UDOM: Mahakama yaweka pingamizi kufukuzwa wanafunzi waliodhaniwa ni wafuasi wa CHADEMA!

bushman

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,411
743
Mwishoni mwa wiki iliyopita Uongozi wa chuo iliwakamata wanafunzi wakiwa kwenye daladala ya ABIRIA pamoja na abiria wengine,wakaamulu gari liludi mpaka jengo kuu la utawala na kuanza kuwasachi wanafunzi hao wakakuta SKAFU za CHADEMA kwenye bahasha,wakanyang'anya vitambulisho vya chuo na kuwapiga picha kama MATEKA au WAHAINI na kuamuru wasimamishwe masomo kwa muda usiojulikana,Vijana wakapokea barua kwa masikitiko makubwa sana kwani walikuwa kwenye DALADALA kama abiria,hawakukodi basi kama wafuasi wa CHADEMA wengine walikuwa wanakwenda mjini kwenye mambo yao binafsi,wengine ni viongozi wa vikundi vya dini walikuwa wanakwenda kwenye mikutano yao,wengine hawajawahi kuwa wanachama hata wa CCM,WOTE WAKASIMAMISHWA.MY TAKE,HIVI MTU ALIYEPANDA DALADALA ANAKWENDA KUFANYA SIASA NJE YA CHUO ANAFANYA KOSA?2.KUWA MWANACHAMA WA CHADEMA UDOM NI UHAINI?3.KIGEZO GANI KILITUMIKA KUWAFUKUZA WANAFUNZI HAO WAKATI WAMEPANDA GARI YA ABIRIA?4.NAPE AMEKUJA MARA NGAPI KUFANYA SIASA UDOM? MWAKA 2010 MABASI YA CHUO YALITUMIWA NA CCM?
 
Kama kuna wanafunzi wa UDOM humu JF watufahamishe kinachoendelea, lakini hata ukiwalazimisha kuwa wanachama wa chama tawala kama hawakipendi hawatakichagua.
 
..inawezekana ni hoja ya msingi sana,lakini aliyeileta ana jazba...tulitaka kujua kilichoendelea pale mahakamani....
 
Poleni sana vijana wenzangu hapo Udom,nimemaliza hapo 2011 lakn nmesikitishwa sana na timua timua ya Uongozi wa CDM hapo UDOM na wanachama wengine mbalimbali na hili ni jambo la ajabu sana kwa kweli kwani mtu kufika Chuo kikuu anakua tayari na maamuzi mbalimbali ya kisiasa sasa inakuwaje uongozi wa Chuo UDOM uwakomalie hawa vijana wa CDM na sio hawa makada wa CcM? mkuu wa kituo kidogo cha Police UDOm Afande Malya anahusika kwa hili kwa kiasi kikubwa kutufukuzia vijana wetu nalifahamu hili kwa uzuri
 
Mahakama imehusikaje kwenye habari hii?? kama wote waliokamatwa walikurupuka kama wewe kujibu maswali.......sishangai kilichotokea!!
 
Udom wameyataka wnyw si ndio waliomchangia jk form za urais...hawana maana!!!
 
vijana wamekwenda mahakamani kuzuia utekelezaji wa kusimamishwa masomo,mahakama imekimuru chuo kuwarudisha wanafunzi hao chuoni na jana wameanza kurudi inasikitisha sana kwa kilichotokea kwani hakuna aliyekuwa na anayeza kueleza mpaka sasa hawa VIJANA WAMEFANYA KOSA GANI?Wakati walikuwa wanatoka nje ya chuo?
 
Mwishoni mwa wiki iliyopita Uongozi wa chuo iliwakamata wanafunzi wakiwa kwenye daladala ya ABIRIA pamoja na abiria wengine,wakaamulu gari liludi mpaka jengo kuu la utawala na kuanza kuwasachi wanafunzi hao wakakuta SKAFU za CHADEMA kwenye bahasha,wakanyang'anya vitambulisho vya chuo na kuwapiga picha kama MATEKA au WAHAINI na kuamuru wasimamishwe masomo kwa muda usiojulikana,Vijana wakapokea barua kwa masikitiko makubwa sana kwani walikuwa kwenye DALADALA kama abiria,hawakukodi basi kama wafuasi wa CHADEMA wengine walikuwa wanakwenda mjini kwenye mambo yao binafsi,wengine ni viongozi wa vikundi vya dini walikuwa wanakwenda kwenye mikutano yao,wengine hawajawahi kuwa wanachama hata wa CCM,WOTE WAKASIMAMISHWA.MY TAKE,HIVI MTU ALIYEPANDA DALADALA ANAKWENDA KUFANYA SIASA NJE YA CHUO ANAFANYA KOSA?2.KUWA MWANACHAMA WA CHADEMA UDOM NI UHAINI?3.KIGEZO GANI KILITUMIKA KUWAFUKUZA WANAFUNZI HAO WAKATI WAMEPANDA GARI YA ABIRIA?4.NAPE AMEKUJA MARA NGAPI KUFANYA SIASA UDOM? MWAKA 2010 MABASI YA CHUO YALITUMIWA NA CCM?

Kwa maoni yangu mwanafunzi kuwa mwanachama wa chama si kosa ila naona kama ni kosa kwa mwanafunzi huyo kujihusisha moja kwa moja na siasa kwani lengo lake la kuwa mwanafunzi linakuwa linapotea kabisa.
 
Amri ya kuwakama vijana hao aliitoa nani?kwa nini waumize vijana bila sababu?mbona lile sanamu la ccm halivunjwi pale chimwaga?hakika ni dhambi kubwa uongozi wa udom unafanya mwaka 2010 mlitoa magari ya chuo wafanyakazi wahudhurie kampeni za jakaya m.kikwete,je inaruhusiwa kisheria,?nani alifukuzwa kazi kwa hili?mbona mnawapa chadema umaarufu kwa njia nyepesi?hakika mnaharibu chuo kwa kufanya maamuzi yanayoleta kinyaa mbele ya uma na kuanza kuzua maswali mengi kama udom ni tasisi ya elimu ya juu,mwaka jana nape amekuja kukagua sewage system udom akiwa na viongozi wa ccm udom,je huyu ni nani?alipogawa vyeti pale kilimani mbona hamkuwafuza wale wanafunzi wa ccm?wanakosa gani vijana kupanda daladala?walikuwa hawaimbi wala hawajakodi gari kosa liko wapi?mnachochea vurugu bila sababu ya msingi,uongozi udom mnauhakika gani kama staff wenu wote ni ccm hapo?mkumbuke pia ninyi ni wazazi msiwaumize vijana kulinda vyeo vyenu,damu ya watu wasio na hatia haiendi bure,imeshangaza sana kuwa na skafu ya chadema ni kosa?
 
vijana wamekwenda mahakamani kuzuia utekelezaji wa kusimamishwa masomo,mahakama imekimuru chuo kuwarudisha wanafunzi hao chuoni na jana wameanza kurudi inasikitisha sana kwa kilichotokea kwani hakuna aliyekuwa na anayeza kueleza mpaka sasa hawa VIJANA WAMEFANYA KOSA GANI?Wakati walikuwa wanatoka nje ya chuo?

Huo uongozi chuo ni wap***i tupu,hivi kuna sheria inayomzuia mwanafunzi kua mwanachama wa chama chochote cha siasa?labda me sijui!yaani hao viongozi wa UDOM hawako vizuri vichwani mwao na hata hao wanaowapa maagizo wafanye hivyo (natumahi ni viongozi wa magamba/serikali) nao must be something wrong in their heads!vijana wa leo hauwez kuwaburuza tena,wanaelewa haki zao!!sana sana hao wanaotaka kuwaharibia masomo/maisha yao hao vijana wao ndio watakaokuja kuregret pale muda utakapofika na umma utapowageukia wao!mahaka nayo sasa itachoka kupewa maelekezo tena kwa vitu vilivyo vya kitoto na vya kijinga kabisa!itaamua kupuuzia na kuachana na maelekezo toka kwa magamba!
 
Amri ya kuwakamata aliitoa nani?kwa nini waumize vijana bila sababu?mbona lile sanamu la ccm halivunjwi pale chimwaga?hakika ni dhambi kubwa uongozi wa udom unafanya mwaka 2010 mlitoa magari ya chuo wafanyakazi wahudhurie kampeni za jakaya m.kikwete,je inaruhusiwa kisheria,?nani alifukuzwa kazi kwa hili?mbona mnawapa chadema umaarufu kwa njia nyepesi?hakika mnaharibu chuo kwa kufanya maamuzi yanayoleta kinyaa mbele ya umma na kuanza kuzua maswali mengi kama udom ni tasisi ya elimu ya juu,mwaka jana nape amekuja kukagua sewage system udom akiwa na viongozi wa ccm udom,je huyu ni nani?alipogawa vyeti pale kilimani mbona hamkuwafuza wale wanafunzi wa ccm?wanakosa gani vijana kupanda daladala?walikuwa hawaimbi wala hawajakodi gari kama cdmkosa liko wapi?mnachochea vurugu bila sababu ya msingi,uongozi udom mnauhakika gani kama staff wenu wote ni ccm hapo?mkumbuke pia ninyi ni wazazi msiwaumize vijana kulinda vyeo vyenu,damu ya watu wasio na hatia haiendi bure,imeshangaza sana kuwa na skafu ya chadema ni kosa?
 
Kwa maoni yangu mwanafunzi kuwa mwanachama wa chama si kosa ila naona kama ni kosa kwa mwanafunzi huyo kujihusisha moja kwa moja na siasa kwani lengo lake la kuwa mwanafunzi linakuwa linapotea kabisa.
Mkuu mbona Nape alikuwa mwanafunzu Mzumbe wakati huohuo ni katibu mwenezi ccccm? na ni vizuri umesemaunaona kwa hiyo huna uhakika. Usiseme kitu usichokifanyia research
 
Udom wameyataka wnyw si ndio waliomchangia jk form za urais...hawana maana!!!

Tatizo la Wanafunzi wa UDOM inaonekana ni kuona kama JK amewafanyia fadhira kusoma chuo Kikuu. The way the see it ni kwamba bila UDOM wangekuwa mtaani. Je, wanaosoma UDOM ni mabaki ya UDSM, SUA, Mzumbe, IFM......???
 
tatizo la wanafunzi wa udom inaonekana ni kuona kama jk amewafanyia fadhira kusoma chuo kikuu. The way the see it ni kwamba bila udom wangekuwa mtaani. Je, wanaosoma udom ni mabaki ya udsm, sua, mzumbe, ifm......???

tafadhali usi generalize bana.
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom