UDSM: Rais Kikwete atunukiwa PhD ya heshima katika sheria

mi naona hiyo sherehe isitishwe tu, si walisema hawaitambui serikali ya mpito ya libya,,sasa kishaeleweka, mungu mtu wao kafa. Waanze maombolezo akina jk

sizinga ni kweli kafa? Nafungua link hiyo naona inachukua longtime
 
mi ndo hapo ninaposhangaa watu hawa wanaotoa tuzo huangalia vigezo gani. Huwa nafikiri sijui ni wanafiki au wanajipendekeza maana wakitoka nje utasikia wakisema kiongozi huyu kashindwa kuongoza nje hafu maphd wanampa sielewi kabisa si tu watu gani, hata mzumbe mwaka juzi if not mistaken walimpa phd ya heshima.

ni kushukuru kwa kupeana nyazifa. Udasa siku zote wana bifu na management, hawajawahi kukaa wakaelewana ati
 
Mkuu Elli, hongera sana kwa kupata jiwe la pili!

Ingekuwa jeshini hapo ni ofisa wa cheo cha juu!
 
Mimi ni mmoja wa wahitimu, tuko hapa Mlimani City, kwa mujibu wa kitabu cha majina ya wahitimu ukurasa wa 74 unaonyesha kuwa JK atalamba PhD ya Heshima kwenye Sheria wakati Museveni atapata ya fasihi. Vyanzo vingine vinathibitisha kuwa JK alizomewa Nkrumak sasa tatizo hapa ukumbini ni Elders tu sidhani kama watasemaje! Kaazi kweli kweli

hv hizi shahada za heshima zinatolewa kwa vigezo gani? Au ni uongozi wa chuo kujikomba kwa boss?
 
bora hata ingekuwa sifuri tungemweshimu kwa kuwa iddle, wa huyu ni chanya kubwa
kweli wewe kilaza inaelekea hata ujui chanya na hasi.ulitaka mchango wake uweje sasa kama upo chanya si ni juu ya sifuri unaona wivu mwenzio anapata phd uliambiwa ukimbie la tatu?
 
Kama zingekua zinasaidia katika kuendesha nchi isingekua tatizo ila sasa hazina maana yoyote na wanapeana kirahisi sana wakati watu tunasugua kichwa, naona kalazimisha apewe hio PhD baada ya UDASA kuigomea!
Hongera mkuu kufikia hatua hiyo unaonyesha ni jinsi gani ulivyo wa maana sana katika nchi hii,Bwn Mungu akulinde daima!!!!!!!!!
 
Kweli tuna nchi ya ajabu sana
Hivi jopo gani liliamua kufanya ujinga wa namna hii
Nimeamini usemi wa mtu mmoja aliwahi kusema " Wakati tanzania tunafyatua madaktari bingwa kama nukushi, wenzetu wanawaandaa na kuwatengeneza"
 
Asante sana Mpwa ila tuna tatizo kubwa sana la Supervisors, ntaanzisha thread hio kesho

hilo ndilo tatzo kubwa..my wife wangu anachukua MIT (masters ya international trade) supervisors ni shida sana......sijui hawapo maana analalamika sana
 
...ha ha.... hhaaaaaaaaaaaa na ni hongera lakini si wangempa na ya kucheka!!!!!!!!!!!!!! au hii haijafikiriwa bado; mpeni mtu anachostahili, kama vile ya usaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii\! Ah jama maprofesa wote UDSM kweli wameshindwa kuona hilo ama wanaogopa kufukuswa?
 
Kama kweli wakubwa wa UDSM watakuwa wamempa PhD Kikwete watakuwa wamemwaibisha zaidi wakidhani wanampandisha chati. Sii vyote ving'aavyo ni dhahabu.

Pili, Professor Mukandala may well go down as the most useless Vice Chancellor ever in UDSM kumtunukia (whatever) Museven ambaye amebadilisha constistution na kuwa Rais wa maisha! Kumkumbatia huyu dictactor sio tu inaacha doa kwa UDSM bali kwa Tanzania pia maana inatuondelea moral authority ya kuhoji 'demokrasia' ya kweli! Very sad!
 
Back
Top Bottom