UDSM kimenuka sasa hivi, Kikwete na Kawambwa Wataficha wapi nyuso zao?

Wazee wa kazi ukibeep wapiga check hapo mambo ya udsm

images
images
nitafutieni contact za mmmojawapo wa hao watoto mm nitamsomesha bure
 
Naomba polisi hakikisha mnauwa kama wawili hapo ili iwe fundisho kwa vyuo vingine kwani hawa wanasababisha hatujengi taifa letu resources nyingi zinatumika kuwatuliza wao, kingine wanatumiwa kisiasa hao na chama cha demostration action (CHADEMA)

Wewe ni ***wa kasoro ka mkia
 
Hela ya kununu majumba ya ubalozi ulaya wanayo alakini ya kukopa wanafunzi wavyuo vikuu hawana,vijana pambaneni mpaka kieleweke tunawaunga mkono .
 
Mbeya kumenuka ni vita
fikiria vizuri sana, ipo siku wataishiwa mabomu ya machizi, fikiria nini kitawapata hawa!, hivi umefatilia mbeya! Polisi inaanza kurudi nyuma sasa wananchi wanakwenda kwa mkuu wa mkoa.
 
Nimependa hiyo strategy hapo kwenye nyekundu... na sisi arusha tutaanza kuitumia hii
hivi hao polisi stock yao ya mabomu haiiishi?


mwaka jana wakati wa uchaguzi ziliingia silaha nyingi zana
 
Sasa kumetulia kidogo.Nipo na wanaharakati hapa,hall one a.k.a extension wanampango wakwenda daruso,pia baadaye kuhasisha zaidi watu waunge mkono hili ili j3 waweze kufikisha ujumbe kwa wahusika.
 
Hutakufa kabla ya kukiona kitu kitakachokufanya ujute kuishabikia CCM...Take my words...

Mhurumie huyo mmemkwa maana hata Mungu mwenyewe hawezi kukubaliana na binadamu anayeshauri binadamu wenzake wauawe, kisa tu wametofautiana kifikra. Mwl. Nyerere aliwahi kusema wajinga na werevu wote waliumbwa na Mungu, ingekuwa sio hivyo nadhani tungeshaanza kum-sarowiwa huyu huyu mmemkwa siku nyingi na angeshasahaulika.
 
Nidhamu za uoga hizi...kwanini mgome Ijumaa? mnaogopa sheria ya 3 days consecutively kuna kutimuliwa mrudi vijijini kwenu?
Mgegoma Jumatatu ndio ningeona mmefanya cha maana ili Jumatano chuo kifungwe!
 
poleni wapendwa wangu maana ndo sera ya ccm na serikari yake kwa watoto wa masikini maana wakwao wako ulaya wanasoma lakini ipo siku Mungu atatuona.
pia nawashangaa hao polisi utafikiri hawana watoto wanosoma udsm inauma sana.
 
bogota_pro.jpg

Tens of thousands of students and supporters across Colombia caused road blocks and commotion Thursday in protest against reforms to their higher education system, despite the fact that President Juan Manuel Santos said he would withdraw the reform proposal if strikes stop.
In Bogota, protesters concentrated in front of various universities and marched to the city's central, Plaza Bolivar, where they held discussions, sang songs, and prepared to camp out for the night.
Carrying banners, flags, and toting painted faces the students chanted "we don't educate human capital, we educate human beings" and it's "not a law change, but a change of the country."
Enforced by 2,500 security forces, including police officers and Army troops, the student protest was kept peaceful throughout the day.
"In Bogota alone we have mobilized more than 200,000 people" claimed the representative of the Organization of Colombian Students (OCE), Sergio Fernandez, in Plaza Bolivar. Radio station Caracol estimated that some 20,000 students from the capital's largest National University were taking part in the marches.
Similar manifestations took place in Colombia's other main cities, including Medellin, Cali, and Villavicencio. More than 500 thousand students at 32 Colombian public universities have been on strike for a month because of their opposition to the reform.
"The marches have been enormous, and have taken place without altercations," assured the OCE representative, next to the Federation of University Students (FEU).
The president told the protesters "you organized this strike so that they would withdraw the reform, and we have already responded positively to your solicitation. We are going to remove the reform if they stop the strike and go back to classes. There isn't any threat here."
The head of state explained that the goal of the reform is to guarantee more resources for public universities, improve the quality of public education, and facilitate the provision of subsidies to students who can't afford to pay for higher education.
Students announced they would have a national assembly on Saturday to decided the future of the Colombian university strike.
Santos said "as president of Colombia I publicly express my intention, and that of all of the officials of my government, to mobilize financial, technical, and human resources that are within our network to improve the learning process for Colombians, and close inequality gaps."
 
Mhurumie huyo mmemkwa maana hata Mungu mwenyewe hawezi kukubaliana na binadamu anayeshauri binadamu wenzake wauawe, kisa tu wametofautiana kifikra. Mwl. Nyerere aliwahi kusema wajinga na werevu wote waliumbwa na Mungu, ingekuwa sio hivyo nadhani tungeshaanza kum-sarowiwa huyu huyu mmemkwa siku nyingi na angeshasahaulika.
Tatizo CHADEMA imekuwa chukizo hata mbele za Mungu imeandikwa mtii mamlaka zote kwani zatoka kwa Mungu sasa angalia mnavyopigwa na watu wenye utii na heshima kwa Mungu. Askari asipofanya hiyo kazi nakuambia nchi haikaliki, piga ua wehu hao kwani hawana haki ya kuishi muasisi wa china Mao aliwaua wanafunzi 5000 kwa kuwakanyaga na vifaru elfu kumi ikiwa ni kuwaonyesha uma ubepari haukubaliki na CCm uwa hao ili wajue maandamano yasiyo natija hayna nafasi.
 
Back
Top Bottom