Udom sasa udini waziwazi

chuo umeenda kukua wewe
upo
college ya education ndio
maana mawazo yako yamekaa
ki ualim ualimu 2 Na kama
ungekua social science na juzi
kama
ungehudhuria public lecture ya
prof issa shivji chimwaga hall
usingepost hii status
kabisaa
na mambo kama haya
kuyapost humu ni kukishushia
hadhi chuo watu wanatuchora
wanatuona wajinga kumbe
wajinga mpo wachache
mnaotafuta sifa za
kizamani.ushaona vyuo vingine
wana viherehere vya kupost
humu kwani wenyewe hawana
matukio? Mambo kama haya
yaleteni udom chamber
tuyajadili wanafunzi 2

nimesoma post za wadau wote nikagundua wewe ni boya,zuzu na kilaza namba one hapo UDOM,unaficha maladhi kilio kitakuumbua chizi wewe.
 
kesho mpeleke kiongozi wako wa kanisa awe rais, si mshazoea kila kitu nyinyi tu. hamtaki waislam wawe juu. acha udiniwako hapo

Kama mnaweza ya nini muimizane kwa nyaraka, misikitini, hii yote si kiashiria cha kuwa uwezo either hamna au hamjiamini kutokana na hoja mbovu. Udini ni mwiko, lakini wale ndugu zetu wale yaani kuhubiri udini kwao na kukandamiza dini nyingine hata kwa kujitoa muuanga kwao sio ajabu. Lakini si shangai kwani kwenye kitabu chenu hakuna tumaini lolote la maisha baada ya kufa. Pole sana malaria sugu, sitaki kuwa mdini lakini ikibidi tupeane hoja kwa facts za vitabu vya dini. Kueni wajasiri kwa hoja na kujiamini, na siyo kujitolea kufa, Mungu gani huyo anaye agiza watu kufa ili wamwone yeye pasipo kutimiza wajibu wa kuisambaza imani, hebu na wewe jiulize kwa maana umeshafikia umri wa kuweza kupambanua mambo na hoja.
 
chuo umeenda kukua wewe
upo
college ya education ndio
maana mawazo yako yamekaa
ki ualim ualimu 2 Na kama
ungekua social science na juzi
kama
ungehudhuria public lecture ya
prof issa shivji chimwaga hall
usingepost hii status
kabisaa
na mambo kama haya
kuyapost humu ni kukishushia
hadhi chuo watu wanatuchora
wanatuona wajinga kumbe
wajinga mpo wachache
mnaotafuta sifa za
kizamani.ushaona vyuo vingine
wana viherehere vya kupost
humu kwani wenyewe hawana
matukio? Mambo kama haya
yaleteni udom chamber
tuyajadili wanafunzi 2

kijana huna adabu na unamtazamo wa kipumbavu kabisaa(japo ume malizia thread yako kwa ushauri mzuri) ila inaonyesha elimu yako haiko kichwani!! Kwako wewe wote wenye mtazamo sahihi wako social science!! Inakufaa uwaombe msamaha walimu wako kwani huo ni utovu wa nidham!
 
mjadala mzima ni pumba tupu....

nafasi akipata muislamu ni udini...akipata mkristo ni udini..akiwa muhindi ni ubaguzi wa rangi..akiwa mhaya, mchaga ni ukabila and the list goes on and on..

shame on us na upambavu wetu...:A S cry:

big up to mafisadi maana kinachowaweka pamoja ni common interest(money making) wako from dini tofauti, kabila tofauti na rangi tofauti na ni kwa sababu hiyo wataendelea kututawala kwa vile tumekhiyari ujinga badili ya werevu.

Lite, right, light.... Nimekusoma na una macho maangavu na akili ya kishupavu...
Umeamka na vivyo hivyo waamke wengine tuondokee...
No taam for the Bullsh***..
 
nilivyokuelewa ccm hawatakiwi pale,lakini ccm ndo wanaleta mambo ya udini,labda sijakupata
 
chuo umeenda kukua wewe
upo
college ya education ndio
maana mawazo yako yamekaa
ki ualim ualimu 2 Na kama
ungekua social science na juzi
kama
ungehudhuria public lecture ya
prof issa shivji chimwaga hall
usingepost hii status
kabisaa
na mambo kama haya
kuyapost humu ni kukishushia
hadhi chuo watu wanatuchora
wanatuona wajinga kumbe
wajinga mpo wachache
mnaotafuta sifa za
kizamani.ushaona vyuo vingine
wana viherehere vya kupost
humu kwani wenyewe hawana
matukio? Mambo kama haya
yaleteni udom chamber
tuyajadili wanafunzi 2

UMETUTUSI SISI WALIMU......usitutake radhi ila si vizuri....!
 
kijana huna adabu na unamtazamo wa kipumbavu kabisaa(japo ume malizia thread yako kwa ushauri mzuri) ila inaonyesha elimu yako haiko kichwani!! Kwako wewe wote wenye mtazamo sahihi wako social science!! Inakufaa uwaombe msamaha walimu wako kwani huo ni utovu wa nidham!

wewe unayo? Heshima ya kizamani huwa sina kama wanaleta image mbaya ya chuo kwenye mitanado kwa kukuza mambo ma mengine kuzusha wasiambiwe wanazan wanadanganya watoto wa form 1?
 
unajua nimefuatilia kwa kina hapo udom udini kweli upo sana na waislamu wanadai hicho chuo ni chao,pia hata hapo college of informatics kunahudini sana kwani ukiangalia wakufunzi na watendaji wa idara ya elimu ni waislamu yaani ukienda kuomba kazi mkristo aupati na ndio maana hapo wamejaa waislamu
 
Udini hapo ulianzishwa na Dr Bilal, sasa yanawatokea puani waislamu, kwani wao ni wachache Tanzania.
Yesu alikuwa mtu wa Kawaida, isipokuwa ni Mzungu mwenye asili kidogo ya Ethiopia ila kuna uongo umetumika, Yesu alikuwa na Demu wake anaitwa Magdalena, huyo demu mwanzo alikuwa malaya, hapa kuna usanii..
Mohamed Allah, ni mtoto masikini wa mzee Allah, baadae jina la baba yake eti likawa jina la Mungu mpaka leo, huyu alikuwa mwingiliaji mkubwa wa kinyume cha maumbile wa watu wa jinsia zote, pia alimwoa mtoto wa miaka 9, sio haki, hapa pia kuna usanii.
WAAFRIKA WENZANGU WAPENDWA, TUACHANE NA HIZI DINI IMPORTED, BORA TUBAKI MAPAGANI ILI TUWE WAMOJA, MUNGU YUPO TU.
 
...Masomo siku hizi mepesi mnooo...ndo maana wanafunzi wanakua na mda mchafu wa kushiriki mambo yasiyo na maana..i.e.. siasa,udini,migomo.. Wanachuo wa Kichina.. FAKE..........!!!!!!!!!
 
mambo haya sio siri yapo mpaka administration; watu 1,2,3.. wanafanyiwa intavyuu lakin wanaoitwa kazini ni 7,8,9 kwa misingi ya dini kuna tatizo hapo kwenye chuo kikuu chetu cha kata!
 
Udini hapo ulianzishwa na Dr Bilal, sasa yanawatokea puani waislamu, kwani wao ni wachache Tanzania.
Yesu alikuwa mtu wa Kawaida, isipokuwa ni Mzungu mwenye asili kidogo ya Ethiopia ila kuna uongo umetumika, Yesu alikuwa na Demu wake anaitwa Magdalena, huyo demu mwanzo alikuwa malaya, hapa kuna usanii..
Mohamed Allah, ni mtoto masikini wa mzee Allah, baadae jina la baba yake eti likawa jina la Mungu mpaka leo, huyu alikuwa mwingiliaji mkubwa wa kinyume cha maumbile wa watu wa jinsia zote, pia alimwoa mtoto wa miaka 9, sio haki, hapa pia kuna usanii.
WAAFRIKA WENZANGU WAPENDWA, TUACHANE NA HIZI DINI IMPORTED, BORA TUBAKI MAPAGANI ILI TUWE WAMOJA, MUNGU YUPO TU.

tehe tehe tehe ,Yesu anakupenda sana mkimbilie atakuponya
 
Kuna tatizo jf, kuna watoto wa vyuo wameingia jf between jan 2011-mar 2011, yaani hoja zao peke yake unapata wasiwasi na uwezo wao wa kufikri
 
We acha kutukana dini za watu na kudhalilisha wajumbe wa Mwenyeezi Mungu. Laatullah anka
Udini hapo ulianzishwa na Dr Bilal, sasa yanawatokea puani waislamu, kwani wao ni wachache Tanzania.
Yesu alikuwa mtu wa Kawaida, isipokuwa ni Mzungu mwenye asili kidogo ya Ethiopia ila kuna uongo umetumika, Yesu alikuwa na Demu wake anaitwa Magdalena, huyo demu mwanzo alikuwa malaya, hapa kuna usanii..
Mohamed Allah, ni mtoto masikini wa mzee Allah, baadae jina la baba yake eti likawa jina la Mungu mpaka leo, huyu alikuwa mwingiliaji mkubwa wa kinyume cha maumbile wa watu wa jinsia zote, pia alimwoa mtoto wa miaka 9, sio haki, hapa pia kuna usanii.
WAAFRIKA WENZANGU WAPENDWA, TUACHANE NA HIZI DINI IMPORTED, BORA TUBAKI MAPAGANI ILI TUWE WAMOJA, MUNGU YUPO TU.
 
kesho mpeleke kiongozi wako wa kanisa awe rais, si mshazoea kila kitu nyinyi tu. hamtaki waislam wawe juu. acha udiniwako hapo

Udini kauanzisha JK, kwa hiyo ale matapishi yake mwenyewe! Amewaamsha waliokuwa usingizini akifikiri kwamba kura za misikitini zingetosha, kumbe maskini kaishia kudunduliza kwa kuchakachua!
 
teh what is udini by the way ?

Maana ya udini ni hii hapa: Mtu anaweza kuwa na sifa ya uongozi lakini hachaguliwi kwa sababu yeye ni wa dini fulani au anaweza akawa hana sifa lakini akachaguliwa kwa sababu yeye ni wa dini fulani! Kwa kifupi dini inakuwa ndio sifa mama na sifa nyingine hazizingatiwi kabisa!
 
Back
Top Bottom