masopakyindi1
Member
- Apr 1, 2012
- 29
- 1
wewe ni mdini tu kibandiko mkubwa!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bado hujamsaidia mtoa mada
hujanishawish
hiv kama mtu amekufa na midhambi yake akizikwa kwa iman ya din yake ndo anasamehewa dhamb?
2.ivi kwenye mel na hayo mabac watu wanatembea na kad za kuonyesha wao ni din gan?
hujanishawish
hiv kama mtu amekufa na midhambi yake akizikwa kwa iman ya din yake ndo anasamehewa dhamb?
2.ivi kwenye mel na hayo mabac watu wanatembea na kad za kuonyesha wao ni din gan?
Tatizo sio kuondolewa kwa dhambi, binadamu anatofautiana na wanyama...mojawapo ni hii ya kuwa na dini. Nimeshudia mara kadhaa pale UDSM watu wanakufa hawana ndugu na wala hawajulikani so wanarudi kwenye registration forms zako ambako kuna picha na taarifa zako zingine. Huwezi kuwa convinced kwa sababu hujakutana na dharura kama hizo. Hata kwenye ajira kwenye personal particulars kuna kipengere sio cha dini tu bali na madhehebu yakohujanishawish
hiv kama mtu amekufa na midhambi yake akizikwa kwa iman ya din yake ndo anasamehewa dhamb?
2.ivi kwenye mel na hayo mabac watu wanatembea na kad za kuonyesha wao ni din gan?
Tatizo sio kuondolewa kwa dhambi, binadamu anatofautiana na wanyama...mojawapo ni hii ya kuwa na dini. Nimeshudia mara kadhaa pale UDSM watu wanakufa hawana ndugu na wala hawajulikani so wanarudi kwenye registration forms zako ambako kuna picha na taarifa zako zingine. Huwezi kuwa convinced kwa sababu hujakutana na dharura kama hizo. Hata kwenye ajira kwenye personal particulars kuna kipengere sio cha dini tu bali na madhehebu yako
nilkuwa naelekea kuandika hapo bold na hilo ndilo lengo lake nothing else. Imagine ajali za vyombo vya usafiri kama mv bukoba, spice islander, mabasi etc mwili umeptika lkn hakuna aliyemtambua mrehemu sasa mtu huyu akazikwe kwa taratibu za dini gani? makaburi gani? ya waislamu au wakristo? na mwisho ndio hapo wavuta bange wa city wanachukua jukumu.. ha ha ha wale jamaa wanachimba kaburi linaishia magotini halafu mwili unatupiwa kama kiroba usiku mbwa wanageuza kitoweo
Sasa hapo umesema "hakuna aliyemtambua marehemu" kama ni hivyo kipengele cha dini kinakusadia vipi kama hakuna mtu anyaekufahamu? watajuaje kwamba kwenye fomu ya UDSM ulijaza kwamba wewe ni mkristo? (kwa sabau hakuna anayekufahamu na hivyo hakuna anayejua unasoma wapi.
machungu ya sensa?? Na wewe ulikua mmoja wa wale wanaoweka mabango nje ya nyumba kuwa hawataki kuhesabiwa na wanawatishia usalama makarani?? Huna akili wewe. Vitu vinafanywa kwa maslahi yako mwenyewe afu una resist. Badala ya kuwaza maendeleo dogo unawaza udini na upuuzi 2.