UDSM campus rename Mlimani Campus to JK Nyerere

" Wadanganyika" wenzangu,hv hakuna watu walioitendea wema nchi hii zaid ya nyerere?hv nyerere alpigania uhuru peke yake?nyerere na TAA nani alianza kuzaliwa?hv kwa nn 2sikumbuka wengne km Tewa said Tewa,hamza mwapachu,bibi titi mohamed,abdulwaheed sykes n.k.
Hv kwan wanasiasa ndio wema zaid kwa nch hii?hakuna watu wa kada nyingine ambao ni muhmu kwa nchi hii.hebu angalia mchango wa "shakespear" wa kisw ndg shaaban robert,angalia watu waliopigana ktk nch hii km majeneral waliopgana vita vya uganda.sisi ni siasa,siasa,siasa 2.
 
Kama dhihaka fulani vile, baada kuchakachua matumizi ya eneo la chuo na kuweka leo kitu wanaita mlimani city kitu ambacho sidhani kama yeye angekiridhia..accomodation ya campus ile kwa maana ya hostel ni chini ya wanafunzi 4,000'Expansinsion za maana sasa zitafanyika kwa kujibana ndani ya eneo dogo kinyume kabisa na vile Nyerere JK angetaka iwe.Very soon utasikia Barrick wameamua kumuenzi Nyerere kwa kuupa mgodi wao mmoja jina Jk Nyerere Goldmine hasa ule wa North Mara.Chochote Walichoingza vision zao mbovumbovu kikafa wanaweza wakakiname after yeye,Naunga mkono ile campus kuitwa jina lake japo hiki limekuja kwa kuchelewa.Lakini huwa nakereka kilaini iuwa nakereka sana huwa nikiona upimbi wa wa kimaono uliözaa kitu kinaitwa mlimani city...Haya twendnitu.
 

"We are doing this in recognition of Mwalimu Nyerere's contribution to the academic arena. This campus was known as Mlimani campus and now we have decided to rename it after the Father of the Nation, which brings more meaning to what he did," said Prof Mukandala.

hawa wanafiki wanajikomba kwa Nyerere kwa ndimi zao lakini roho zao wameziweka mbali na misingi ya utu aliyoijenga hapa nchini.....................who cares about the name......................................but we care about his humanistic ideals...................
 
Naomba nitofautiane na mkuu wangu hapo juu kwa kusema kwamba kama kuna Chuo Kikuu kilichostahili kupewa jina la Moja kwa Moja la Mwalimu Nyerere, Chuo Kikuu hicho ni Chuo Cha Dar es Salaam nzima na wala si eti ka-Campus.

Lakini kile Chuo cha Kule Kigamboni kupewa jina hili zito na lenye heshma tele duniani, mmmmmmmmmmhhhhhhh!!!!!!!!!!! Na kwa kuwa jina hili lenye kuenziwa kiuadilifu hivi sasa imepata ka-kipenyo kule Mlimani, hiyo pekee iwe ni alama ya watumishi wake huko kutokuendekeza BIASHARA YA KUGAWA PhD kiholela tu kwa watu wasiostahili.
Nadhani tumuenzi kwa vitendo. UDSM ikomalie elimu iache kupuuza elimu kwa kuto shahada zisizo na ubora na iwafundishe vijana uadilifu kama wa Nyerere.
 
Nimegundua kwamba kila sehemu yenye jina la JK Nyerere basi hiyo sehemu Rushwa na UFISADI ndiyo unazidi.
 
Huyu Mukandala ana akili kama za mbayuwayu JK, mpuuzi mkubwa. Chuo kina matatizo lukuki hayajapatiwa ufumbuzi yeye anaona ni tija kubadili jina lenye historia kubwa aliloasisi mwalimu 'Mlimani Campus'. Wanachuo kikuu na Alumni tupinge jambo hili kwa nguvu zote. Mukandala, kama JK anapenda cheap popularity!

Dr. Lwaitama jana alitoa kauli kuwa hatuwezi kumuenzi Mlm kwa kubadili majina ya taasisi za elimu au viwanja vya ndege. Tumuenzi kwa kusimamia falsafa zake na miiko ya uongozi.
 
kwanini mzee mimi naona kama jambo jema ingawa wamechelewa sana..

haikutakiwa hata kidogo...inasikitisha kuona hata wasomi wanafikira finyu namna hiyo. uki rename kila kitu kuwa Mwl JK Nyerere ndo kumuenzi?he was the founder of almost everything in the country and infact every thing which started under his rule was termed as founded by him. already we have Mwalimu nyerere memorial Something kule kigamboni,airport,barabara(mikoa kadhaa inazo nyerere roads such as dar,musoma n.k),kuna mashule ya sec na primary....baadaye itakuwa kawaida sana hata heshima itakuwa hakuna.
Mlimani ni Maarufu sana na inahitaji kuenziwa by itself...hata maMALLS ya Mlimani city yalikuwa named in favour of the same. Mi naona Mkandala kachemka sana na inakera sana
 
Madictator siku zote wanaenziwa kwa kutumiwa MAJINA yao kila kona Airport, Schools, road. Mubarak jina lake lilitumika kila kona ili kumuenzi.

Sasa hivi MAFISADI na Wala RUSHWA wanaendelea kumuenzi Nyerere ambaye ndiye aliyekuwa MUASISI wa UFISADI na RUSHWA TZ kila siku. Najua kwamba siku zao zinakaribia...
 
Hii ni ajabu aiseeeee
Hivi bado UDSM ni kituo cha changamoto za kiutawala kama enzi za mwalimu?
 
Naona watu wanaitana wanafiki, lkn ukweli nyote nyie ni kundi moja, hamna wa kumcheka mwenzie. Nyote kila mmoja kwa nyakati tofauti mmekuwa mkiwaabudu wanasiasa na kuwalamba miguu na kuwapigia kinubi kuwaimbia nyimbo za sifa wasizostahiki. Binafsi serikali hata ikiichagulia jina baskeli yangu I would care less ili mradi tu hawanizuii kufanya misele tauni
 
Sioni logic hapo kama matendo ni tofauti na falsafa za mwalimu hata tukiita mlima kilimanjaro Nyerere mountain haitatusaidia kinachotakiwa ni kulipenda taifa kuliko mali na utajiri tunaouhusudu sasa! pia kuna watu wengi waliotoa mchango mkubwa kwa nchi hii katika nyanja mbalimbali kwann tuwaenzi wachache? mi naona tuna tatizo la msingi kutojitambua tunatakiwa tufanye nini kwa mustakabali wa taifa letu tumekuwa watu wa events badala ya issues/programs/policies/agenda. Hatuwezi fika tukiendelea namna hii.
Basi hebu tuangalie katika kila secta watu waliotoa michango tuwaenzi katika muziki,soka,utangazaji,elimu,usafirishaji,uchumi,kilimo nk sio siasa pekeyake. hii inasababisha watanzania kutokuwa na morale ya kazi zao kwasababu wanajua no matter how best they will perform no boby will honour them na hili linaiua hii nchi.
 
Kwani Mlimani Campus lilikuwa na matatizo gani? Huu ni ufinyu wa mawazo. Uwanja wa Ndege wa Nyerere, Nyerere Campus, Barabara ya Nyerere, next time tutasikia Soko la Kariakoo nalo limebadilishwa jina na kuitwa Nyerere Market na Viwanja vya Jangwani - Viwanja vya Nyerere. In fact nina wasiwasi UDSM itabadilishwa jina na kuwa Nyerere University kama UDOM itakavyokuwa Kikwete University.
 
upuuzi wa hali ya juu!hivi jamani kuna mtu asiyejua kuwa prof rwe mkandala ana majumba ya kifahari kila kona hapa dar?jee yeye kamuenzi kwa vitendo?unafiki mkubwa.chuo cha kivukoni kilishaitwa nyerere sasa mlimani tena?stupid mind
 
I hate this these things about Nyerere! Yaani 25 years after he stepped out of power still we are making reference to him! How many things have

changed? Unasikia na wengine ati mwalimu akifufuka leo atawachapa watu viboko! Kweli enzi hizi ni zakufanya vitu kwa kuangalia Nyerere

anasemaje? Jambo la msingi ni sisi watanzania kujenga misingi yetu bora ya utaifa letu. We should have our own national spirit and ethics which

are relevant to the material time and which will help us to build our nation by solving our critical problems. Haya mengine ni janja ya watu

kujitafutia kula kwa migongo ya waliolala. Tuachane na habari za wafu.
 
Upuuzi upitao upuuzi wowote ule niliowahi kuuona kwa wasomi.........Yani wanakaa kwenye vikao, wanabishana na kukubaliana ili kumuenzi Nyerere tubadilishe majina ya sehemu na kuyaita Nyerere!!!!

Rwekaza............unatofauti ganina rafiki yako Kikwere?? No difference at all. Akili ipo maternity leave!!! damn!!
 
this country need change.....damn big change...........Dar international Airport ilibadilishwa jina ikaitwa Nyerere...........what has changed??
oooh!!! yes, a lot has changed since then..........elevators have stopped working, No AC any more, Wafanyakazi wamegeuka ombaomba pale, wanaomba abiria hela na zawadi.

OohHHHH!!!! Kwanini wasibadilishe ATCL kuwa Nyerere as well?? labda zile ndege zinaweza zikaanza kuruka mysteriously!!
 
Back
Top Bottom