UDOM vs UDSM

kamavipi mkaekimya 2megoma cc mbwembwe z nn kitaan; its me udom maana wengine hamjui hata maana ya mgomo kulen samak 2
sasa kama mligoma nyie,kilicho wafanya mlete thread ya kipuuz ka hii humu jf ni nin?we ndo hujui huko chuon unafanya nin mkuu,yan ungekua mjanja ungeaply chuo kingne mapema 2,hapo ulipo hapana future kabisa.
 
Ukienda UK chuo chenye heshima ya pekee ni Oxford, USA ni Havard, Uganda ni Makerere nk nk kwa Tanzania ni UDSM ndo maana wanasherehekea miaka 50 ya uwepo wake. Kitabaki hivyo kwa kuwa kila wizara, idara, kampuni, shirika, na popote duniani kina magraduates wake. UDOM kina wahadhili waliotokea UDSM, kwa hiyo, UDOM ina copy na ku paste toka UDSM upo hapo. UDOM itabidi kiwe na miaka 50 ili kifike hapo ilipo UDSM, na UDSM hakitakuwa kimelala wakati huo UDOM ikitimiza miaka 50 UDSM itakuwa na miaka 100.

Hizi sifa za kujiunga na vyuo siku hizi nashindwa kuzielewa. Vijana mnashindwa kufikiri kama wanafunzi wa vyuo vikuu? mmeingiaje huko?

Napendekeza seneti za vyuo zianzishe mitihani ya kwao itakayotumika kuwasaili waombaji wa kusoma vyuo hivyo.
 
UDSM ni shule ya great thinkers na UDOM ni shule wana'magamba' na udini wao hadi chuoni.
 
TAFUTA HAPA UDOM KIPO? AU WAMEKOSEA. ACHA KUJIVUNIA CHUO AMBACHO KIMEANZISHWA KISIASA SAMBAMBA NA SHULE ZA KATA
http://www.webometrics.info/universi...ry=uk&offset=0


The InternetLab Ranking of 30 Top African Universities
Rank University Country World Rank
1 University of Cape Town
South Africa 398
2 Universiteit Stellenbosch
South Africa 566
3 Universiteit van Pretoria - University of Pretoria
South Africa 718
4 University of the Witwatersrand
South Africa 720
5 Rhodes University
South Africa 738
6 University of South Africa
South Africa 1,449
7 University of the Western Cape
South Africa 1,553
8 American University in Cairo
Egypt 1,826
9 Noordwes Universiteit - North West University
South Africa 1,857
10 University of KwaZulu-Natal
South Africa 2,214
11 University of Johannesburg
South Africa 2,323
12 University of the Free State
South Africa 2,369
13 Université de La Reunion
France 2,387
14 Nelson Mandela Metropolitan University
South Africa 2,542
15 University of Dar Es Salam
Tanzania 2,819
16 University of Zimbabwe
Zimbabwe 3,072
17 Al Akhawayn University in Ifrane
Morocco 3,174
18 Cape Technikon
South Africa 3,414
19 University of Mauritius
Mauritius 3,682
20 University of Zululand
South Africa 3,724
Source: InternetLab (Observatorio de Ciencia y Tecnologia en Internet

Top Africa

Universities 1 to 100 of 100

CONTINENT RANK UNIVERSITY COUNTRY WORLD RANK

1 UNIVERSITY OF CAPE TOWN
387
2 UNIVERSITY OF THE WITWATERSRAND
589
3 UNIVERSITY OF PRETORIA
598

4 RHODES UNIVERSITY
605
5 STELLENBOSCH UNIVERSITY
606
6 UNIVERSITY OF THE WESTERN CAPE

1,089

7 UNIVERSITY OF SOUTH AFRICA

1,252

8 UNIVERSITY OF KWAZULU-NATAL

1,546

9 AMERICAN UNIVERSITY IN CAIRO

1,580

10 UNIVERSITY OF LA REUNION

1,946

11 NORTH WEST UNIVERSITY POTCHEFSTROOM

2,335

12 UNIVERSITY OF THE FREE STATE

2,419

13 UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM

3,006

14 UNIVERSITY OF ZIMBABWE

3,338

15 UNIVERSITY CHEIKH ANTA DIOP

3,429

16 UNIVERSITY OF MAURITIUS

3,515

17 MAKERERE UNIVERSITY

3,577

18 UNIVERSITY OF NAMIBIA

3,869

19 UNIVERSITY EDUARDO MONDLANE

4,036

20 CAIRO UNIVERSITY

4,056

21 UNIVERSITY OF NAIROBI

4,081

22 UNIVERSITE CADI AYYAD

4,134

23 POLYTECHNIC OF NAMIBIA

4,197

24 ARAB ACADEMY FOR SCIENCE & TECHNOLOGY

4,326

25 UNIVERSITY OF BOTSWANA

4,465

26 UNIVERSITY OF JOHANNESBURG

4,569

27 NELSON MANDELA METROPOLITAN UNIVERSITY

4,618

28 ECOLE MOHAMMADIA D'INGENIEURS

4,781

29 UNIVERSITY OF ZULULAND

4,816

30 NORTH-WEST UNIVERSITY

4,981

31 TSHWANE UNIVERSITY OF TECHNOLOGY

5,013

32 GERMAN UNIVERSITY IN CAIRO

5,041

33 AL AKHAWAYN UNIVERSITY

5,057

34 UNIVERSITY ABOU BEKR BELKAID

5,208

35 AFRICA VIRTUAL UNIVERSITY

5,213


36 ADDIS ABABA UNIVERSITY

5,217

37 MANSOURA UNIVERSITY

5,271

38 DURBAN INSTITUTE OF TECHNOLOGY

5,503

39 NATIONAL UNIVERSITY OF RWANDA

5,517

40 UNIVERSITY OF OUAGADOUGOU

5,667

41 AL AZHAR AL-SHARIF ISLAMIC RESEARCH ACADEMY

5,668

42 UNIVERSITY OF GHANA

5,739

43 UNIVERSITE DE NOUAKCHOTT

5,747

44 UNIVERSITY OF FORT HARE

5,878

45 MOGADISHU UNIVERSITY

5,951

46 UNIVERSITY OF KHARTOUM

5,957

47 KIGALI INSTITUTE OF SCIENCE TECHNOLOGY AND MANAGEMENT

5,979

48 MEDICAL UNIVERSITY OF SOUTHERN AFRICA

6,000

49 UNIVERSITE DJILLALI LIABES

6,023

50 ECOLE DU PATRIMOINE AFRICAIN

6,070

51 UNIVERSITY OF THE NORTH

6,077

52 UNIVERSITE SENGHOR

6,085

53 OBAFEMI AWOLOWO UNIVERSITY

6,199

54 TECHNIKON WITWATERSRAND

6,226

55 MOI UNIVERSITY

6,259

56 UNIVERSITY OF MALAWI

6,271

57 UNIVERSITY OF BATNA

6,272

58 ASSIUT UNIVERSITY

6,332

59 BURAO UNIVERSITY

6,335

60 MANGOSUTHU TECHNIKON

6,339

61 MONASH SOUTH AFRICA

6,439

62 UNIVERSITE ABDELMALEK ESSAADI

6,471

63 AIN SHAMS UNIVERSITY

6,569

64 UNIVERSITY OF ALGER

6,584

65 MOHAMMED FIRST UNIVERSITY

6,592

66 ECOLE NATIONALE SUPERIEURE D'INFORMATIQUE ET D'ANALYSE DES SYSTEMES ENSIAS

6,625

67 KWAME NKRUMAH UNIVERSITY OF SCIENCE AND TECHNOLOGY

6,652

68 UNIVERSITY OF YAOUNDE I

6,794

69 SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE

6,797

70 UNIVERSITE M'HAMED BOUGARA DE BOUMERDES

6,886

71 MUHIMBILI UNIVERSITY COLLEGE OF HEALTH SCIENCES

6,932

72 UNIVERSITY OF IBADAN

6,971

73 CAPE PENINSULA UNIVERSITY OF TECHNOLOGY

7,012

74 ARAB OPEN UNIVERSITY

7,024

75 UNIVERSITY OF SWAZILAND

7,092

76 UNITED STATES INTERNATIONAL UNIVERSITY

7,146

77 INSTITUT NATIONAL DE FORMATION EN INFORMATIQUE

7,179

78 JOMO KENYATTA UNIVERSITY OF AGRICULTURE AND TECHNOLOGY

7,194

79 KASR EL-AINI SCHOOL OF MEDICINE

7,231

80 MINUFIYA UNIVERSITY

7,261

81 UNIVERSITE MOHAMMED V SOUISSI

7,267

82 ZAGAZIG UNIVERSITY

7,335

83 UNIVERSITE D'ANTANANARIVO

7,353

84 UNIVERSITE D'ORAN ES-SENIA

7,400

85 GARYOUNIS UNIVERSITY

7,427

86 NATIONAL UNIVERSITY OF LESOTHO

7,428

87 UNIVERSITY OF BENIN

7,442

88 UGANDA CHRISTIAN UNIVERSITY

7,449

89 UNIVERSITY OF SCIENCES AND TECHNOLOGY HOUARI BOUMEDIENE

7,508

90 UNIVERSITY GASTON BERGER DE SAINT-LOUIS

7,523

91 UNIVERSITY OF VENDA

7,561

92 UNIVERSITY OF MOSTAGANEM ABDELHAMID IBN BADIS

7,562

93 VAAL UNIVERSITY OF TECHNOLOGY

7,577

94 UNIVERSITY OF HARGEISA

7,588

95 ASHESI UNIVERSITY

7,605

96 INSTITUT DE FORMATION EN TECHNOLOGIE ALIMENTAIRE

7,615

97 UNIVERSITY OF SCIENCES AND TECHNOLOGY ORAN

7,619

98 UNIVERSITE CHOUAIB DOUKKALI EL JADIDA

7,622

99 AFRICA UNIVERSITY

7,645

100 PAN-AFRICAN UNIVERSITY

7,655

University Ranking in United Kingdom
 
Udsm enzi zenu ziliisha isha Hacheni UDOM,iitwe Udom,kadri siku zinavyo pita hadi mtasahaurika,ila msijari.
ndugu una tatizo la kisaikolojia. Labda unahisi unasoma katika chuo ambacho wewe mwenyewe hukiamini. Sasa unataka kutafuta ukweli kupitia jf. Mimi nachokushauri jiamini,soma ufaulu vizuri,kazi utapata maisha yaendelee. Hoja yako ni nyepesi mno ndio maana unakosolewa sana. Pole kwa hilo. Masomo mema.
 
Mbona wachangiaji wa mada mnajalibu kukwepa ukweli tumia facts kudifendi hoja zenu, nasiyo kusifia tu.
 
Inaonekana wanafunzi wengi wa Udsm mnakaa fcbk na jamii forum. Ndo maana ata taaruma inashuka kulinganisha na vyuo vingine. Tumieni mda vizuri kujisomea,sio kukaa tu dotcom.
wee una kichaa cha mimba!
 
u cant b serious watu wanasarcifice elimu yao kwa ajili ya kudai haki zao halaf wewe unaleta mashndano? U must b crazy inaposika swala la madai ya msing hatuangali nani n nan ila jns gan mapambano yaendelee had kieleweke! Na ny mnaokoment nashangaa mnawahkum udom kwa maneno ya huyu mwehu mmoja ambaye hajui msemo unaosema an enemy of my enemy is my friend!
 
Udsm na Sua vyuo vizee ata binadamu akizeeka upungua cognive abilities, enzi zenu zileeee, mmeisha fulia.
hawa ni watu walioikosa UDSM lakini wanaipenda, utawakuta UDOM, wengi walikosa qualifications za kuingia chuo kikuu, walichinjiwa baharini na wazee wa vitivo pale, Udbs, udsl, Coet, Cass na Conas. Hawa lazima walete thread ya kipuuzi kama hii.
 
hawa ni watu walioikosa UDSM lakini wanaipenda, utawakuta UDOM, wengi walikosa qualifications za kuingia chuo kikuu, walichinjiwa baharini na wazee wa vitivo pale, Udbs, udsl, Coet, Cass na Conas. Hawa lazima walete thread ya kipuuzi kama hii.
Mmeshindwa kukubali mkaanza kuongelea majungu.Kwa taarifa mulioko Udsm ndo muliokosa nafasi Udom. Wapo baadhi nawafahamu ila majina sitayataja kwa kuheshimu zaidi.Kwa mliosomea pale Udsm zamani sawa ila hawa wasikuizi wanawaalibia tu historia.
 
Mmeshindwa kukubali mkaanza kuongelea majungu.Kwa taarifa mulioko Udsm ndo muliokosa nafasi Udom. Wapo baadhi nawafahamu ila majina sitayataja kwa kuheshimu zaidi.Kwa mliosomea pale Udsm zamani sawa ila hawa wasikuizi wanawaalibia tu historia.
hii kali, sidhan kama ni akili yako. Mtu akose Bcom Udom eti aje apate UDSM?
 
Udsm enzi zenu ziliisha isha Hacheni UDOM,iitwe Udom,kadri siku zinavyo pita hadi mtasahaurika,ila msijari.

Acha utoto wewe! UDSM enzi zao ziliisha kivipi? unazungumzia nini hasa Academics au u-shalow wa chuo? au wewe ni miongoni mwa VILAZA waliotoka UDOM nini? Unapozungumzia University in Tanzania, first you will not hesitste to mention UDSM a.k.a UNIVERSITY OF TANZANIA, kama huji hilo angalia rank ya universities in Africa or World wide then utajua nini namaanisha!

Acha kulisema jambo usilolijua, UDSM ni kitabu tu, migomo inafanyika kwa utaratibu maalumu na kwa TIJA ya Taifa sio kama huko UDOM n.k

Acha uzushi dogo, usikurupuke, UDSM ndio Mama of Universities in Tanzania. ukichukia basi nakuletea kamba ya katani ukajinyonge faster! hahaha good day!
 
Mmeshindwa kukubali mkaanza kuongelea majungu.Kwa taarifa mulioko Udsm ndo muliokosa nafasi Udom. Wapo baadhi nawafahamu ila majina sitayataja kwa kuheshimu zaidi.Kwa mliosomea pale Udsm zamani sawa ila hawa wasikuizi wanawaalibia tu historia.

Wewe sio bure, nahisi akili yako haipo sawa kabisaa au ndo wale vilaza waaliokosa nafasi UDSM : Na kwa taarifa yako ukitoka huko na cheti chako toka UDOM kujiunga na Masters UDSM hata ukiwa na GPA YA 4.5 hawakuchukui maana wanaona ni bora wamchukue mtu aliyepata GPA YA 3.0 hapo UDSM kuliko wewe uliyetoka chuo cha kata! POLE SANA KIONGOZI WA .........! malizia hapo mwenyewe!
 
Back
Top Bottom