UDSM walaani mauaji ya raia ARUSHA, wataka Polisi kuchukuliwa hatua

BARKMEI

Member
Dec 20, 2010
29
1
wanafunzi wa MLIMANI wamelaani mauai ya raia mkoani Arusha yaliyofanywa na Polisi na kuitaka serikali kufikisha polisi hao katika vyombo vya sheria.
ITV HABARI-20:00
 
Ama kweli serikali ni kama nyoka lenye sumu ambalo limekufa sasa na kila mtu ,na aliye mwoga anakuja kulipiga na fimbo. Wanafunzi wa udsm nao wapo. Bigup
 
Hiki sio chuo cha kata.....good!

VYUO VYA KATA VINAJULIKANA, Wanafunzi wake hawana fikra wanasubiri kujipendekeza kwa mkwere na masalia yake.
wakizani ni suluhisho la kupata mikopo, maji au taaluma. I HATE THEM SOOOO! MUCH
 
Naomba Chuo Kikuu Cha Kiislamu Morogoro nayo kitoe tamko kitendo cha polisi kuaua Muislam mwenzetu Ismael kule Arusha na BAKWATA kutoa kauli tata la kutia kinyaa huyu marehemu wetu.
 
Nyanga zinagoma mida hii lazima watafute means ya kupumzishwa kidogo
 
Pls, hatutoi matamko ya aina hii hapa! I hate udini! All religions, arts and sciences are branches of the same tree.
 
UDSM acheni unafiki kama wazazi wenu namaanisha waadhiri wenu mfano huyu Pr Burner ni mojawapo wa mshikaji wa mkwere so wazo lenu ni moja mngeanza kumlaani huyo Burner kwa kutoa habari za kinafiki za utafiti kuwa mkwere angeshinda kwa 76% kisha ndo mje ya Arusha.
 
VYUO VYA KATA VINAJULIKANA, Wanafunzi wake hawana fikra wanasubiri kujipendekeza kwa mkwere na masalia yake.
wakizani ni suluhisho la kupata mikopo, maji au taaluma. I HATE THEM SOOOO! MUCH

watu wa mawazo ya mgando utawajua sababu yeye ni mtoto wa mashavuni tayari kashaanza kumtenga mtoto wa mbwa ila kwa pamoja tutafika aijalishi upo chuo gani ila ubora ni uleule coz elimu ya Tanzania ni moja
 
wew KIPUSY ni mmoja katika waliosoma vyuo vya kata, kwa tuliosoma udsm tunajua nyota ya udsm inavyong'ara karibia kila nchi tuendayo.. Crazy!!!!!!:ban:
 
wew KIPUSY ni mmoja katika waliosoma vyuo vya kata, kwa tuliosoma udsm tunajua nyota ya udsm inavyong'ara karibia kila nchi tuendayo.. Crazy!!!!!!:ban:

Hicho kilikuwa kipindi cha ujahilia ndio maana kilikuwa kinang'ara ila sasa hakuna jipya kama wasomi mmekaa kimya japo na ukongwe wenu mpaka mashirika yasio ya kiserikali yanatoa tamko kuhusu nchi inavyoenda mrama nyie mpo wapi toka siku zote?
 
ingekua UDOM wamepata hizo pesa zao za kujikimu wangeilaaani CDM pambaaaf sao...................big UDSM. bravo
 
VYUO VYA KATA VINAJULIKANA, Wanafunzi wake hawana fikra wanasubiri kujipendekeza kwa mkwere na masalia yake.
wakizani ni suluhisho la kupata mikopo, maji au taaluma. I HATE THEM SOOOO! MUCH

Nadhani we ndo hauna fikra!vyuo vya kata ni vipi?na vimejengwa lini?nachofahaum Tanzania tuna vyuo vya serikali,mashirika binafs na Taasisi za dini! Ongelea maswala ya kujenga kama mtu makin!Hongeren sana wasomi wa UDSM kwa kuliona hili,maana askari wa Jk cku hz hawalindi usalama bali wako kuvuruga amani!Watu wa Haki za Binadam shughulikien hawa vibaraka!
 
Kimojawapo ni UDOM
Na Kilijengwa msimu wa ujenzi wa shule za kata
kwa ajili ya wanafunzi wa shule za kata
walimu wake ni wa voda fasta
na wanafunzi wanalia ukata

Ulishaona wapi chuo ambacho kinagoma wengine hawagomi?
Nendeni hizo COLLEGE nyingine mwachape viboko!!!!!
 
wanafunzi wa MLIMANI wamelaani mauai ya raia mkoani Arusha yaliyofanywa na Polisi na kuitaka serikali kufikisha polisi hao katika vyombo vya sheria.
ITV HABARI-20:00

Its gud,state university,SOLIDARITY 4REVER,
 
Kimojawapo ni UDOM
Na Kilijengwa msimu wa ujenzi wa shule za kata
kwa ajili ya wanafunzi wa shule za kata
walimu wake ni wa voda fasta
na wanafunzi wanalia ukata

Ulishaona wapi chuo ambacho kinagoma wengine hawagomi?
Nendeni hizo COLLEGE nyingine mwachape viboko!!!!!
Nahisi utakuwa na degedege sababu maneno unayoyasema hayana mantiki kama msomi ambaye angependa naye mwenzake apate elimu kama wewe ulivyopata badala ya kumuunga mkono nyie ndo mnashangilia na maneno ya kinafiki. hatuendi ivyo kwani watoto wa wakulima ndio 2po kata hakuna walimu, shida kibao ila kumbuka sisi ndio 2naoona uchungu wa elimu na kupigania haki kutoka 2lipo 2we upo mlipo. One love wajameni
 
Back
Top Bottom