Jackbauer
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 6,038
- 2,199
Inawezakana siwafahamu jack labda unieleweshe NI WAPI HAo.sina uhakika na ntwk kama sitajibu ujuwe sipati mtandao ila nitarejea kusoma response zako anytime
kama huwafahamu kaa kimya!take your time to know them.tafuta facts kabla ya kuropoka.