Kang
JF-Expert Member
- Jun 24, 2008
- 5,495
- 2,250
Ki vipi mkuu ungetuelimisha kidogo
Matatizo mengi ya Tanzania hayatatatuliwa na hard sciences e.g kukithiri kwa rushwa, uongozi mbovu, elimu duni, maambukizo ya ukimwi, mimba za watoto etc.
Haya matatizo yanahitaji social scientists wafanya utafiti ili wagundue ni njia gani ya kuibadilisha jamii.
Kama kuna utafiti umefanyika kufananisha matokeo ya kuwaambia wasichana wadogo kuwa kufanya mapenzi na watu wazima ni hatari Vs kuwaambia wasifanye mapenzi kabisa.
Matokeo yanaonyesha ujumbe wa kwanza unapunguza maambukizo ya Ukimwi zaidi kuliko wa pili. Naongelea utafiti kama huu.
Kama wanafuata scientifi method hakuna haja ya kubagua kati ya hizi sciences.