UDSM UDSM UDSM wanataka nini UDSM

Ccm ccm ccm ccm ccm ccm ccm ccm ccm ccm ccm ccm ccm ccm ccm ccm ccm ccm ccm ccm ccm ccm ccm ccm ccm ccm ccm ccm
 
Break news Wanafunzi wametakiwa kulipa ada zao ndo wapate Boom lao ifahamike pesa imeingia leo Udsm bt Maboko katoa tamko No bum bila Ada Je? Hawajui kwamba watoto maskini mh wanategemea bum mh Habari kamili waziri wa Mikopo Daniel Amezitoa Wanaharakati mnasemaje

lakn hii k2 co kwa 1st yr 2?
 
nakipenda sana chuo kikuu cha dar es salaam nathubutu kusema migomo ndio suluhisho la matatizo mengi hapo ,nilikuwepo kipindi cha MTATIRO . na ndio kipindi ambacho huu mfumo wa loan bado ulianza kuwa active . walianza na 60% mara means na balaA zingine lakini kila wajapo na sera zao za kuokota bila kufanya utafiti zinapata resistance ya kutosha toka kwa intellectual society . kinachoniumiza ni jinsi uongozi wa chuo unavyutumika kuwa kandamiza wasomi wenzao .WANAHAFAHAMU FIKA WENGI WA WANACHUO HUWA WANATEGEMEA MPAKA NAULI ZA KURUDIA CHUO KUPITIA BOOM NA WENGI WAO WANATUMIA HILO BOOM KUMALIZA ILE PERCENT YA ADA NA KUISHI MAISHA MAGUMU SANA HAPO CHUO WIKI ZA MWANZO TU WANAANZA KUKOMUNIKA (CHAI NA MIKATE) KUPIGA PASI NDEFU AKA LAMPARD AKA BINARY(1-0-1,0-0-1) YAANI MLO MOJA AU MIWILI KWA SIKU . SERIKALI YETU KWA MAPENZI YAKE YA DHATI ILIPUNGUZA ADA KWA KWENYE SHULE ZA SEKONDARI ZA SERIKALI IKIWA INA MAANA KWAMBA KWA ADA YA ZAMANI WATU WENGI WALIKUWA HAWEZI KUIMUDU SASA LEO HII MTU HUYO UNAMWAMBIA ALIPE ADA YA 1.5M CHUONI . LEO HII TENA UNAMWAMBIA UNAMNYIMA HELA YA BUMU .NA HUU MFUMO WAKURUDISHA PESA ZA BUMU VYUONI UTALETA UNYANYASAJI SANA..
NA KWA STYLE YA MWAKA HUU YA UTATA WA MIKOPO NDUGU ZANGUNI TEGEMEENI SERIES YA MIGOMO KWENYE VYUO VYETU . KWA MFUMO ULIOPO BADO NCHI YETU INAHITAJI WASOMI NA KUWASOMESHA BADO NIJUKUMU LAO ..
 
Anachokifanya maboko kimenipa jibu la kwa nini wasomi nchini hawaheshimiki sasa naona kumbe serikali haikukosea kuwalipa vizuri wabunge kuliko walimu wa vyuo vikuu
 
Lakini watatumia vigezo gan kuwanyma bumu? Maana kuchukua bumu kinachohitajika ni ID, na ID zenu ziko validy mpaka 30 november.
 
Hii system ya bodi kupeleka mkopo wako chuoni ni mbayo. Yaani chuo kinaweza kinafanya lolote kutukomoa.
 
Break news Wanafunzi wametakiwa kulipa ada zao ndo wapate Boom lao ifahamike pesa imeingia leo Udsm bt Maboko katoa tamko No bum bila Ada Je? Hawajui kwamba watoto maskini mh wanategemea bum mh Habari kamili waziri wa Mikopo Daniel Amezitoa Wanaharakati mnasemaje

Uwezo wa huyo jamaa wa kufikiri ni mdogo sana pamoja na kuwa ni professor. Simple solution kwa vijana wa hapo chuoni ni kufunga chuo!!!
 
Lakini hii siyo sawa.Chuo kingefanya hivi:kwa kuwa hela yote ya mwanafunzi inapitia kwao basi wakate zile zinazowahusu then kiasi kinachobaki wampe stahili yake mwanafunzi,naamini mtu ukiamua kwenda ya 0-1-1 tena ile ya low quality una-survive kabisa.
 
hyo mbaya mkuu,chukulia m2 mwenye 0% ya mkopo,c hlo bumu ltakatwa lote,unadhan ataishije hapa dsm?
 
cye twasubiri matokeo.. hakyanani vyuo haviendi kalika... watu wana hasira mbaayaaa.. hasa vijana waliokosa mkopo huku kitaaa.. Nawaambieni hiiviii "patachimbika"..
 
Kama kawaida nimesikia wanaharakati wa UDSM wamesema mpaka tarehe 1/10/2011,endapo BOOM halitaingia basi pale chuoni patageuka LIBYA,kauli yao ni "Maboko jiandae tupo kwenye basi la kutoka TARIME ndo tunakuja ni trafki ametuchelewesha kidogo"
 
wa2 2meisha wasili kwenye uwanja wa vita cku nying, 2nasubiri amri ya makamanda 2lianzshe huku..hadi kieleweke mwaka huu.
 
Back
Top Bottom