UDOM kutovumilia ufuasi wa vyama vya siasa - Prof. Kikula

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) Prof Idrissa Kikula ameiambia Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii kuwa sasa hawatakuwa na Msamaha kwa wale wote wanaotumiwa na vyama vya siasa kusababisha migomo ndani ya UDOM,amesema kuna wanafunzi wengine wapo kwa maslahi ya vyama vya siasa hatawavumilia bila kuangalia wanatoka chama gani! Amewaomba Wabunge waelewe kuwa Udom ni sehemu ya elimu sio uwanja wa wanasiasa kuja kupotosha vijana na kusababisha migomo isiyokuwa ya lazima!<br />
My take: Naunga mkono wanafunzi wadai haki kwa mambo yanayowahusu na sio kupotoshwa na wanasiasa!
<br />
<br />
Nape alipokuja kukaguwa majengo ya chuo Udom je alikuja kufanya nini? Pia mabus ya chuo kutumika kubeba wanachama wa ccm je hao ndio wenye maalaka, wafuasi wa ccm kutumia madarasa ya vyuo kufanya mikutano yao na kugawa tshrt za ccm chuoni, Pro Kikula fungua macho acha kutuweka gizani natambua vyote unavifahamu ila kwa mapenzi yako umeamua kukaa kimya!
Ila tupo tunasubiria utekelezaji.
 
Halafu wabunge nao eti wanampigia makofi profesa badala ya kuhoji uhalali wa yeye kuvunja katiba.

Tuna wabunge kweli jamani?????/

a HIYO KAMATI YA BUNGE INAONGOZWA NA YULE MAGAMBA MHAGAMA MBUNGE WA PERAMIHO. WHAT DO YOU EXPECT?
 
Kelele zote hizi ni kuona vijana wameshtuka kufanywa tawi la magamba, wanadai haki zao sasa inaonekana tabu.. kipindi kile Kikula hakuliona hili wakati wanachangia mchango wa hela ya kampeni za uchaguzi wa Jakaya?
 
Hii kweli kali. Wadau mimi nimesoma udom 2008/11 kuna mambo mengi yanayotendeka pale.
Kuna tukio moja sitalisahau na mpaka leo najiuliza hivi serikali inayoongozwa na ccm inadirikije kuzuia siasa pale chuoni? Tukio lenyewe ni hili, yaliwekwa matangazo chuo kizima na chama cha mapinduzi yakiwataarifu wanachama wa ccm kujiandaa kumpokea rais kikwete dodoma mjini siku ya jumapili usafiri wa kwenda na kurudi bure/ siku ya juma2 yalikuja mabasii ya shabiby mawili yakiwa yamesheheni box zilizokuwa na tshrts zenye picha ya rais, zile box zikawa zinashushwa mbele ya hostel college ya education, kila mwanachuo anayetaka kwenda kwenye hilo tukio anachukua tshirt na kuingia kwenye basi.
Nilijiuliza maswali mengi sana,

tukio lingine ni kuwa makada wa ccm walikuwa wanapitisha karatasi kila chumba kwa mwaka wa tatu 2011 na kuwaambia kuwa kama ww ni mwanachama wa ccm andika jina lako, namba ya kadi na mkoa unaotaka upangiwe ajira mara umalizapo chuo.

Tukio jingine ni kuwa kulifanyika graduation ceremony katika ukumbi wa royal club mgeni rasmi alikuwa ni wilson mukama na wanachuo udom makada walipewa vyeti na chama ccm, usafiri uliwafuata chuoni ukiwa na bendera za ccm.

Tukio jingine ni kuwa ukifika maeneo ya chimwaga unakutana na bango la chama cha mapinduzi.
Tukio jingine ni pale ambapo mizozo ya kitaalamu na matatizo ya wanachuo kutatuliwa kisiasa.
Hayo ni machache tu wadau, kuna mengi pale ambayo ccm ndiyo waanzilishi but wakifanya wengine kisingizio ''chuoni si mahali pa siasa'' kwa hili kikula hawezi kwani sidhani kama ataweza kuthubutu kukiondoa kibanzi chake menyewe jichoni pake, akiweza hilo, basi uprofesa wake ni wa ukweli. But ni ngumu sana.
Nilipomaliza chuo nilikutana na watu wengi sana mmoja ni usalama wa taifa, wakawa wananiambia 'nyie udom ni wanasiasa sana kwanini? Alafu mnajifanya chadema' niliwaambia kuwa utamu wa ngoma uingie ucheze..... Nikimaanisha kuwa wananchi wanapotoshwa sana kwa yale yatokeayo udom.

laiti kama wanachuo wangeamua kugomea kila kitu pale udom basi kila siku kungekuwa na migomo, kuna wafanyakazi administrative positions, uhasibu ndo usiseme- pale ni kama miungu watu, wanafanya kazi wapendavyo, wanachuo wamekatwa hela zao nyingi tu na mpaka leo wengi hawajrudishiwa.

Ona hii kali..... Kila mwanachuo anayechukuwa kozi ya ualimu -education- mara anapokaribia kumaliza chuo huwa anajaza fomu maalumu ya wizara kwa ajili ya kuchagua mkoa/wilaya angependa apangiwe kufanya kazi........vyuo vyote tanzania wamejaza hizo fomu, udomu hazikuletwa,,,,,,,,,,,,, baada ya kufuatilia hapa na pale kuna baadhi ya wanachuo ndugu zao ni wakurugenzi wa halmashauri na wakuu wa wilaya, walipata taarifa kwa hao ndugu zao kuwa '' nyie udom si mnajifanya wanasiasa? So mtakula jeuri yenu'' tetesi zingine ni kuwa wanasema chadema ni wengi hivyo wakipangiwa shule za kufundisha watafundisha siasa badala ya taaluma zao. Whats next..........hiyo ndiyo udom. So kwa wale ambao hawaijui vizuri nawashauri wakiona taarifa inatangazwa na tbc wasiikubali 100% waulize wanachuo wanaosoma au waliosoma udom ndipo wathibitishe.
Inafikia hatua pale wasichana wanashindwa kuhudhuria lecture kwa kukosa maji ya kuoga. Angalau hilo liepungua kidogo kwa sasa.

Profesa angesema hivi ' chama cha mapinduzi kikiaingilia masuala ya kiutawala ya chuo na wanachuo naachia ngazi' labda angeeleweka. Pale tatizo ni ccm.
I accept challenge.
 
HII KWELI KALI. WADAU MIMI NIMESOMA UDOM 2008/11 KUNA MAMBO MENGI YANAYOTENDEKA PALE.
KUNA TUKIO MOJA SITALISAHAU NA MPAKA LEO NAJIULIZA HIVI SERIKALI INAYOONGOZWA NA CCM INADIRIKIJE KUZUIA SIASA PALE CHUONI? TUKIO LENYEWE NI HILI, YALIWEKWA MATANGAZO CHUO KIZIMA NA CHAMA CHA MAPINDUZI YAKIWATAARIFU WANACHAMA WA CCM KUJIANDAA KUMPOKEA RAIS KIKWETE DODOMA MJINI SIKU YA JUMAPILI USAFIRI WA KWENDA NA KURUDI BURE/ SIKU YA JUMA2 YALIKUJA MABASII YA SHABIBY MAWILI YAKIWA YAMESHEHENI BOX ZILIZOKUWA NA TSHRTS ZENYE PICHA YA RAIS, ZILE BOX ZIKAWA ZINASHUSHWA MBELE YA HOSTEL COLLEGE YA EDUCATION, KILA MWANACHUO ANAYETAKA KWENDA KWENYE HILO TUKIO ANACHUKUA TSHIRT NA KUINGIA KWENYE BASI.
nILIJIULIZA MASWALI MENGI SANA,
TUKIO LINGINE NI KUWA MAKADA WA CCM WALIKUWA WANAPITISHA KARATASI KILA CHUMBA KWA MWAKA WA TATU 2011 NA KUWAAMBIA KUWA KAMA WW NI MWANACHAMA WA CCM ANDIKA JINA LAKO, NAMBA YA KADI NA MKOA UNAOTAKA UPANGIWE AJIRA MARA UMALIZAPO CHUO.
TUKIO JINGINE NI KUWA KULIFANYIKA GRADUATION CEREMONY KATIKA UKUMBI WA ROYAL CLUB MGENI RASMI ALIKUWA NI WILSON MUKAMA NA WANACHUO UDOM MAKADA WALIPEWA VYETI NA CHAMA CCM, USAFIRI ULIWAFUATA CHUONI UKIWA NA BENDERA ZA CCM.
TUKIO JINGINE NI KUWA UKIFIKA MAENEO YA CHIMWAGA UNAKUTANA NA BANGO LA CHAMA CHA MAPINDUZI.
TUKIO JINGINE NI PALE AMBAPO MIZOZO YA KITAALAMU NA MATATIZO YA WANACHUO KUTATULIWA KISIASA.
HAYO NI MACHACHE TU WADAU, KUNA MENGI PALE AMBAYO CCM NDIYO WAANZILISHI BUT WAKIFANYA WENGINE KISINGIZIO ''CHUONI SI MAHALI PA SIASA'' KWA HILI KIKULA HAWEZI KWANI SIDHANI KAMA ATAWEZA KUTHUBUTU KUKIONDOA KIBANZI CHAKE MENYEWE JICHONI PAKE, AKIWEZA HILO, BASI UPROFESA WAKE NI WA UKWELI. BUT NI NGUMU SANA.
NILIPOMALIZA CHUO NILIKUTANA NA WATU WENGI SANA MMOJA NI USALAMA WA TAIFA, WAKAWA WANANIAMBIA 'NYIE UDOM NI WANASIASA SANA KWANINI? ALAFU MNAJIFANYA CHADEMA' NILIWAAMBIA KUWA UTAMU WA NGOMA UINGIE UCHEZE..... NIKIMAANISHA KUWA WANANCHI WANAPOTOSHWA SANA KWA YALE YATOKEAYO UDOM. YULE USALAMA AKANIAMBIA KUWA UNAJUA CCM WALITAKA KUKIFANYA KILE CHUO NI CHA KWAO, SASA WAMESHINDWA.
LAITI KAMA WANACHUO WANGEAMUA KUGOMEA KILA KITU PALE UDOM BASI KILA SIKU KUNGEKUWA NA MIGOMO, KUNA WAFANYAKAZI ADMINISTRATIVE POSITIONS, UHASIBU NDO USISEME- PALE NI KAMA MIUNGU WATU, WANAFANYA KAZI WAPENDAVYO, WANACHUO WAMEKATWA HELA ZAO NYINGI TU NA MPAKA LEO WENGI HAWAJRUDISHIWA.
ONA HII KALI..... KILA MWANACHUO ANAYECHUKUWA KOZI YA UALIMU -EDUCATION- MARA ANAPOKARIBIA KUMALIZA CHUO HUWA ANAJAZA FOMU MAALUMU YA WIZARA KWA AJILI YA KUCHAGUA MKOA/WILAYA ANGEPENDA APANGIWE KUFANYA KAZI........VYUO VYOTE TANZANIA WAMEJAZA HIZO FOMU, UDOMU HAZIKULETWA,,,,,,,,,,,,, BAADA YA KUFUATILIA HAPA NA PALE KUNA BAADHI YA WANACHUO NDUGU ZAO NI WAKURUGENZI WA HALMASHAURI NA WAKUU WA WILAYA, WALIPATA TAARIFA KWA HAO NDUGU ZAO KUWA '' NYIE UDOM SI MNAJIFANYA WANASIASA? SO MTAKULA JEURI YENU'' TETESI ZINGINE NI KUWA WANASEMA CHADEMA NI WENGI HIVYO WAKIPANGIWA SHULE ZA KUFUNDISHA WATAFUNDISHA SIASA BADALA YA TAALUMA ZAO. WHATS NEXT..........HIYO NDIYO UDOM. SO KWA WALE AMBAO HAWAIJUI VIZURI NAWASHAURI WAKIONA TAARIFA INATANGAZWA NA TBC WASIIKUBALI 100% WAULIZE WANACHUO WANAOSOMA AU WALIOSOMA UDOM NDIPO WATHIBITISHE.
INAFIKIA HATUA PALE WASICHANA WANASHINDWA KUHUDHURIA LECTURE KWA KUKOSA MAJI YA KUOGA. ANGALAU HILO LIEPUNGUA KIDOGO KWA SASA.
PROFESA ANGESEMA HIVI ' CHAMA CHA MAPINDUZI KIKIAINGILIA MASUALA YA KIUTAWALA YA CHUO NA WANACHUO NAACHIA NGAZI' LABDA ANGEELEWEKA. PALE TATIZO NI CCM.
I ACCEPT CHALLENGE.
 
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) Prof Idrissa Kikula ameiambia Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii kuwa sasa hawatakuwa na Msamaha kwa wale wote wanaotumiwa na vyama vya siasa kusababisha migomo ndani ya UDOM,amesema kuna wanafunzi wengine wapo kwa maslahi ya vyama vya siasa hatawavumilia bila kuangalia wanatoka chama gani! Amewaomba Wabunge waelewe kuwa Udom ni sehemu ya elimu sio uwanja wa wanasiasa kuja kupotosha vijana na kusababisha migomo isiyokuwa ya lazima!
My take: Naunga mkono wanafunzi wadai haki kwa mambo yanayowahusu na sio kupotoshwa na wanasiasa!

Huyu anautumia mwanya wa uzembe wa viongozi wetu kujipatia umaarufu. Huyu mtu anakaribia kustaafu na kwa vile anajua kuwa CCM wanatumia nja yeyote kuhakikisha kuwa wananchi wanaamini kuwa fujo inaletwa na vya vya upinzani, naye anataka kuwapakakazia wanafunzi kuwa nao wako upinzani ndo maana wanagoma.

Ukweli ni kuwa viongozi wa vyuo wanatumia mwanya huo kufanya ufisadi na kuwanyamazisha wanafunzi na wahadhiri wanaojua haki zao kwa kusingizia kuwa wanatumiwa na upinzani.
 
makamu mkuu wa chuo kikuu cha dodoma (udom) prof idrissa kikula ameiambia kamati ya kudumu ya bunge ya maendeleo ya jamii kuwa sasa hawatakuwa na msamaha kwa wale wote wanaotumiwa na vyama vya siasa kusababisha migomo ndani ya udom,amesema kuna wanafunzi wengine wapo kwa maslahi ya vyama vya siasa hatawavumilia bila kuangalia wanatoka chama gani! Amewaomba wabunge waelewe kuwa udom ni sehemu ya elimu sio uwanja wa wanasiasa kuja kupotosha vijana na kusababisha migomo isiyokuwa ya lazima!
My take: Naunga mkono wanafunzi wadai haki kwa mambo yanayowahusu na sio kupotoshwa na wanasiasa!

huyo kikula mwenyewe si kawekwa hapo na chama cha siasa-nashangaa haya maneno kayatolea wapi
 
HII KWELI KALI. WADAU MIMI NIMESOMA UDOM 2008/11 KUNA MAMBO MENGI YANAYOTENDEKA PALE.
KUNA TUKIO MOJA SITALISAHAU NA MPAKA LEO NAJIULIZA HIVI SERIKALI INAYOONGOZWA NA CCM INADIRIKIJE KUZUIA SIASA PALE CHUONI? TUKIO LENYEWE NI HILI, YALIWEKWA MATANGAZO CHUO KIZIMA NA CHAMA CHA MAPINDUZI YAKIWATAARIFU WANACHAMA WA CCM KUJIANDAA KUMPOKEA RAIS KIKWETE DODOMA MJINI SIKU YA JUMAPILI USAFIRI WA KWENDA NA KURUDI BURE/ SIKU YA JUMA2 YALIKUJA MABASII YA SHABIBY MAWILI YAKIWA YAMESHEHENI BOX ZILIZOKUWA NA TSHRTS ZENYE PICHA YA RAIS, ZILE BOX ZIKAWA ZINASHUSHWA MBELE YA HOSTEL COLLEGE YA EDUCATION, KILA MWANACHUO ANAYETAKA KWENDA KWENYE HILO TUKIO ANACHUKUA TSHIRT NA KUINGIA KWENYE BASI.
nILIJIULIZA MASWALI MENGI SANA,
TUKIO LINGINE NI KUWA MAKADA WA CCM WALIKUWA WANAPITISHA KARATASI KILA CHUMBA KWA MWAKA WA TATU 2011 NA KUWAAMBIA KUWA KAMA WW NI MWANACHAMA WA CCM ANDIKA JINA LAKO, NAMBA YA KADI NA MKOA UNAOTAKA UPANGIWE AJIRA MARA UMALIZAPO CHUO.
TUKIO JINGINE NI KUWA KULIFANYIKA GRADUATION CEREMONY KATIKA UKUMBI WA ROYAL CLUB MGENI RASMI ALIKUWA NI WILSON MUKAMA NA WANACHUO UDOM MAKADA WALIPEWA VYETI NA CHAMA CCM, USAFIRI ULIWAFUATA CHUONI UKIWA NA BENDERA ZA CCM.
TUKIO JINGINE NI KUWA UKIFIKA MAENEO YA CHIMWAGA UNAKUTANA NA BANGO LA CHAMA CHA MAPINDUZI.
TUKIO JINGINE NI PALE AMBAPO MIZOZO YA KITAALAMU NA MATATIZO YA WANACHUO KUTATULIWA KISIASA.
HAYO NI MACHACHE TU WADAU, KUNA MENGI PALE AMBAYO CCM NDIYO WAANZILISHI BUT WAKIFANYA WENGINE KISINGIZIO ''CHUONI SI MAHALI PA SIASA'' KWA HILI KIKULA HAWEZI KWANI SIDHANI KAMA ATAWEZA KUTHUBUTU KUKIONDOA KIBANZI CHAKE MENYEWE JICHONI PAKE, AKIWEZA HILO, BASI UPROFESA WAKE NI WA UKWELI. BUT NI NGUMU SANA.
NILIPOMALIZA CHUO NILIKUTANA NA WATU WENGI SANA MMOJA NI USALAMA WA TAIFA, WAKAWA WANANIAMBIA 'NYIE UDOM NI WANASIASA SANA KWANINI? ALAFU MNAJIFANYA CHADEMA' NILIWAAMBIA KUWA UTAMU WA NGOMA UINGIE UCHEZE..... NIKIMAANISHA KUWA WANANCHI WANAPOTOSHWA SANA KWA YALE YATOKEAYO UDOM.
LAITI KAMA WANACHUO WANGEAMUA KUGOMEA KILA KITU PALE UDOM BASI KILA SIKU KUNGEKUWA NA MIGOMO, KUNA WAFANYAKAZI ADMINISTRATIVE POSITIONS, UHASIBU NDO USISEME- PALE NI KAMA MIUNGU WATU, WANAFANYA KAZI WAPENDAVYO, WANACHUO WAMEKATWA HELA ZAO NYINGI TU NA MPAKA LEO WENGI HAWAJRUDISHIWA.
ONA HII KALI..... KILA MWANACHUO ANAYECHUKUWA KOZI YA UALIMU -EDUCATION- MARA ANAPOKARIBIA KUMALIZA CHUO HUWA ANAJAZA FOMU MAALUMU YA WIZARA KWA AJILI YA KUCHAGUA MKOA/WILAYA ANGEPENDA APANGIWE KUFANYA KAZI........VYUO VYOTE TANZANIA WAMEJAZA HIZO FOMU, UDOMU HAZIKULETWA,,,,,,,,,,,,, BAADA YA KUFUATILIA HAPA NA PALE KUNA BAADHI YA WANACHUO NDUGU ZAO NI WAKURUGENZI WA HALMASHAURI NA WAKUU WA WILAYA, WALIPATA TAARIFA KWA HAO NDUGU ZAO KUWA '' NYIE UDOM SI MNAJIFANYA WANASIASA? SO MTAKULA JEURI YENU'' TETESI ZINGINE NI KUWA WANASEMA CHADEMA NI WENGI HIVYO WAKIPANGIWA SHULE ZA KUFUNDISHA WATAFUNDISHA SIASA BADALA YA TAALUMA ZAO. WHATS NEXT..........HIYO NDIYO UDOM. SO KWA WALE AMBAO HAWAIJUI VIZURI NAWASHAURI WAKIONA TAARIFA INATANGAZWA NA TBC WASIIKUBALI 100% WAULIZE WANACHUO WANAOSOMA AU WALIOSOMA UDOM NDIPO WATHIBITISHE.
INAFIKIA HATUA PALE WASICHANA WANASHINDWA KUHUDHURIA LECTURE KWA KUKOSA MAJI YA KUOGA. ANGALAU HILO LIEPUNGUA KIDOGO KWA SASA.
PROFESA ANGESEMA HIVI ' CHAMA CHA MAPINDUZI KIKIAINGILIA MASUALA YA KIUTAWALA YA CHUO NA WANACHUO NAACHIA NGAZI' LABDA ANGEELEWEKA. PALE TATIZO NI CCM.
I ACCEPT CHALLENGE.

No wonder UDOM inaitwa chuo Kikuu cha kata! Ikiwa ma graduate wenyewe ndio ninyi hata sentensi na kupanga paragraph huwezi pale hakuna chuo Kikuu. Bora muendeleze siasa kwani zinalipa siku hizi....
 
Jaman udom ni chuo kikuu,na watu waliopo pale wana akil timam hivyo hainingii akilin kuwa wanapandikizwa na vyama..Niulize mtu kudai field ni kosa.?
 
Hawa Maprof. wa leo sijui wamesomea nchi gani? Hivi wale wahadhiri UDOM walivyogoma walishawishiwa na nani?

A living person who cant fight for what is rightfully his, is as good as a dead one.

Huo ndio uwezo wake wakuamua mambo. Tumsamahe kama sikumwombea kwani anadhani wanavaa hijabu hawagomi au alishawaweka kando kuwaomba kama alivyowaweka watu kando watu fulani wasijihusishe na hayo kwakuwa ni........... wenzake?
 
Yeye mwenyewe (prof. Kikula) mfuasi wa chama cha siasa, magamba. Anategemea nin? Wakwanza kufukuzwa alipaswa yeye!
 
namshangaa sana kashindwa kutatua matatizo ya wanachuo na wanataaluma anabaki kupotosha au nae kaajiriwa kama mwana propaganda wa UDOM? kuna mwanachuo alipigwa kwa tatizo la kisiasa na watu wa fulaini hakuzungumza, wafanyakazi matatizo tele hatatui wakihoji wanaambiwa wanaungwa na wapinzani, hv kikula haki inadaiwa na wapinzani tu?
 
Naomba msamaha kwa ajili ya kikula kwani hajui atendalo,tumlaumu aliyemchagua na kumweka hapo huyo ndie anamatatizo.Hivi uprofesa wa kikula uko wapi?
 
Ushauri kwa Profesa Kiliwa...aanze kwanza kupambana na udini, ndio tatizo kubwa zaidi pale UDOM..siasa zipo tu, huwa haziishi..
 
Wanathan kwa kukijenga chuo then wanafunz watakua wanakisuport mia kwa mia,am hap kuwa m2 aliyesoma n ngumu kumdanganya,nawashaur wasomi pale kudai haki zao za fedha,maji,etc wamalize masomo,hawa dawa yao kuja mtaan ukiwa na shahada yko ukiwa kwenu waelimishe wanavijiji wafanye maamuz,wape elimu ya uraia,itakufa 2 hii c c c c m.huyu prof analinda 2mbo lake c unajua watz wenye vyeo weng n vibaraka na wabinafsii,2pambne wazawa wenzangu
 
Back
Top Bottom