Udsm watoa wito wanafunzi waende kupiga kura

Speaker

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
6,324
2,238
Hapa tatizo ni kwamba nauli tunatoa wapi?
wadau tusaidieni,hapa tume karibishwa chakula ila mkaribishaji kajaza pili pili kibao tutaweza kula wote?
soma hapa:
UDSM - Users & Groups
 
wanajikosha tu wanajuwa kuwawalishaharibu kwa kurefusha likizo mpaka baada ya uchaguzi. Nani atawagharamia nauli za kutoka mikoani na misosi wakiwa Dar?
 
Barua imekaa kihuni. Ina maana siku hizi UDSM haina letterhead? Kwenu wanfunzi kuweni wazalendo lipa nauli mje mpige kura jamani.
 
Back
Top Bottom