UDSM Wametangaza Selection ya 2009-10

Tunashukuru mzee kwa hii updates, najaribu kujenga picha enzi hizo tulikuwa tunasubiri wakati huu kwa hamu sana na kisha kesho yake kununua magezi karibu yote kuchek jina lakini sasa tunawaangalia wadogo zetu tu.
 
Tunashukuru sana kwa updates. Sasa je unaweza kutusaidia ili angalau tupate selection ya Dodoma University?

Tutashukuru sana hasa wale wa single admission wameonesha mtataoni lakini haifunguki
 
wadau nisaidieni, nimeingia kwenye website ya tanzania commission of universities 'www.tcu.go.tz' ili kuona majina ya students selected in more than one institution 2009/10 sasa kwenye multiple selection line ambayo ipo kwenye format ya excel na pdf nime download haikubali kuanzia jana na leo mpaka sasa sijafanikiwa. kama kuna mtu amedownload anisaidie
 
ADMISSION UDOM 2009/10

Najaribu kutafuta admission ya chuo kikuu cha DODOMA lakini mtandao wao haufunguki. Naomba msaada wenu.
 
wadau nisaidieni, nimeingia kwenye website ya tanzania commission of universities 'www.tcu.go.tz' ili kuona majina ya students selected in more than one institution 2009/10 sasa kwenye multiple selection line ambayo ipo kwenye format ya excel na pdf nime download haikubali kuanzia jana na leo mpaka sasa sijafanikiwa. kama kuna mtu amedownload anisaidie

File ni kubwa (about 12MB). Nadhani kuna watu wengi wanajaribu ku-download toka kwenye website yao. Speed toka kwenye server iliko website yao nayo itakuwa mgogoro.

Jaribu mapema asubuhi au jioni sana ukiweza
 
Jaribu link ya PDF, file size yake ni 3.57MB ni rahisi zaidi.
 
Back
Top Bottom