UDOM kwa hili mmetukosea watanzania

The Priest

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
1,029
256
Wakati usajili wa wanafunzi wa mwaka wa 3,college ya sayansi ya jamii,ukikamilika jana,kwa kupitia nyaraka zote za malipo ya ada,leo mitian ya final inaanza,lakini wanafunzi wote ambao wanadaiwa ada au pesa yeyote(direct and indirect costs) ambao ni zaidi ya 100 hawatafanya mitiani hiyo hadi pale watakapolipia gharama hizo ndipo watapewa mitihani maalum(special exams) mwezi september,nikiwa katika eneo hilo la usajili jana jioni,nimeshuhudia watoto wa maskini wakitokwa na machozi kufuatia uamuzi huo,na baadhi wakakumbuka hadi ahadi ya mhe.rais kuwa"hatafukuzwa mwanachuo yeyote kwa umaskini wa wazazi wake"sasa katika hili uongozi wa chuo umewabagua watoto wa maskini..nawasilisha
 
Wenyewe ndio walimchangia pesa ili achukue fomu ya urais tena kwa maandamano,jaman wanasiasa hawaaminiki...........somen muondoke,hebu ona usumbufu huuuuu
 
...and we expect what is so called 'competence' from this generation!
 
Na watajigamba majukwaani
TUMEANZISHA CHUOOOO,SASA KINA WANAFUNZI ELFU 40,MIAKA 50 YA UHURU
 
Vyuo vya Tanzania vingi ni kuongeza idadi ya vyuo na kuongeza idadi ya wanafunzi lkn nini mwanafunzi anastahili kupata interms of internship, field, facilities nothing. Vijana wapigane tu

Wakati usajili wa wanafunzi wa mwaka wa 3,college ya sayansi ya jamii,ukikamilika jana,kwa kupitia nyaraka zote za malipo ya ada,leo mitian ya final inaanza,lakini wanafunzi wote ambao wanadaiwa ada au pesa yeyote(direct and indirect costs) ambao ni zaidi ya 100 hawatafanya mitiani hiyo hadi pale watakapolipia gharama hizo ndipo watapewa mitihani maalum(special exams) mwezi september,nikiwa katika eneo hilo la usajili jana jioni,nimeshuhudia watoto wa maskini wakitokwa na machozi kufuatia uamuzi huo,na baadhi wakakumbuka hadi ahadi ya mhe.rais kuwa"hatafukuzwa mwanachuo yeyote kwa umaskini wa wazazi wake"sasa katika hili uongozi wa chuo umewabagua watoto wa maskini..nawasilisha
 
Wanawanyanyasa vijana kwa umaskini wa wazazi wao, yote haya ndio sera ya CCM. Wakunyime elimu ili uzidi kuwatumikia. Nawahurumia sana mabinti kwani wanaweza kushawishika kutumia njia za mkato ili wapate ada. Katika hizi zama za ukimwi na mafataki sijui kama watasalimika hawa mabinti. Wakipata mimba JK atasema ni kiherehere chao
 
we shoga mbona hili suala la kumchangia jk unaliimba sana?

Is better to respond to the comments instead of using abusing language...Normally,great thinker comments speaks more than matusi...
 
Asante sana mwambie huyo,ndio watoto wenyewe hawa,hajantukana mimi ila keybod yake
Is better to respond to the comments instead of using abusing language...Normally,great thinker comments speaks more than matusi...
 
Back
Top Bottom