Wameita lini tena kijana?walishaita mbona kaka
Huyo mdogo wako ni dini gani, maana kama sio ile dini hataajiliwa kamwe.
sasa udom aje kufanya nn? kama unaweza kujibu hoja aliyoitoa fanya hivyo, chuo chenu kimefanywa kama shule za kiislamu bwana!Ndg. ukimya upi unao usema!? masoma na tafiti haziendelei au? Mbona mambo yanasonga au upo nje ya nchi wataka tukufahamishe nini kinachoendelea? Njoo kesho (28.01.2012) pale CHIMWAGA kuna kikao cha UDOMASA; utajua UDOM ipo kimyaaau mambo yanaendelea. Lakini kama ulipita kipindi hiki jua kwamba wanafunzi wanajiandaa na UE itakayoanza tarehe 06.02.2012.
sasa udom aje kufanya nn? kama unaweza kujibu hoja aliyoitoa fanya hivyo, chuo chenu kimefanywa kama shule za kiislamu bwana!
Unaota? Soma juu mtoa mada anaulizia nini?Ndg. ukimya upi unao usema!? masoma na tafiti haziendelei au? Mbona mambo yanasonga au upo nje ya nchi wataka tukufahamishe nini kinachoendelea? Njoo kesho (28.01.2012) pale CHIMWAGA kuna kikao cha UDOMASA; utajua UDOM ipo kimyaaau mambo yanaendelea. Lakini kama ulipita kipindi hiki jua. kwamba wanafunzi wanajiandaa na UE itakayoanza tarehe 06.02.2012.
Kaulizie habari hizi kwenye jukwaa la dini. Hapa tunazungumzia ishu za kazi tu.Ina maana kwani udom nako kuna udini!!!!!!!