UDSM PhD hii mngempa KIPANYA

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Kwakua mhimbili unv walikupa,udom walikugawia na nairobi walikupatia!ungefanya jambo la maana kama ungeikataa hii PhD MR MSOGA.
Halafu wasomi wa udsm wangejaribu kuangalia nani wa kumpa shahada hii,wapo wengi sana nami nasema kwa dhati masoud Kipanya anastahili!
KWANINI?kwa sababu mchango wake unaonekana katka jamii yetu,amekua msemaji wa watanzania,na hapendi kuonesha ushabiki wa kichama!Kipanya ni mi0ngoni mwa vijana ambao walistahili kupewa!sasa basi kwanin watu wa aina hii wasingepewa?
NOTE:apart frm KP unaweza kuwataja vijana wengne na 7bu za kupewa PhD
 
watu wengi hatuwezi kuwa na fikira zako lakini mchango wa Kipanya unaweza kuwa mkubwa sana katika area ya fine art ukilinganisha hata na watu ambao wamesoma hata masters za ujuzi huu lakini hawajafikia hata robo ya mchango wa Masoud Kipanya.
Badala ya kuwaenzi wajenzi tunawaenzi wabomoaji, inatia shaka! Uswahiba huu bwana!!
 
kuliko wangempa mkuu wa kaya bra wangenipa mimi mana naitunza familia yngu vyema yy kashindwa kbs kazi kuzurura km mbayuwayu. Kwa kweli KIPANYA ANASTAHILI ijapokuwa hawataki kukubali kw anastahili
 
Kwakua mhimbili unv walikupa,udom walikugawia na nairobi walikupatia!ungefanya jambo la maana kama ungeikataa hii PhD MR MSOGA.
Halafu wasomi wa udsm wangejaribu kuangalia nani wa kumpa shahada hii,wapo wengi sana nami nasema kwa dhati masoud Kipanya anastahili!
KWANINI?kwa sababu mchango wake unaonekana katka jamii yetu,amekua msemaji wa watanzania,na hapendi kuonesha ushabiki wa kichama!Kipanya ni mi0ngoni mwa vijana ambao walistahili kupewa!sasa basi kwanin watu wa aina hii wasingepewa?
NOTE:apart frm KP unaweza kuwataja vijana wengne na 7bu za kupewa PhD

Hapewe Malaria Sugu kwa mchango wake mkubwa ndani Ya jf.hapewe pia KANUMBA NA RAY kwa michango yao kwnye kukuza filamu nchini
 
Kwakua mhimbili unv walikupa,udom walikugawia na nairobi walikupatia!ungefanya jambo la maana kama ungeikataa hii PhD MR MSOGA.
Halafu wasomi wa udsm wangejaribu kuangalia nani wa kumpa shahada hii,wapo wengi sana nami nasema kwa dhati masoud Kipanya anastahili!
KWANINI?kwa sababu mchango wake unaonekana katka jamii yetu,amekua msemaji wa watanzania,na hapendi kuonesha ushabiki wa kichama!Kipanya ni mi0ngoni mwa vijana ambao walistahili kupewa!sasa basi kwanin watu wa aina hii wasingepewa?
NOTE:apart frm KP unaweza kuwataja vijana wengne na 7bu za kupewa PhD

Kweli wangempa kipanya tu
 
ni kweli Invisible naye amefanya mambo mengi na anaendelea, wapo wengi pia wanaostahili lakini KP ni mtu anayeonekana maarufu (japo sina uhakika na hili) lakini inaonekana anaishi kwa kipato halali na sio kwa channels za ufisadi kama wengi wetu na nimewahi kuona interview yeke moje kwenye gazeti la Daily News juu ya malengo aliyonayo, ndipo nikawaza ni jinsi gani hii nchi ina vipaji lakini haviendelezwi.
Basi kwa vile mkulu anazo tatu, ingekuwa vizuri hii akapewa MAMA SALMA ili kutambua mchango wake wa kumsaidia mumewe kupata Bachelor moja na 'phd' tatu ikiwa ni sambamba na kuheshimu mchango wa wamama!
Angepewa Invisible kwa mchango wake wa kutuletea habari motomoto.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom