UDSM PAMENUKA TENA no lectures

Janja PORI

JF-Expert Member
Jul 31, 2011
825
246
hatimaye tunangoja siku 3 tufunge chuo masomo yamesitishwa Usalama wa Taifa mjue Hakuna wanaharakati ishu imeuma watu
 
Na msikubal mpaka hao wengne walioko lock up watolewe!
 
Acha kudanganya umma...nipo maeneo ya UDSM na kila ktu kipo shwari
 
Mpaka madogo wote walioko mtaani kwa kukosa mkopo watakapopewa,na hao raia wenzetu 15 walofukuzwa chuo watakapo rejeshwa chuon ndo na sisi tutafungua chuo.
 
udsm wamegoma tena leo kushnkz wenzao hamsini waachiwe haya ya udom wenzao 511 mpaka leo kimya

udsm komaeni Warudi hao
 
Mpaka madogo wote walioko mtaani kwa kukosa mkopo watakapopewa,na hao raia wenzetu 15 walofukuzwa chuo watakapo rejeshwa chuon ndo na sisi tutafungua chuo.
Nakukuhakikishia watahakikisha wanawabana mmoja mmoja mpaka muogope na mlegee.
 
Hii nchi sijui inaelekea wapi sasa.

Ngoja nirudi MMU kule.

asprin wewe unawaza mmu tu? kaka hapa jukwaa la ukombozi kaka,mmu ni ya kuingia wakati wa jion kurefresh mind baada ya kupigana vita mchana na mafisadi jukwaa la siasa na hoja mbalimbali.
 
Nipo UDSM maeneo ya UDBS hapa karibu na Auxiliary police...hali ni shwari kabisa!

fix man,kwa kuwa unapajua ud basi ndio unataja as if u know ndani admstn kuna nini,hata kama upo hapo pengine ni unasubiri daladala hapo kituon.naona punga upo kazini.
 
Huku hakukufai babu utakufa kwa presha, nenda tu mmu wajukuu zako akina husninyo wakakuliwaze.

babu ODM huku hakuwezi,anamwogopa sana ff,rejao na ritz1,kashazoea soft thrds za kina ashaDi, black woman na sweetlady,faisi buku,bebii etc.ngoma hizi haziwezi
 
Rejao kuna siku ulisema umeongea na Mbowe na kudai hakuna mkutano lakini kumbe ulikuwa ni uongo. Kwa nini na huu nisiamini ni uongo pia?


Asubuhi ameomba nauli ya kurudi toka ughaibuni aje kutetea nini vile ?mara hii yuko UDSM, du atakua ndondocha huyu !!
 
Back
Top Bottom