Udom na WANASIASA AU UBOVU WA UTAWALA?

RubenM

Senior Member
Apr 15, 2009
131
10
Malalamiko na Wasiwasi sasa vimepungua baada ya ukimya wa kufunga chuo TUMEAAHAU... Tumepata utatuzi wa Kweli kwa matatizo ya UDOM, kuna umuhimu ingawa inaonekana KISIASA Ila linaigusa jamii na jamii inapaswa kujua na wabunge ni jamii....KUNA AJUAYE KIINI CHA MIGOMO UDOM & KWINGINEKO ?
 
Kwa kuwa wewe ni mmojawapo wa wanajamii wa UDOM unapaswa kufanya japo utafiti mdogo kuhusu matatizo ya UDOM ili uifahamishe jamii. Usisubiri kufanyiwa kila kitu.Again be part of the solution to the problems facing UDOM!
 
Mi ni mwana UDOM na nimekuwa mmoja ya wajumbe wa councel ya chuo, naweza kusema kuwa tatizo kuu la UDOM ni management ya chuo hasa zaidi kitengo alicho prof. Mlacha na tumewah kuandamana sana tukidai kuondolewa prof. Mlacha hata walim wetu waliwah kugoma siku7 wakihitaj kuondolewa kwa huyu jamaa kutokana kuzidisha dharau na kiburi hata ktk madai yao ya msingi. Mf. Aliwahi kusema walio ajiriwa UDOM ni watu 2 na wengine wameletwa na dhiki zao. Mambo yote tumewah kumweleza Pinda ila akatueleza kuwa yeye hana uwezo wa kumwondoa zaid ya rais aliyemweka! Niseme waz kuwa UDOM migomo haitoisha kama huyu jamaa hatoondolewa
 
basi kama aliemueka anashindwa kumtoa,yeye ndo mwenyematatizo
 
Back
Top Bottom