UDOM: MGOMO wa wanafunzi warindima

Chuo cha kata hoyeeeeeeeeeee, CCM hoyeeeeeeeeeeeeeee,kidumu chama cha mapinduzi, kidumuuuuuuuuuuuuuuu, kidumu chuo cha kata, kidumuuuuuuuuuuuuu.

Urafiki na CCM mara zote ni urafiki wa mashaka. CCM hii hii tunayoijua? Mbona mlichanga pesa ya form, mnashindwa pesa ya kwenda PT?
 
Hizi habari mbona zinachanganya? nasikiliza TBC taifa sasa wanasema wanafunzi wanagomea hela ya mkopo kutoka bodi kuwa imechelewa hili lina ukweli kweli? Na polisi wamewatawanya kwa kutumia risasi za mpira, kweli bongo noma, hakuna mtu anayeruhusiwa kupaza sauti yake ili kilio chake kisikike! Najua sheria za kumfukuza mwanafunzi chuo ni mpaka agome kuingia darasani masaa 72 sasa hao ndugu zangu hayo masaa yamefika? mbona polisi wanatumia nguvu kupita kiasi? Au wanawaonyesha kilichotokea Arusha (kwa Mh Lema) hata Dodoma pia wanakiweza?
 
Baadhi ya Viongozi wa Mgomo wamekamatwa including Rais wa Wanafunzi

Walikuwa wanaandama kuelekea Ofisi ya Waziri Mkuu - Baada ya Mkuu wa Mkoa kuwasiliana na Waziri Mkuu ambaye hayupo Dodoma - iliamriwa Polisi kuingilia kati kwa kuwapiga MABOMU ya MACHOZI!
 
Hata na UDOM kumbe huwa wanagoma, he!! hata na FFU wanaweza kuwapiga makada wa CCM hapo tumefika pabaya.

Hawa ni danganya toto wanamgomea nani!!! ili hali wao ndio waliochangia hadi form ya millioni moja haya mengine yanawashindaje

UDOM WANAFIKI WA KUTUPWA, TUNAWAJUA FIKA KUWA SI WENZAO NA UDSM, WALA SUA NA TU

WAKILIKOROGA WANYWE KWA RAHA ZAO

ASKARI BONDA ZAIDI HAO, MAITI TUTAFUNIKA NA BENDERA KWA HESHIMA

NAKABIDHI!!!!
 
Hahahahaha natamani kua Polisi wa FFU then nipangiwe Dodoma ningeyakong'ota hayo manunda hadi yafe kabisa
 
uwezo wa hawa watoto wa kufikiri ni mdogo sana .walidanganywa na ridhiwani wakaichangia ccm sasa wacha waonje joto ya jiwe ili tukiwaambia ccm ni zimwi lisilokujua watambue.mdogo wangu yupo hapo lakini nawaambia hao ffu watembeze kichapo akiumia atanipigia cm nitakuja kumtibia.ili siku nyingine apate akili.

Mkuu,
hapo palipokolezwa umenifanya nicheke tena..
Lakini hiki ni kipindi muhimu wanachopitia kuelekea kukomaa, sasa hivi watagundua upuuzi mwingi waliofanya (kumchunga milioni kwa ajili ya fomu ya mkwere, kupinga na kulaani muvu ya CDM kukacha hotuba n.k.).
Kuanzia sasa nadhani watapata funzo na wataingia level nyingine ya uelewa.
 
Hivi si ndiyo hawa walimfagilia jk na ccm yake?? Mbona leo wanagoma tena!!

Kweli wajinga ndiyo walio wao... Walidanganywa kuwa watapewa mikopo full nini?? Sasa ahadi imekwisha??? Lol

gomeni hakuna wa kuwasikiliza tena saa hizi....
 
Tunashukuru sana kwa kuwa wamerejea kuwa wanafunzi wazuri. Natumai dhana ya chuo kikuu cha kata itaisha
 
Hizi habari mbona zinachanganya? nasikiliza TBC taifa sasa wanasema wanafunzi wanagomea hela ya mkopo kutoka bodi kuwa imechelewa hili lina ukweli kweli? Na polisi wamewatawanya kwa kutumia risasi za mpira, kweli bongo noma, hakuna mtu anayeruhusiwa kupaza sauti yake ili kilio chake kisikike! Najua sheria za kumfukuza mwanafunzi chuo ni mpaka agome kuingia darasani masaa 72 sasa hao ndugu zangu hayo masaa yamefika? mbona polisi wanatumia nguvu kupita kiasi? Au wanawaonyesha kilichotokea Arusha (kwa Mh Lema) hata Dodoma pia wanakiweza?


Kama kawaida yao wanaropoka bila kufanya research, kulikuwa na tatizo gani kumtuma mwandishi wao kwenda pale UDOM na kuwahoji wanafunzi kabla ya kutoa taarifa yao isikuwa na kichwa wala miguu, Kulingana taarifa za wanafunzi wa UDOM boom lao walipewa mwezi mmoja kabla ya kufungua chuo.
 
Wakome walidhani CCM ina maana inakutumia kama kondom na kukutupa, CCM leo haina haja nao wasubiri hizo hela watapewa mwaka 2014. Si wachangishane kama walivyomchangia kipenzi chao Kikwete kwani yale mamilioni walitoa wapi, nyambafu zao.
 
nimeongea na mrembo mmoja pale udom anadai kuwa wanafunzi wanadaiwa field report wakati chuo hakikupeleka majina yao board ili wapewe pesa ya field kwa hiyo wanafunzi wengi mwaka wa 3 hawakufanya field.
Si wapeane tu hizo dgree,mbona kuna wengine ni mawaziri wamekaa maofisini wanaletewa dgree zao mlangoni,na bado wanaendelea kuwa mawaziri wakuu wa mikoa wakuu wa wilaya na wanaitwa Ma DR bila hizo field!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Bongo kila kitu kinawezekana
 
Hatari sana. Kama chuo cha kata kitaanza migomo ni ishara ya kutisha maana uwezo wao wakuchambua mambo ni mdogo na wengi ni wahuni walioshindwa au waliokataa kusoma vyuo serious kama UDSM na SUA
Leo mnawaita wahuni wakati wanamchangia Kikwete hamkuziita fedha za wahuni.
 
Mmhh sorry ffu kupiga watu ni tabia chafu walioanzisha jeshi la polisi. Sikubaliani na hili hata kwa adui zangu kupigwa kwa kuwa wanadai haki zao kwa amani. Kwa hili wanaharakati twatakiwa kuanza kulifanyia kazi. Nina hasira sana na polisi wanaotumiwa kutenda maovu dhidi ya ndugu zao wasio na hatia na wakakubali. Napata shida sana na hili jeshi la polisi tulilo nalo sasa. Ni zaidi ya jeshi la kikoloni sasa.
Lakini pia kwa yale wanayoyapata watoto wetu huko chuoni ni matunda ya ujinga wao na ushabiki wao dhidi ya chama ovyoooooooooo. Bila shaka watagundua na kuwachukulia hatua viongozi wao wa ccm chuoni kwa kosa la kuwaingiza mjini, kutumia pesa ya wanachuo kwa njia za kilaghai kununua urais wa Kikwete.
 
Back
Top Bottom