu kweli, maana unaweza ukapata webhost wa maana kwa less then $5 kwa mwezi, wahamishie huko.
 
Back
Top Bottom