UDSM kimenuka sasa hivi, Kikwete na Kawambwa Wataficha wapi nyuso zao?

Nimehuzunika sana kuona hizi picha
Kwa mara ya kwnza nimeona wanafunzi wa chuo kikuu wanagoma kwa siku ya kwanza na kuletewa FFU, na fFU inaanza kufyatua mabomu na kukamata watu!!

Ni katika serikali ya kichwa nazi chenye PhD kadhaa peke yake nimeona hii!!
 
Kwa mara ya kwnza nimeona wanafunzi wa chuo kikuu wanagoma kwa siku ya kwanza na kuletewa FFU, na fFU inaanza kufyatua mabomu na kukamata watu!!

Ni katika serikali ya kichwa nazi chenye PhD kadhaa peke yake nimeona hii!!
hII INATISHA SANA.... yani suluhu ya serikali imebakia kwenye virungu na mabomu

tulikua tunagoma hadi siku tatu bila mabomu, sijui tunaelekea wapi
 
hII INATISHA SANA.... yani suluhu ya serikali imebakia kwenye virungu na mabomu

tulikua tunagoma hadi siku tatu bila mabomu, sijui tunaelekea wapi
Mimi sielewi!
walihamishwa wamachinga wa mazense bila fujo, mgambo walivunja vibanda vya watu lakini ni baada ya notice ya siku nyingi na kuwaandalia sehemu pale Urafiki...........(japo unaweza kuona ukumanyoko wa hii serikali, walihamisha u chafu manzese wakaupeleka urafiki)

Siku hizi mkuu wa mkoa anaamka asubuhi anasema toa hawa!!!
Wakulima wananyanyaswa na mwekezaji njaa mmoja kule Mbarali, wananchi wamelalamika kwa mkuu wa wilaya, mkuu wa mkoa, lakini hawajaweza kumwambia mtu mmoja aondoke mara moja!!

this government bana!!
Sisi tulikuwa tunagoma, siku ya tatu mfululizo ndo labd unaweza kuona FFU, tena kama order ya kuondoka ikikiukwa.

Sasa hawa washenzi wa tabia hawa!!
 
hivi polisi jamani hamjui kama na sisi ni binadamu sasa mkitumwa hamuwezi kufikiri kwamba pale chuoni kuna
wanenu maanko zenu mnapiga tu mabomu shenzi kabisa ninyi pamoja na viongozi wenu na ninyi wanafunzi migomo sio ishu kila siku tutasoma lini
 
Nimewahi kusema jeshi la polisi linahitaji maboresho makubwa kuanzia kwenye sheria zao hadi kwenye muundo. kinachowagharimu polisi ni kutoelewa vizuri mfumo wa vyama vingi na changamoto zinazoikabili serikali katika kutekeleza mfmo wa vyama vingi. wanapokea amri hata za makatibu wa ccm wa mikoa na wilaya. hilo litakwa jeshi kweli?. pia wawaache wanaodai haki kwa amani. hivi wanafunzi wakigoma kingia darasani na kudai haki kwa amani tatizo ninini? polisi wawe na mtazamo chanya kwa wanafunzi.
 
Hey..!
revolutiooooooon......., for changeeeee....eeeez..!
wanaharaki hongereni kwa ujasiri wenu wa kuwatetea watoto yatima na wa wakulima waliokosa mkopo., ila naomba kujua vp kuhusu waliopelekwa gerezan? 4 xua we must stand steal az one 2 emancipate both who got NO LOAN n those hav bn arrested!
 
mtakapoona sisi viongozi wenu tunatembea na misafara mikubwa na ulinzi mkubwa mjue tumeanza kuwaibia---J K NERERE
 
wamepelekwa kusoma wao wanaingiza siasa, tandika hao wanafunzi, bado wajinga, waliowatuma wanakula kuku wao wanachezea maisha, shauri yao.

Sio kosa lako.ungekuwa umesoma ungekuwa na uwezo wa kufikiri zaidi ya hapa.

Wanawezaje kusoma na hawana pa kuishi,chakula wala ada ya masomo!?
Anyways..ndiyo maana hii nazi iko madarakani bado sababu ya watu kama wewe.
 
Utoto unawasumbu! Mbona vyuo vingine vipo cool? Wakipigwa ni halali yao kabisa.

Ashakum si matusi chuo kikuu kiko kimoja tu tanzania,..vilivyobaki ni college na institutions..mapinduzi yeyote lazima yaanzie UDSM.

Hata ivo ungekuwa unafuatilia mambo ungejua kuwa migomo ya elimu ya juu semester hii imeanza muda,.college ya TKU huko mbeya,kampala university college hapo g'mboto na kadhalika,..
 
Lakini si Mh. Philipo Mulugo (Naibu waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi) aliwaomba wafanye hivyo ili kushinikiza waliokopeshwa warejeshe pesa ili na wao wakopeshwe. Wengi wetu tumerejesha na wengine wanaendelea kurejesha. Ila kwasasa serikali haina takwimu nzuri inayoonyesha wafanyakazi wa sekta zote na kubainisha wale waliokopeshwa na kutafuta njia za kurejesha. Ni wale walioajiriwa serikalini tu ndiyo inakuwa rahisi kuwapata. Wapo wengine hawajui ni mfumo gani wautumie ili kurejesha pesa zao. Inashangaza sana kwa Waziri kutaja fedha zote ilizokopesha (bilioni 21), bila kutaja ni kiasi gani kimesharudishwa, ni wangapi wanaorudisha na wangapi ambao hawajapatikana ili kurudisha. Inakuwa ni ngumu kuunda mfumo wa urudishwaji wa fedha za mikopo bila kujua hao watu wapo wapi.

nakubaliana na wewe mkuu,..ila kinachowashinda kutrace watu ni nini,!?mbona walau kila mtu aliyeajiriwa anatakiwa kuwa na pension number na rekodi ziko wazi kabisa huko nssf,pspf na kwingineko?!..si waanzie huko?!

anyways watajuaje na wamezoea kufanya kazi bila kufikiria?!,,kama baba kama watoto.
 
Back
Top Bottom