Udsm watimuliwa rasmi

Poa tu hii ni toka enzi na enzi na wakirudi tayari serikali imejipanga kukubaliana na matakwa yao!
 
Poa tu si ndo wanavyotaka tuishi ivo ivo mana wakimwaga ugali si twamwaga mboga.
 
Elimu yenyewe ya kulilia iko wapi?....hii ya kikwete ya kurudi nyuma?............bora watu wakapumzike nyumbani pengine watapata akili nyingine za kufanya mambo mengine kwani elimu ilikuwa mkombozi zamani wakati kikwete anasoma bure lakini sio zama hizi
 
Ni wao peke yao au chuo chote maana uhandisi ni kitivo tu na mgomo ulikuwa wa chuo chute iwaje watimuliwe wao peke yao? Nijuzeni.

kulikuwa na migomo miwili, mangwini ndo wanadai nyongeza ya boom na coet wanashinikiza kurejeshwa jamaa mmoja finalist aliyekamatwa akidesa kwenye supp. na kilichotokea alisaini kukamatwa na desa ila desa akalitafuna, so no ushahidi
 
Kama kweli alikamatwa na Desa, hastahili hata kidogo kurudishwa chuoni.
 
engineering shule ngumu na haiendi bila desa,somo kama mechanical vibration,solid mechanics,fluid dynamics ni magumu sana!boom lenyewe elfu 5
 
Mtoa mada usitundike bandiko ambalo hujapata uhakika nalo, COET hawajatimuliwa ila bado wanaendelea na mgomo. Hizo ndo habari za uhakika
 
Kwa nini alisaini?
Ilitakiwa awe na elimu ya kingwini ili asisaini sasa kama huwa hainteract na mangwini imekula kwake na uFOE wake.
Sio kila kitu kugoma wenzenu wanadai hela nyinyi mnataka kilaza arudishwe kweli hapo situtapata mkandarasi kilaza
 
Hizo habari si za kweli...COET hawajatimuliwa! Pili mgomo wa mangwini ni tofauti na wa ma engineer!!
 
Ni wao peke yao au chuo chote maana uhandisi ni kitivo tu na mgomo ulikuwa wa chuo chute iwaje watimuliwe wao peke yao? Nijuzeni.

Uhandisi sio kitivo. It is a 'campus college'.Tafuta neno/maneno la/ya kiswahili yenye maana hiyo.
 
Mgomo wa coet ni wa upuuuzi mtupu, yaan badala ya kugomea masuala ya msingi wanagoma ili eti disco ya kilaza mabala itenguliwe! Hizo ni fikra fupii sana,, mtu ameshikwa kabisa akidesa na inadaiwa huyo Mabala ni mdesaji wa kila pepa ila hyo juzi ilikuwa 40 yake, ukwel ni kwamba wengi wenu mnaogoma huko coet kwa kisingizio aludishwe mabara waoga wa pepa mnaona ratiba ya UE imetoka ndo mnadai kugoma!
 
Kama haya mwaweza kuyazungumza nyumbani kwenu hapa "educhat.wapka.mobi" fungua adress hii kwa pc au mobile phone
 
Mgomo wa coet ni wa upuuuzi mtupu, yaan badala ya kugomea masuala ya msingi wanagoma ili eti disco ya kilaza mabala itenguliwe! Hizo ni fikra fupii sana,, mtu ameshikwa kabisa akidesa na inadaiwa huyo Mabala ni mdesaji wa kila pepa ila hyo juzi ilikuwa 40 yake, ukwel ni kwamba wengi wenu mnaogoma huko coet kwa kisingizio aludishwe mabara waoga wa pepa mnaona ratiba ya UE imetoka ndo mnadai kugoma!

kama sheikh yahya vile.
nilikuwa nachat nao juzi na ukweli wanachogomea ni ili chuo kifungwe wapate muda wa kujiandaa kwa mitihani kwani wanasema mambo yapo tight na assignments kibao hawajasubmit bado
 
Back
Top Bottom