UDOM: MGOMO wa wanafunzi warindima

Kama ffu wamediriki na wameweza kumpiga Mh Lema ambaye kwa asilimia kubwa ana kinga kisheria watashindwa kuwatia adabu hao watoto
 
Hao udom acha wakome,na wale walimu wa ng"ong"ona wenye matatizo lukuki vp?naskia rais wao RUTA a.k.a nshomile alikataa wao kuwaunga mkono wenzao.nyie walimu gomeni ili maji yaje,miundo mbinu,nk,tatizo la pale Uongozi wa Ruta wote vibaraka wa CCM ndo maana baada ya kuzindua chuo aliwaita akina RUTA ikulu ili kuimarisha chama maana UDOM ya leo ni chadema kwa 98% . Ila asubuhi kule education yalibandikwa mabango yasiyo rasmi ya mgomo sjui itakuwaje.POOA UDOM EDUCATION KESHO ANZA
 
Hawana lolote wazembe wa kufikiri hawa,walitoa wapi fedha za kumchangia kikwete?si wangechaka kuboresha miundo mbinu?
Naomba FFU wawape kichapo cha mbwa mwizi ili akili zikae sawa.

"Udom chuo cha kata
wanafunzi kutoka shule za kata
wanalia ukata
huku ccm waitaka
Nakata katakata wazalendo kuwapata toka hiki chuo tata"

Hii ni Mistari ya uhakika.
 
Hivi chuo cha kata ni cha ngapi Africa? Acha washikishwe adabu ,tena FFU Watumie mabomu mengi yakutosha na maji ya pilipili.,kama yale ya Nyamagana,Mwanza,:angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::yuck:
 
Yule Thobias Mwesiga aliyetoa tamko la kuwapinga Chadema kwenye walk out mbona sasa hajaita vyombo vya habari? Ivi UDOM cha kata ehe?kuna mkuu mmoja alikiita VODA FASTA! Mi nilikubaliana nae maana walimu wa sekondari ndo walipata ajira ya U Lecturer pale mfano mwl.wa Loyola sec. kama mwl.KAPINGA,walimu wa BreakThrough sec.pale Bagamoyo yan aibu tupu!
 
So iki chuo ni kama RTC enzi za Nyerere au??

Duuh!!! Umenikumbusha mbali sana. Anyway, kama A ni sawa na B na B ni sawa na C sisi wanazuoni tunasema "A" ni sawa na "C". Just a very simple and clear deduction, tofauti ni zama tu
 
Mkuu chuo kimejengwa na Mchina,unategemea nini sasa! Majengo ya ofisi za wakufunzi hayana maji kule vyooni. Mabwenini maji ya shida vyooni! Kiujumla mkwere aliingizwa choo cha kike kwa kuzindua jengo la utawala tu ambalo lina ofisi executive za wakulu utafikiri ofisi za mabilionea!

Sichangii kitu hapa, Bongo tambalale.
 
Philosofia ya CCM inasema, "ukitaka kumtawala mtanzania, mnyime elimu". Wanaambiwa kwamba kila kitu kitaenda vizuri, yaani mtafaulu vizuri pasipokuwa na test wala BTP assesment na hata elimu kwa vitendo. Wasiwasi wao ni nini.? Tulieni tu mtafaulu tena kwa GPA za juu kuliko chuo chochote na ajira serikali ya CCM itawapa. Utalalamikaje uko mwaka wa tatu, huu si utani jamani. CCM itawadidimiza ili msiwe na jeuri kwa yale wayatakayo kwani mapungufu yenu ndio mtaji wao. Msikumbuke shuka wakati kumeshakucha.
 
Post nyingi za hii thread zimeshikamana na propaganda za ccm za kutaka udom ionekane ni chuo cha ccm.Nilishawahi kusema humu kuwa image ya udom inavyoonwa na wengi walio nje yake.Wengi wa watu hawa wanaamini wanachokisikia na kusoma kwenye vyombo vya habari.Sio kweli kwamba wanafunzi wa udom walimchangia kikwete hela ya fomu ya uraisi.Sio kweli wanafunzi wa udom wamempa shahada JK.Sio kweli kwamba wanafunzi wa udom walilaani kitendo cha wabunge wa chadema kususia hotuba ya kikwete.Sio kweli kuwa wanafunzi wa udom wamewahi kuandamana kumuunga mkono Pinda kuhusu mapambano ya mauaji ya albino.Sio kweli kuwa wanafunzi wa udom walikabidhiwa kazi ya kumtafutia wadhamini mgombea uraisi wa ccm kabla ya kampeni za uchaguzi mwaka huu.Sio kweli kwamba wanachuo wengi wa udom ni wanaccm.Wanayoyafanya yote hayo isipokuwa hilo la shahada ya kikwete ambalo wanafunzi hawahusiki,ni wanafunzi wanachama wa ccm wa udom ambao kwa namna ya ajabu wameendelea kugeneralize ishu zao za kichama huku utawala wa chuo ukifumbia macho.Kuna mtu alishaandika thread humu akielezea hali halisi ya kisiasa udom.Alieleza ukweli mtupu na watu humu waliunga mkono sana tu.Inashangaza leo kutokea hili badala ya watu kuendelea kuamini kuwa udom sio CCMlized kama mnavyojua,mnazidi kukatisha tamaa harakati za vijana wanazozifanya kudhihirisha kwenu kuwa sio kweli mnayo/mliyoamini.Tupo pamoja na nyinyi wana Udom endeleeni kupigania stahili zenu.
 
The allegory of the cave and prisoners! (And let the light shine upon them so that they may know the truth)
 
Sasa kama si kweli mbona huwa hawakanushi, kwanza hayo yote ni maselule hayakupita JKT yakikong'otwa virungu vya kichwa labda yatashika adabu.
 
hapo chadema ameinvest kwa baadhi ya wanafunzi kutumia hio migogoro kujijenga kisiasa

ila naona itakula kwao
 
Back
Top Bottom