UDSM: Rais Kikwete atunukiwa PhD ya heshima katika sheria

Hongera kwa kupata degree ya uzamili. Mwenzako kikwete aliipata hiyo long time sana. Jitahidi na wewe unaweza kuja kupata PHD ya heshima kama JK

we kubwa ji... si umesema unamtafuta elli umkamate? mbona unaanza kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa?
 
hao wanaotaka kumvua uenyekiti wanatumiwa. Wana uroho wa madaraka. Wametumwa kukidhoofisha chama. Ila watashindwa.

Na wewe unatumiwa na nani ili umfagilie msanii anayeidhoofisha nchi?
 
Sasa ni maandamano, ndio shughuli inaanza sasa, umeme sijui hautakatika tena? duh list ya magamba ni kubwa! wanaangalia gamba mwenzao akipokea PhD za ubwete
 
Asante sana Mpwa, nataka hii shahada ni-dedicate kwa Sumaye

kwa sumaye? nahisi unataka kuharibu upepo humu ndani.......kafanya nini cha maana unachomkubali? kujimilikisha hekta kadhaa za mashamba ya wakulima morogoro ndu umpe tuzo hiyo? wacha utani bwanaaaa.......
 
hahahahahaha KAKA LOWASSA nae yupo ndani ya nyumba, kaaazi kweli kweli, kaenda kukaa na Sumaye pale, wanateta mawili matatu hapa

bora wangempa Lowasa maana yeye angalau alitimiza sheria ya utashi binafsi kwa kuzira u-PM
 
kwa sumaye? nahisi unataka kuharibu upepo humu ndani.......kafanya nini cha maana unachomkubali? kujimilikisha hekta kadhaa za mashamba ya wakulima morogoro ndu umpe tuzo hiyo? wacha utani bwanaaaa.......

Oooh sorry nilimaanisha kuwa kasababu yeye kakosa ya heshima, labda ningemsadia hii!!! Hope umenipata mkuu, ndo kazi imeanza hapa
 
Nakutafuta ulipo..kama upo ndani hapa lazima nikubebe. Huwezi kuwa unatoa habari za kipuuzi kama hizi hapa JF
Acha wivu wa kimagamba huo, muache kijana akamate jiwe la pili ili awe anatoa hoja za maana zaidi hapa JF. Sema tu bahati mbaya huyu jamaa JK kawachafulia hali ya hewa kwa kuwepo humo ndani wakati hajawahi kusotea mawe (DIGRII) kama kiboko yake Dr Slaa.
 
custom_name_congratulations_phd_card-p137422218283970646q6ay_400.jpg
You have worked hard; now enjoy reaping the benefits,our president JAKAYA MRISHO KIKWETE
 
Sasa ni maandamano, ndio shughuli inaanza sasa, umeme sijui hautakatika tena? duh list ya magamba ni kubwa! wanaangalia gamba mwenzao akipokea PhD za ubwete

nakutakia kila la kheri jk. Nawapongeza udsm kwa kutambua mchango wa jk.
 
mI NAONA HIYO SHEREHE ISITISHWE TU, SI WALISEMA HAWAITAMBUI SERIKALI YA MPITO YA LIBYA,,SASA KISHAELEWEKA, MUNGU MTU WAO KAFA. WAANZE MAOMBOLEZO AKINA JK
 
oooh sorry nilimaanisha kuwa kasababu yeye kakosa ya heshima, labda ningemsadia hii!!! Hope umenipata mkuu, ndo kazi imeanza hapa

achana naye tapeli huyo, kumbuka ndo aliyeuza nyumba zetu na wizi wa mali za umma umetendeka chini yake. Duduz tu naye kama ben, jk, lowasa, na yule dubu........nimemsahau, yule mwenye uso kama kiboko mnyama
 
Mi ndo hapo ninaposhangaa watu hawa wanaotoa tuzo huangalia vigezo gani. Huwa nafikiri sijui ni wanafiki au wanajipendekeza maana wakitoka nje utasikia wakisema kiongozi huyu kashindwa kuongoza nje hafu maPHd wanampa sielewi kabisa si tu watu gani, hata mzumbe mwaka juzi if not mistaken walimpa PHD ya heshima.
 
Back
Top Bottom