only83
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 5,343
- 2,525
Rejao kuna siku ulisema umeongea na Mbowe na kudai hakuna mkutano lakini kumbe ulikuwa ni uongo. Kwa nini na huu nisiamini ni uongo pia?
Rejao ni kichaa achana nae...