Udom Job: Oral Interview

fikirini

Senior Member
May 24, 2011
114
22
Wadau poleni na pilika za maisha ya kila siku. Nilisikia oral interview imefanyika kwa watu wa janitor wiki iliyopita, naomba kujua kwa wale walioitwa kama na wale wa post za ma-warden waliitwa pia au bado?
Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom