UDOM vs UDSM

UDOM is a political university/ Ukitaka kujua nenda UDOM chunguza WALIMU WAO wanalevel ipi ya ELIMU. Pale Idara ya Computer kumejaa Undergraduate ndio walimu. Mhhhhhhhhh mtafika lweli
 
napata mashaka sana kama thread hii imeandikwa na msomi wa chuo kikuu kwa kiswahili kibovu hivi,wewe ndo unasababisha chuo chenu kionekane hewa tu!
hahahahahhaaaa......tatizo la net ya ubwete,yaan amekosa cha kusema......kaaaz kweli kwel,kwani nani asiejua kua udom wanafundishwa na undergraduate wenzao,dogo hana sababu ya kuanzisha ubish usio na tija,kwan hizi si wiki za kujiandaa na ue?
 
Kweli ustaarabu na nidhamu kazi kwelikweli, ehee! Karibia thread nzima mmekoment matusi. Dah! Hii inatisha.
hvi m2 ka wewe una mpango wa kumaliza chuo,uingie kwenye job market,ukacompete na m2 frm havard or oxford?pole yako mkuu
 
Huyu Ilonza ni mwanafunzi wa darasa la PILI au?
ndo anaingia darasa la kwanza mwakani.yan wa2 ka hawa ndo wanaifanya udom ionekane co ki2,kumbe ni chuo kizur 2 kama vingne..
 
Hata Udom kikidahiri wanachuo 40elfu bado kitakuwa nyuma hata ya OUT,Chuo sio majengo na UDSM haikwenda kujitangaza ili kijulikane,no,ni kupitia kazi na nafasi yake kiliyoifanya duniani kuanzia harakati za ukombozi hadi sasa

mambo yaliyofanywa na UDSM wala hayatakuja yafanywe na Udom,kama mnabisha watafute wakubwa wawasaidie kujua historia ya UDSM

hivi UDSM si ndo inaiweka Udom mjini?make mpaka course outlines mnategemea mdownload kutoka UDSM,dogo heshima ni kitu cha bure,mheshimu mkubwa wako hata kama ni kilema
 
sio kosa lake jamaa anajifunza kutuma thread,manake hata form one hawezi kuandika hivi,nina mashaka hata JF kafunguliwa na babake leteni issue za maana tujadili sio maigizo


Nyie ndio mnaofanya UDOM idharauliwe kutokana na thread za kitoto kama hizi...kuandika kwenye kunakusumbua hadi inatia shaka umefikaje fikaje hapo.
hebu nenda kwenye mgomo wenu na utuondolee ujinga wako hapa.
 
Udsm enzi zenu ziliisha isha Hacheni UDOM,iitwe Udom,kadri siku zinavyo pita hadi mtasahaurika,ila msijari.

ndugu yangu acha ujinga, hayo majengo hapo udom na uwingi wa wanafunzi usikupe kichwa ukishatoka hapo utahukukiwa wewe peke yako kweye soko la ajira, pili usitufanye kuwa sisi wajinga walimu karibu wote wa udom ni wale waliokuwa wanafunzi wa UDSM na hata walimu waliokuwa udsm naweza nikasema hata 80% yao ni kutoka udsm sidhani kma utakuwa na haki ya kuidharau UDSM........
MIGOMO yote yenye manufaa na hiyo sh 5000 unayopata leo ilipatikana pale, nadhani we ulikuwa bado mdogo kipindi hicho

ushauri wangu usifananishe chuo cha miaka mingi na hicho chuo cha miaka hata isiyofika 7

ukitaka maelezo zaidi niambie ............

siamini kama yai la kuku ni tamu kuliko kuku mwenyewe......
 
Da huyu ilonza vp?atakuwa ni mwanafunz wa udom lakini mwana ccm,coz anaiangalia udom phsically nakweli chuo bado kichanga na bado kinaendeshwa kwa sifa na propaganda za kijani,dom ndo home lakin ukweli jk na njemba zao wamekiua kikiwa bado kinatambaa,siku moja ntatupia hapa mjue ukweli a-z.csomi udsm bt sitaki kukidharau coz jungu kuu halikosi ukoko na kiukwel kimesimama ingawa pia kimemtoa rais mmoja kilaza na mafisadi papa kibao.udom wanaopiga msuli wa uhakika ni education,wengne masharobaro tu.naomba mmsamehe tu huyo kijana.ok
 
Naona mmeifagilia sana udsm ila inawezekana nyote mnasomea Udsm. Poa tu hamna aja ya kuendelea kubishana wakati ukweli unajulikana.
 
Naona mmeifagilia sana udsm ila inawezekana nyote mnasomea Udsm. Poa tu hamna aja ya kuendelea kubishana wakati ukweli unajulikana.
kwa kweli,udom ina kazi kubwa sana,tena kama ina admitt wa2 wa dizain yako,cjui ka 2tafka!mr ilonza,me nadhan we co mwanafunz wa chuo kikuu ila unaish 2 kwenye compound surrounding udom.
 
kamavipi mkaekimya 2megoma cc mbwembwe z nn kitaan; its me udom maana wengine hamjui hata maana ya mgomo kulen samak 2
 
Udsm enzi zenu ziliisha isha Hacheni UDOM,iitwe Udom,kadri siku zinavyo pita hadi mtasahaurika,ila msijari.

hahah haah!
only fools can enntetn such debate...I DO NOT SO M NOT....

yaan haina tofaut na baba yangu ana ndevu we baba yako hanaa...mama yangu ana mwiko we mama yako hana...
 
Back
Top Bottom