UDSM Swimming pool

Ndahani

Platinum Member
Jun 3, 2008
18,119
9,049
Hivi swimming pool ya chuo ambayo kwa kweli ni moja ya swimming pool nzuri mjini, imefungwa kabisa? Kuna kipindi ilikuwa inaoperate, ila hali yake ilikuwa mbaya. Maji machafu na ilikosa kabisa mvuto. Ina maana hakuna wanafunzi na watu wa nje wanaotaka tena kuitumia kwa masomo au kwa ajiri ya mazoezi ya viungo?
 
Ilikiwa sehemu yangu ya kufanyia mazoezi pale. Wanasema mashine ya kupump maji iliharibika. Toka mwez wa tisa mwaka jana mpaka leo chuo hakijaweza kuireplace.
 
Labda kwa kuwa watumiaji wake wakubwa wengine wamefariki, kama Marehemu S. Mziray

Ni kweli super coach alikuwa mpenzi mkubwa wa swimming. Sasa akifa ndio kila kitu kimekufa? What a poor legacy?
 
chafu hdi kinyaa.
From one of the best to the worse in the span of not more than 3yrs. Nani ni custodian wa ile swimming pool? Faculty ya physical education au ni chuo chenyewe? I think lile tatizo liko kwenye uwezo wao. Wairekebishe upya ifanye kazi tena
 
Ilikiwa sehemu yangu ya kufanyia mazoezi pale. Wanasema mashine ya kupump maji iliharibika. Toka mwez wa tisa mwaka jana mpaka leo chuo hakijaweza kuireplace.
Hata pump nayo mpaka tuwaite wawekezaji?
 
Hapo ni chuo kikuu. Sasa sijui kwingine hali iko vipi! Tumethubutu, tumeweza, tunasonga mbele
 
niliwahi kwenda pale mara moja, maji yamekuwa ya kijani na viumbe hai vimeshaanza kuota mle ndani. na kama sikosei kuna mtu wa kulitunza na analipwa... hata kama pump imedoro si wangetoa maji ? dah...
 
Back
Top Bottom