Uwezo Tunao
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 6,942
- 1,190
Hebu tuhabarishane vya kutosha juu ya jambo hili.
Kusije kukawa ni kwamba baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu nchini hivi sasa watakua wameanza kuwindwa na kuadhibiwa kutokana na misimamo na maoni yao juu ya mambo mbalimbali kisiasa nchini.
Tunatambua ukweli kwamba hadi hivi sasa UDOM ni miongoni mwa vyuo vikuu rafiki na muhimu sana katika harakati kote nchini kupiga vita UFISADI NA UCHAKACHUAJI wa aina yoyote nchini hivyo hatuna budi kuwapeni nafasi ya pekee hapa JF pindi mnapofikwa na jambo.
Tupo hapa JF tunasubiri habari zaidi juu ya nini itakua imesababisha mwanafunzi hata akafukuzwe chuo nchini. Tupeni ukweli na ukweli mtupu hapa enyi wahusika.